Coronavirus: Kufungiwa ndani na anayeninyanyasa
Umoja wa Mataifa umeonya kwamba unyanyasaji wa kijinsia katika ndoa wakati watu wanazuiliwa kutoka nje ni tatizo ambalo linahitaji kushughulikiwa kwa dharura.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi21 Jun
MAKALA: Ukatili mjamzito apigwa na kufungiwa ndani
9 years ago
StarTV22 Dec
Kufungiwa Ndani Ya Ofisi Mwenyekiti wa CCM Iringa adai ni chuki binafsi
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Mkoa wa Iringa Jesca Msambatavangu amedai kuwa hatua ya viongozi wa chama hicho kufungiwa ndani ya ofisi kwa zaidi ya saa nne iliyofanywa na kundi la Umoja wa Vijana UVCCM ni mbinu chafu zilizopangwa dhidi yake.
Uhai wa makundi ya kura za maoni na chuki binafsi vinatajwa kuwa ndiyo kiini cha maneno, vijembe na kuibuka kwa tukio hilo la kufungiwa ambalo pia limemhusisha mkuu wa mkoa aliyekuwa katika kikao cha kamati ya siasa Mkoa.
Mwenyekiti wa CCM Mkoa...
5 years ago
BBCSwahili15 Mar
Coronavirus: Fahamu kinachotokea ndani ya mwili mtu akipata virusi hivi
5 years ago
BBCSwahili25 Mar
Coronavirus: Freeman Mbowe asema mtoto wake ameambukizwa virusi vya corona ndani ya Tanzania
9 years ago
BBCSwahili09 Dec
Schweinsteiger kufungiwa Mechi 3.
10 years ago
Mwananchi27 Jan
EU yalaani kufungiwa The EastAfrican
9 years ago
Bongo508 Dec
Bastian Schweinsteiger kufungiwa na FA

Kiungo wa Manchester United, Mjerumani Bastian Schweinsteiger 31, anakabiliwa na adhabu ya kufungiwa mechi tatu na chama cha soka England (FA) kutokana na kitendo chake cha kumpiga kiwiko mlinzi wa Westham United, Winston Reid katika mchezo uliomalizika kwa sare ya bila kufungana Jumamosi iliyopita.
Schweinsteiger anatakiwa hadi Alhamis hii, saa sita mchana kukubali au kukataa kosa hilo baada ya FA kumuadhibu Jumatatu hii.
Chama cha waamuzi kupitia video wamebaini kosa hilo la Bastian...
11 years ago
Tanzania Daima19 Mar
Zahanati kufungiwa umeme wa jua
ZAHANATI zilizopo wilayani Igunga zinatarajiwa kufungwa umeme wa jua ili kuwaepusha wananchi kuchangia mafuta ya taa wakati wanapohitaji huduma nyakati za usiku katika zahanati hizo. Akizungumza na wananchi wa Kijiji...
11 years ago
Mwananchi26 Sep
World Map yakanusha kufungiwa na wizara