Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mwenyekiti CCM Iringa ‘kikaangoni’

Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Iringa kimepokea majina 102 ya wanachama wake, akiwamo Mwenyekiti wa CCM wa mkoa, Jesca Msambatavangu wanaotuhumiwa kukisaliti wakati wa Uchaguzi Mkuu na kupoteza Jimbo la Iringa Mjini pamoja na Manispaa ya Iringa.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Vijana CCM Iringa wamkingia kifua mwenyekiti

Vijana wa CCM wanaomuunga mkono mwenyekiti wa Mkoa wa Iringa, Jesca Msambatavangu anayetuhumiwa kukihujumu kwenye Uchaguzi Mkuu, wamemhakikishia ulinzi na kutowatambua wenzao wanaompinga.     

 

9 years ago

StarTV

Kufungiwa Ndani Ya Ofisi Mwenyekiti wa CCM Iringa adai ni chuki binafsi

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Mkoa wa Iringa Jesca Msambatavangu amedai kuwa hatua ya viongozi wa chama hicho kufungiwa ndani ya ofisi kwa zaidi ya saa nne iliyofanywa na kundi la Umoja wa Vijana UVCCM ni mbinu chafu zilizopangwa dhidi yake.

Uhai wa makundi ya kura za maoni na chuki binafsi vinatajwa kuwa ndiyo kiini cha maneno, vijembe na kuibuka kwa tukio hilo la kufungiwa ambalo pia limemhusisha mkuu wa mkoa aliyekuwa katika kikao cha kamati ya siasa Mkoa.

Mwenyekiti wa CCM Mkoa...

 

11 years ago

GPL

MAKAMU MWENYEKITI WA CCM BARA MZEE PHILIP MANGULA AWASILI MKOANI IRINGA

Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara Mzee Philip Mangula akisalimiana na Mwenyekiti wa CCM Iringa Vijijini Mama Delfina Mtavilalu mara baada ya kuwasili katika ofisi za CCM mkoa wa Iringa ambapo alipokelewa na baadhi ya viongozi wa mkoa huo na kuelekea moja kwa moja ofisini ambapo alifanya mazungumzo mafupi na viongozi hao na baadae akakutana na waandishi wa habari.   Akizungumza na… ...

 

10 years ago

Vijimambo

MWENYEKITI WA CHADEMA IRINGA MJINI AINGIA MATATANI TENA, AMTUKANA MWENYEKITI WAKE WA MKOA, ASHITAKIWA

Picha ya Maktaba ikumuonesha Frank Nyalusi (mwenye suti nyeupe) ambaye ni Mwenyekiti wa Chadema Iringa Mjini akiwa chini ya ulinzi wa Polisi
MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Mkoa wa Iringa Mustapher Msowela amemshitaki mwenyekiti wa chama hicho jimbo la Iringa Mjini, Frank Nyalusi ambaye jana jeshi la Polisi lilifanikiwa kumtia nguvuni kabla ya kuachiwa kwa dhamana.Nyalusi aliyeshitakiwa katika kituo cha Polisi cha kati cha mjini Iringa jana, anatuhumiwa kumtusi...

 

5 years ago

Michuzi

MWENYEKITI WA CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM) RAIS MAGUFULI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA MAKAMU MWENYEKITI WA CCM ZANZIBAR DKT SHEIN JIJINI DODOMA


 Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo na Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM upande wa Zanzibar Rais wa Zanzibar Ali Mohamed Shein muda mfupi kabla ya kuanza kwa Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi CCM Chamwino mkoani Dodoma.

 

10 years ago

Michuzi

VIJANA WA CCM IRINGA WAMPA NGUVU KATIBU WA MKOA HASSAN MTENGA KUKOMBOA JIMBO, LA IRINGA MJINI

Katibu wa CCM Mkoa wa Iringa, Hassan Mtenga katika kikao na baadhi ya vijana hao











KIU ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Manispaa ya Iringa kukomboa jimbo la Iringa Mjini katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba mwaka huu inazidi kuongezeka, baada ya umoja wake wa vijana (UVCCM Manispaa ya Iringa) kuahidi kuongeza nguvu ili kuufanikisha mkakati huo.


CCM ililipoteza jimbo hilo katika Uchaguzi Mkuu wa 2010 kwa Mchungaji Msigwa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) anayekaribia kumaliza muda wake.


Katika...

 

10 years ago

Mtanzania

Mwenyekiti UVCCM Iringa ajiuzulu

MWENYEKITINa Aziza Masoud, Dar es Salaam
MWENYEKITI wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Iringa, Tumaini Msowoya, amejiuzulu nafasi yake kwa kile alichodai kuepuka mgongano wa masilahi.

Amesema amefikia hatua hiyo baada ya mume wake, Frank Kibiki kutangaza nia ya kuwania ubunge wa Iringa Mjini, huku akihisi kutotenda haki katika vikao vya chama ambavyo huwa na uamuzi.
Taarifa iliyotolewa kwa vyombo vya habari jana na Tumaini, ilieleza kuwa ameamua kuchukua hatua hiyo ili aweze...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani