MH LOWASA KATIKA MSIBA MONDULI
POLE SANA,MUNGU AKUPE NGUVU!!!
Mbunge wa Monduli Mh Edward Lowassa na mkewe mama Regina Lowassa(pembeni)akimpa pole mjane wa marehemu Dr John Makundi kwenye kanisa la KKKT Monduli katika Misa ya kumuaga.Marehemu Dr Makundi ambaye alikuwa mratibu wa mpango wa kuzuia ukimwi wilayani Monduli alifariki tarehe 7 April mwaka huu kwa ajali ya gari huko eneo la Kisongo Arusha.Anatarajiwa kuzikwa tar 11 April nyumbani kao Marangu Moshi.CREDIT:DJCHOKA
Vijimambo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi20 Jan
Chuki zaanza ndani ya CCM, Sinyanga, Monduli, Mgeja, Lowasa
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi(CCM), Mkoa wa Shinyanga, Hamisi Mgeja ameonya baadhi ya viongozi wa chama hicho kuwajengea chuki wanachama kadhaa na viongozi kwa madai wako karibu na Mbunge wa Monduli, Edward Lowassa.
11 years ago
MichuziMh. Lowassa ahani Msiba wa Mkurugenzi wa zamani wa Halmashauri ya Wilaya ya Monduli
Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Monduli,Mh. Edward Lowassa pamoja na Mkewe Mama Regina Lowassa wakitia saini kitabu cha maombolezo ya kifo cha aliewahi kuwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Monduli,Marehemu Mathew Gadi Mwanga,Nyumbani kwake jijini Arusha.Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Monduli,Mh. Edward Lowassa pamoja na Mkewe Mama Regina Lowassa wakitoa heshima za mwisho kwa Mwili wa Marehemu Mathew Gadi Mwanga,aliewahi kuwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Monduli wakati...
9 years ago
Vijimambo9 years ago
MichuziMAMA SAMIA KATIKA UBORA WAKE KATIKA MAJIMBO YA MONDULI NA LONGIDO MKOANI ARUSHA
Wananchi wakiwa wamejawa hamasa kwa nyimbo na nderemo wakati Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassam, alipowasili kwenye Uwanja wa mkutano wa kampeni za CCM leo, katika jimbo la Monduli mkoani Arusha. Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassa, akihutubia wananchi wa kwenye uwanja wa mkutano wa kampeni, eneo Namanga, Longido mkoani Arusha, leoMgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu, akiwasikiliza kina mama waiokuwa...
9 years ago
Vijimambo15 Aug
10 years ago
VijimamboWANANCHI KUTOKA MARA WAWASILI KWA WAZIRI MKUU MSTAAFU NA MBUNGE WA MONDULI EDWARD LOWASSA MONDULI,WAMKOSA WAELEZEA UJIO WAO
Akizungumza na waandishi wa habari aliyekuwa katibu wa umoja wa wanawake wa {UWT} chama cha mapinduzi wilaya ya Serengeti Anna Mathayo Chacha alisema kuwa lowasa ndie chaguo lao kwa kuwa ni kiongoziwanayeamini kuwa ataivusha nchi kutoka hapa ilipo ikiwa ni pamoja na kukipa heshima na nguvu chama.Mjumbe wa halmashauri kuu ya chama cha mapinduzi wilaya ya Serengeti Daniel Kegocha ambaye pia ni diwani aliomba chama hicho kuona umuhimu wa kumpitisha jina la Waziri Mkuu mstaafu na Mbunge wa...
10 years ago
VijimamboWAZIRI MKUU MSTAAFU NA MBUNGE WA MONDULI, EDWARD LOWASSA AKIZUNGUMZA NA BAADHI YA WANAFUNZI WA SHULE SEKONDARI YA WAVULANA YA ENGUTOTO WILAYANI MONDULI WAKATI ALIPOTEMBELEA LEO.
Lowassa ambaye alirejelea kauli yake ya kwamba yeye si tajiri bali ni tajiri wa marafiki, alichangia shilingi milioni tatu kwa ajili ya sare za shule kwa wanafunzi ambao nguo zao ziliteketea.
Aidha mwenyekiti mtendaji wa makampuni IPP, Reginald Mengi akichangia shilingi milioni 25 kwa ajili ya vitanda na Kampuni ya A to Z ikichangia ujenzi wa mabweni mawili yaliyo ungua moto hivi karibuni.Mmiliki wa kiwanda kikubwa cha A to Z cha Arusha,Anoji Shah (aliesimama) akiwaeleza wanafunzi wa shule...
Aidha mwenyekiti mtendaji wa makampuni IPP, Reginald Mengi akichangia shilingi milioni 25 kwa ajili ya vitanda na Kampuni ya A to Z ikichangia ujenzi wa mabweni mawili yaliyo ungua moto hivi karibuni.Mmiliki wa kiwanda kikubwa cha A to Z cha Arusha,Anoji Shah (aliesimama) akiwaeleza wanafunzi wa shule...
10 years ago
GPLALHAJ ALI HASSAN MWINYI NA MHE. EDWARD LOWASSA KATIKA SHEREHE ZA MIAKA 20 YA SHULE YA SEKONDARI YA WASICHANA YA MAASAI, MONDULI
Mbunge wa Monduli na waziri mkuu wa zamani Mh Edward Lowassa na mkewe Mama Regina Lowassa wakimkaribisha Rais mstaafu wa awamu ya pili Alhaji Ali Hassan Mwinyi na mkewe Mama Sitti Mwinyi katika sherehe za miaka 20 ya shule ya sekondari ya wasichana ya Maasai, Jumamosi,24 January Monduli Mlimani, kata ya Engutoto. Rais mstaafu wa awamu ya pili Al hadji Ali Hassan Mwinyi… ...
10 years ago
Michuzialhaj ali hassan mwinyi na mhe edward lowassa katika sherehe za miaka 20 ya shule ya sekondari ya wasichana ya Maasai, monduli, leo
Mbunge wa Monduli na waziri mkuu wa zamani Mh Edward Lowassa na mkewe Mama Regina Lowassa wakimkaribisha Rais mstaafu wa awamu ya pili Alhaji Ali Hassan Mwinyi na mkewe Mama Sitti Mwinyi katika sherehe za miaka 20 ya shule ya sekondari ya wasichana ya Maasai,leo Jumamosi,24 January Monduli Mlimani, kata ya Engutoto. Rais mstaafu wa awamu ya pili Al hadji Ali Hassan Mwinyi akizindua moja ya sanamu za kumbukukumbu ya waanzishi wa shule ya sekondari ya wasichana ya Maasai ambayo imeadhimisha...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania