Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mwenyekiti UVCCM Iringa ajiuzulu

MWENYEKITINa Aziza Masoud, Dar es Salaam
MWENYEKITI wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Iringa, Tumaini Msowoya, amejiuzulu nafasi yake kwa kile alichodai kuepuka mgongano wa masilahi.

Amesema amefikia hatua hiyo baada ya mume wake, Frank Kibiki kutangaza nia ya kuwania ubunge wa Iringa Mjini, huku akihisi kutotenda haki katika vikao vya chama ambavyo huwa na uamuzi.
Taarifa iliyotolewa kwa vyombo vya habari jana na Tumaini, ilieleza kuwa ameamua kuchukua hatua hiyo ili aweze...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

MWENYEKITI WA UVCCM MKOA WA IRINGA TUMAINI MSOWOYA AWAOMBA WANAWAKE KUJITOKEZA KUWANIA UONGOZI

Mwenyekiti wa UVCCM mkoa wa Iringa, Tumaini Msowoya akimkabidhi msaada mmoja kati ya wagonjwa waliolazwa katika Wodi ya watoto kwenye Hospitali ya mkoa, wakati alipotembelea wodi ya watoto 22. Msowoya, akifurahia kumpakata mmoja kati ya watoto waliolazwa katika wodi hiyo.Mwenyekiti wa UVCCM Mkoani Iringa, Tumainia Msowoya, Mwenyekiti wa UVCCM Mkoani Katavi, William Mbongo na Katibu wa UVCCM Wilayani Mufindi, Kantala, wakiteta jambo.
Na Fredy Mgunda, IringaWakati watanzania tunaanzimisha...

 

10 years ago

Dewji Blog

UVCCM Iringa walipigia hesabu kulikomboa jimbo la Iringa mjni

IMG_5631

Katibu wa CCM wa Mkoa wa Iringa, Hassan Mtenga  katika kikao na baadhi ya vijana hao.

IMG_5629

IMG_5654

IMG_5714

IMG_5716

Na Mwandishi wetu

KIU ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Manispaa ya Iringa kukomboa jimbo la Iringa Mjini katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba mwaka huu inazidi kuongezeka, baada ya umoja wake wa vijana (UVCCM Manispaa ya Iringa) kuahidi kuongeza nguvu ili kuufanikisha mkakati huo.

CCM ililipoteza jimbo hilo katika Uchaguzi Mkuu wa 2010 kwa Mchungaji Msigwa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema)...

 

10 years ago

Vijimambo

MWENYEKITI WA CHADEMA IRINGA MJINI AINGIA MATATANI TENA, AMTUKANA MWENYEKITI WAKE WA MKOA, ASHITAKIWA

Picha ya Maktaba ikumuonesha Frank Nyalusi (mwenye suti nyeupe) ambaye ni Mwenyekiti wa Chadema Iringa Mjini akiwa chini ya ulinzi wa Polisi
MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Mkoa wa Iringa Mustapher Msowela amemshitaki mwenyekiti wa chama hicho jimbo la Iringa Mjini, Frank Nyalusi ambaye jana jeshi la Polisi lilifanikiwa kumtia nguvuni kabla ya kuachiwa kwa dhamana.Nyalusi aliyeshitakiwa katika kituo cha Polisi cha kati cha mjini Iringa jana, anatuhumiwa kumtusi...

 

11 years ago

Habarileo

Mwenyekiti CCM nusura ajiuzulu

UCHAGUZI wa nafasi ya Naibu Meya wa Halmashauri ya Manispaa ya Tabora nusura usababishe Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wilayani hapa, Moshi Nkonkota kujiuzulu nafasi hiyo endapo Naibu huyo asingepita.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mwenyekiti UVCCM Singida asimamishwa

BARAZA Kuu la Umoja wa Vijana (UVCCM) Mkoa wa Singida limemsimamisha uongozi Mwenyekiti wao wa mkoa, Martin Labia Lissu kwa madai ya kushindwa kutoa utetezi dhidi ya tuhuma zilizokuwa zikimkabili....

 

9 years ago

Habarileo

Mwenyekiti UVCCM Kilolo akimbilia Chadema

MWENYEKITI wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) wilaya ya Kilolo, mkoani Iringa, Sifuni Makongwa juzi ametangaza kukihama Chama Cha Mapinduzi (CCM) na kujiunga na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema).

 

10 years ago

Habarileo

Mwenyekiti mstaafu UVCCM atoa somo

MWENYEKITI mstaafu wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Dodoma Mjini, Robert Mwinje, amewahamasisha vijana kuwahoji wagombea wa nafasi mbalimbali katika Uchaguzi Mkuu ujao kama wana sera zitakazowasaidia vijana.

 

11 years ago

GPL

WAJUMBE UVCCM MORO WAMKATAA MWENYEKITI WAO

Baadhi ya wajumbe wa UVCCM kutoka wilaya mbalimbali za mkoa wa Morogoro wakiwa na mabango ya kumkataa Mwenyekiti wa UVCCM mkoa wa Morogoro Herieth Sutta anayedaiwa kushindwa…

 

5 years ago

CCM Blog

UVCCM IRINGA WAENDELEA KUTOA ELIMU YA KUJIKINGA NA CORONA

Mwenyekiti wa umoja wa vijana wa chama cha mapinduzi (UVCCM) Wilaya ya Iringa Makala Mapesah akizungumzia msaada wa ndoo maalum za kusaidia kujikinga na maambukizi ya virusi vya Corona.Mwenyekiti wa umoja wa vijana wa chama cha mapinduzi (UVCCM) Wilaya ya Iringa Makala Mapesah akionyesha ndoo maalum za msaada kwa ajili ya wananchi kujitakasa na kujikinga na virusi vya Corona
NA FREDY MGUNDA,IRINGA.Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi(UVCCM) Wilaya ya Iringa vijijini umeeleza kuwa zoezi la...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani