Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Chuki zaanza ndani ya CCM, Sinyanga, Monduli, Mgeja, Lowasa

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi(CCM), Mkoa wa Shinyanga, Hamisi Mgeja ameonya baadhi ya viongozi wa chama hicho kuwajengea chuki wanachama kadhaa na viongozi kwa madai wako karibu na Mbunge wa Monduli, Edward Lowassa.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

StarTV

Kufungiwa Ndani Ya Ofisi Mwenyekiti wa CCM Iringa adai ni chuki binafsi

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Mkoa wa Iringa Jesca Msambatavangu amedai kuwa hatua ya viongozi wa chama hicho kufungiwa ndani ya ofisi kwa zaidi ya saa nne iliyofanywa na kundi la Umoja wa Vijana UVCCM ni mbinu chafu zilizopangwa dhidi yake.

Uhai wa makundi ya kura za maoni na chuki binafsi vinatajwa kuwa ndiyo kiini cha maneno, vijembe na kuibuka kwa tukio hilo la kufungiwa ambalo pia limemhusisha mkuu wa mkoa aliyekuwa katika kikao cha kamati ya siasa Mkoa.

Mwenyekiti wa CCM Mkoa...

 

10 years ago

Dewji Blog

Kampeni za Udiwani ndani ya CCM Kata ya Magomeni zaanza kwa kishindo

ANDKatibuu Mwenezi wa CCM Kata ya Msasani, Bw. Andrew Mangole (kulia) akiwaomba wana CCM kuachana na makundi na  baadala yake wakijenge chama katika misingi imara na kuibuka na ushindi hapo baadae katika uchaguzi Mkuu. (Picha zote na Andrew Chale, modewjiblog).

Na Andrew Chale, modewjiblog

(Magomeni-Kinondoni) Kampeni za kura za maoni kwa wagombea Udiwani ndani ya Cha Cha Mapinduzi (CCM) zimepamba moto ambapo kila mgombea amejitokeza na kujinadi mbele ya wanachama ili achaguliwe kukiwakilisha...

 

10 years ago

Vijimambo

MH LOWASA KATIKA MSIBA MONDULI



POLE SANA,MUNGU AKUPE NGUVU!!!
Mbunge wa Monduli Mh Edward Lowassa na mkewe mama Regina Lowassa(pembeni)akimpa pole mjane wa marehemu Dr John Makundi kwenye kanisa la KKKT Monduli katika Misa ya kumuaga.Marehemu Dr Makundi ambaye alikuwa mratibu wa mpango wa kuzuia ukimwi wilayani Monduli alifariki tarehe 7 April mwaka huu kwa ajali ya gari huko eneo la Kisongo Arusha.Anatarajiwa kuzikwa tar 11 April nyumbani kao Marangu Moshi.CREDIT:DJCHOKA

 

9 years ago

Mwananchi

CCM- Hatutetereki Mgeja kuondoka

Chama Cha Mapinduzi (CCM), mkoa wa Shinyanga kimesema hakitatetereka kwa kuondoka kwa mwenyekiti wake mkoani hapa, Khamis Mgeja badala yake kitazidi kuimarika kwa kuwa kina hazina ya wanachama na viongozi makini.

 

9 years ago

TheCitizen

Mgeja, Guninita ditch CCM

Shinyanga regional CCM chairman Khamis Mgeja and Mr John Guninita, the former party’s chairman for Dar es Salaam, yesterday quit the ruling party and announced to join the main opposition, Chadema.

 

10 years ago

GPL

MGEJA AHAMA CCM NA KUJIUNGA CHADEMA

Aliyekuwa Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Shinyanga, Khamis Mgeja. MWENYEKITI wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Shinyanga, Khamis Mgeja ametangaza rasmi kuachana na chama hicho na kujiunga na Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) hivi punde. Mgeja ametangaza uamuzi huo wakati akaiongea na wanahabari jijini Dar es Salaam amabapo ametumia kauli ya Hayati Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere aliyoitoa mwaka 1995 alipozungumzia...

 

10 years ago

TheCitizen

Mgeja, Guninita quit CCM, join Chadema

Shinyanga Region Chama Cha Mapinduzi (CCM) chairman, Khamis Mgeja and former Dar es Salaam Region chair John Guninita have quitted membership of the ruling party.

 

9 years ago

Mtanzania

Mgeja, Guninita waibwaga CCM, wajiunga Chadema

mgeja, guninitaNa Elizabeth Hombo, Dar es Salaam

MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Shinyanga, Khamis Mgeja amesema chama hicho kimeacha misingi yake na sasa kimegeuka kuwa kampuni ya familia moja.

Mgeja pia amempiga kijembe mgombea urais kupitia CCM, Dk. John Magufuli akimfananisha na dereva ambaye hajaweza kuendesha gari vizuri ‘learner’ akimaanisha kuwa hana uwezo wa kukiongoza chama hicho.

Mgeja alitoa kauli hiyo   Dar es Salaam jana alipotangaza kukihama chama hicho na kujiunga na Chama...

 

10 years ago

Mwananchi

Mgeja, Guninita wajiengua CCM, wajiunga Chadema

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Shinyanga, Khamis Mgeja na aliyekuwa mwenyekiti mkoa wa Dar es Salaam John Guninita wametangaza leo kuachana na CCM na kujiunga Chadema.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani