MAKAMU MWENYEKITI WA CCM BARA MZEE PHILIP MANGULA AWASILI MKOANI IRINGA
![](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2014/03/11.jpg)
Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara Mzee Philip Mangula akisalimiana na Mwenyekiti wa CCM Iringa Vijijini Mama Delfina Mtavilalu mara baada ya kuwasili katika ofisi za CCM mkoa wa Iringa ambapo alipokelewa na baadhi ya viongozi wa mkoa huo na kuelekea moja kwa moja ofisini ambapo alifanya mazungumzo mafupi na viongozi hao na baadae akakutana na waandishi wa habari.  Akizungumza na… ...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi24 Jun
MAKAMU MWENYEKITI WA CCM (BARA) PHILIP MANGULA AKUTANA NA MAKAMU WA RAIS WA CHINA LI YUANCHAO
![](https://1.bp.blogspot.com/-HbPYtcDAiIU/U6lcr3PsKpI/AAAAAAAAPA8/BFmh5py3oqc/s1600/4.jpg)
![](https://1.bp.blogspot.com/-6yxRi_BiEVQ/U6lczfAZOHI/AAAAAAAAPBE/MLrQVOk7rMQ/s1600/6.jpg)
![](https://1.bp.blogspot.com/-LXJ_wa26ZjM/U6lcmT5yIjI/AAAAAAAAPA0/I7Yxpidf5Vw/s1600/2.jpg)
11 years ago
MichuziMAKAMU WA CCM BARA MH.PHILIP MANGULA AKUTANA NA WATANZANIA WAISHIO BEIJING CHINA
baada ya kikao cha kujadili mambo kadhaa ya...
11 years ago
GPLMAKAMU WA CCM BARA MH.PHILIP MANGULA AKUTANA NA WATANZANIA WAISHIO BEIJING CHINA
11 years ago
Michuzi10 Mar
SIJAJA KUFANYA KAMPENI JIMBO LA KALENGA,NIMEKUJA KUTOA TAHADHARI TU-MAKAMU MWENYEKITI CCM, PHILIP MANGULA.
11 years ago
Dewji Blog25 Jun
Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara) akutana na Makamu Mwenyekiti wa Rais wa China
Viongozi wa CCM wakiwa kwenye mkutano wa Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara) Ndugu Philip Mangula na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Watu wa China Li Yuanchao (hayupo pichani) kwenye Hotel ya Serena jijini Dar es Salaam.
Makamu Mwenyekiti wa CCM Ndugu Philip Mangula akimkabidhi zawadi Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Watu wa China Li Yuanchao mara baada ya kumaliza mkutano.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Watu wa China Li Yuanchao akionyesha zawadi aliyopewa na Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara)...
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-hWCstz4R7xI/UxRX5lSYFfI/AAAAAAACbd4/cxyQUur-XbE/s72-c/mto.jpg)
MANGULA AWASILI MKOANI IRINGA LEO,AKABIDHIWA MAJINA 20 YA WANAODAIWA KUJIANDAA KUFANYA FUJO KWENYE KAMPENI ZA UCHAGUZI MDOGO JIMBO LA KALENGA
![](http://4.bp.blogspot.com/-hWCstz4R7xI/UxRX5lSYFfI/AAAAAAACbd4/cxyQUur-XbE/s1600/mto.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-vCweFFKOucA/UxRS3fx9UYI/AAAAAAACbdM/nVmQ5-0Dx9s/s1600/2.jpg)
5 years ago
CCM Blog![](https://1.bp.blogspot.com/-Xqq1BMIyUYM/XkjU_abYF8I/AAAAAAACHsg/D2e1hA15jekrx7Gnq7PAgj2yW504fGiUACLcBGAsYHQ/s72-c/IMG_20200216_080217_565.jpg)
MAKAMU MWENYEKITI WA CCM TANZANIA BARA AZINDUA OFISI YA CCM MKOA WA GEITA
![](https://1.bp.blogspot.com/-Xqq1BMIyUYM/XkjU_abYF8I/AAAAAAACHsg/D2e1hA15jekrx7Gnq7PAgj2yW504fGiUACLcBGAsYHQ/s320/IMG_20200216_080217_565.jpg)
15.02.2020
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi CCM, Ndugu Philip Japhet Mangula amezindua jengo la ofisi ya CCM Mkoani Geita ambalo ni limejengwa na viongozi wa Chama na Serikali, Wanachama wa CCM pamoja na wadau mbalimbali Mkoani hapo.
Aidha, Ndugu Mangula akiwahutubia wana CCM hao...