Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kufungiwa Ndani Ya Ofisi Mwenyekiti wa CCM Iringa adai ni chuki binafsi

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Mkoa wa Iringa Jesca Msambatavangu amedai kuwa hatua ya viongozi wa chama hicho kufungiwa ndani ya ofisi kwa zaidi ya saa nne iliyofanywa na kundi la Umoja wa Vijana UVCCM ni mbinu chafu zilizopangwa dhidi yake.

Uhai wa makundi ya kura za maoni na chuki binafsi vinatajwa kuwa ndiyo kiini cha maneno, vijembe na kuibuka kwa tukio hilo la kufungiwa ambalo pia limemhusisha mkuu wa mkoa aliyekuwa katika kikao cha kamati ya siasa Mkoa.

Mwenyekiti wa CCM Mkoa...

StarTV

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Chuki zaanza ndani ya CCM, Sinyanga, Monduli, Mgeja, Lowasa

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi(CCM), Mkoa wa Shinyanga, Hamisi Mgeja ameonya baadhi ya viongozi wa chama hicho kuwajengea chuki wanachama kadhaa na viongozi kwa madai wako karibu na Mbunge wa Monduli, Edward Lowassa.

 

5 years ago

Michuzi

MWENYEKITI WA CCM RAIS DKT MAGUFULI AONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU YA CCM OFISI NDOGO YA CCM MTAA WA LUMUMBA JIJINI DAR ES SALAAM

 Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Rais wa Jamhiri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongoza Kikao cha Kamati Kuu ya CCM kilichofanyika Ofisi Ndogo ya chama hicho tawala mtaa wa Lumumba jijini Dar es salaam leo Februari 28, 2020  Viongozi waandamizi watano kutoka vyama vya upinzani wakitambulishwa na kupokelewa rasmi kuwa wana CCM mbele ya Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Rais wa Jamhiri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na wajumbe wa Kikao cha Kamati Kuu ya...

 

5 years ago

CCM Blog

MAKAMU MWENYEKITI WA CCM TANZANIA BARA AZINDUA OFISI YA CCM MKOA WA GEITA

Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara Mzee Ohilip Mangula akiteta jambo na Katibu wa NEC Siasa na Uhusiano wa Kimataifa Kanalu Mstaafu Ngemela Lubinga wakati wa uzinduzi wa  jengo la  ofisi ya CCM mkoa wa Geita



15.02.2020
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi CCM, Ndugu Philip Japhet Mangula amezindua jengo la ofisi ya CCM Mkoani Geita ambalo ni limejengwa na  viongozi wa Chama na Serikali, Wanachama wa CCM pamoja na wadau mbalimbali Mkoani hapo.

Aidha, Ndugu Mangula akiwahutubia wana CCM hao...

 

9 years ago

Mwananchi

Mwenyekiti CCM Iringa ‘kikaangoni’

Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Iringa kimepokea majina 102 ya wanachama wake, akiwamo Mwenyekiti wa CCM wa mkoa, Jesca Msambatavangu wanaotuhumiwa kukisaliti wakati wa Uchaguzi Mkuu na kupoteza Jimbo la Iringa Mjini pamoja na Manispaa ya Iringa.

 

9 years ago

Mwananchi

Vijana CCM Iringa wamkingia kifua mwenyekiti

Vijana wa CCM wanaomuunga mkono mwenyekiti wa Mkoa wa Iringa, Jesca Msambatavangu anayetuhumiwa kukihujumu kwenye Uchaguzi Mkuu, wamemhakikishia ulinzi na kutowatambua wenzao wanaompinga.     

 

11 years ago

GPL

MAKAMU MWENYEKITI WA CCM BARA MZEE PHILIP MANGULA AWASILI MKOANI IRINGA

Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara Mzee Philip Mangula akisalimiana na Mwenyekiti wa CCM Iringa Vijijini Mama Delfina Mtavilalu mara baada ya kuwasili katika ofisi za CCM mkoa wa Iringa ambapo alipokelewa na baadhi ya viongozi wa mkoa huo na kuelekea moja kwa moja ofisini ambapo alifanya mazungumzo mafupi na viongozi hao na baadae akakutana na waandishi wa habari.   Akizungumza na… ...

 

10 years ago

Michuzi

Ofisi za Taasisi za Serikali kufungiwa LUKU

Na Greyson Mwase, Dar es Salaam
Waziri wa Nishati na Madini George Simbachawene amesema kuwa Shirika la Umeme Nchini (Tanesco) lina mpango wa kufunga mita za LUKU katika ofisi za taasisi zote za serikali kama moja ya mikakati yake katika ukusanyaji wa mapato.
Simbachawene aliyasema hayo wakati wa kikao chake na Balozi wa Marekani Nchini, Mark Childress aliyemtembelea ofisini kwake lengo likiwa ni kujadili hatua iliyofikiwa ya utekelezaji wa mpango wa kuboresha sekta ndogo ya umeme na...

 

10 years ago

Vijimambo

REGINALD MENGI HUTUMIA KISINGIZIO CHA UTETEZI WA WANYONGE KUZIFANYA CHUKI ZAKE BINAFSI ZIWE NI UGOMVI WA KITAIFA

Kwa miaka mingi kumukewepo na jitihada za makusudi kabisa zinazofanywa na vyombo vya habari vya IPP kuchafua baadhi ya wizara za serikali, watu binafsi na ofisi za taasisi mbalimbali kwa malengo yao binafsi wanayo yajua wao wenyewe. Ni wazi kabisa hakuna asiyejua chuki binafsi alizonazo mmiliki wa vyombo vya habari na baadhi ya waliokuwa viongozi wandamizi wa serikali, baadhi ya mawaziri ambao bado wanaendelea kuhudumu katika serikali, watu binafsi na baadhi ya viongozi wa dini...

 

10 years ago

Vijimambo

MWENYEKITI WA CHADEMA IRINGA MJINI AINGIA MATATANI TENA, AMTUKANA MWENYEKITI WAKE WA MKOA, ASHITAKIWA

Picha ya Maktaba ikumuonesha Frank Nyalusi (mwenye suti nyeupe) ambaye ni Mwenyekiti wa Chadema Iringa Mjini akiwa chini ya ulinzi wa Polisi
MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Mkoa wa Iringa Mustapher Msowela amemshitaki mwenyekiti wa chama hicho jimbo la Iringa Mjini, Frank Nyalusi ambaye jana jeshi la Polisi lilifanikiwa kumtia nguvuni kabla ya kuachiwa kwa dhamana.Nyalusi aliyeshitakiwa katika kituo cha Polisi cha kati cha mjini Iringa jana, anatuhumiwa kumtusi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani