UVCCM Iringa walipigia hesabu kulikomboa jimbo la Iringa mjni
Katibu wa CCM wa Mkoa wa Iringa, Hassan Mtenga katika kikao na baadhi ya vijana hao.
Na Mwandishi wetu
KIU ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Manispaa ya Iringa kukomboa jimbo la Iringa Mjini katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba mwaka huu inazidi kuongezeka, baada ya umoja wake wa vijana (UVCCM Manispaa ya Iringa) kuahidi kuongeza nguvu ili kuufanikisha mkakati huo.
CCM ililipoteza jimbo hilo katika Uchaguzi Mkuu wa 2010 kwa Mchungaji Msigwa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema)...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog26 Jan
Wasanii mkoani Iringa wamemtungia wimbo mgombea ubunge jimbo la Iringa Mjini Frank Kibiki
MSANII wa muziki wa kizazi, kipya mjini Iringa, ONE LEE akitoa zawadi ya ngoma kwa mwandishi wa Habari Frank Kibiki kwa niaba ya wasanii wenzake, ambaye hivi karibuni alitangaza nia ya kugombea ubunge katika jimbo la Iringa mjini.
Akizungumza na waandishi wa habari mjini Iringa, wasanii hao walisema wameamua kutengeneza wimbo huo kutokana na mchango mkubwa wa mwanahabari huyo, katika fani yao.
Msanii huyo Richard Kayombo ‘One Lee’ ambaye alikabidhi wimbo kwa niaba ya wasanii wenzake...
10 years ago
MichuziVIJANA WA CCM IRINGA WAMPA NGUVU KATIBU WA MKOA HASSAN MTENGA KUKOMBOA JIMBO, LA IRINGA MJINI
KIU ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Manispaa ya Iringa kukomboa jimbo la Iringa Mjini katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba mwaka huu inazidi kuongezeka, baada ya umoja wake wa vijana (UVCCM Manispaa ya Iringa) kuahidi kuongeza nguvu ili kuufanikisha mkakati huo.
CCM ililipoteza jimbo hilo katika Uchaguzi Mkuu wa 2010 kwa Mchungaji Msigwa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) anayekaribia kumaliza muda wake.
Katika...
10 years ago
Mtanzania15 Jun
Mwenyekiti UVCCM Iringa ajiuzulu
Na Aziza Masoud, Dar es Salaam
MWENYEKITI wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Iringa, Tumaini Msowoya, amejiuzulu nafasi yake kwa kile alichodai kuepuka mgongano wa masilahi.
Amesema amefikia hatua hiyo baada ya mume wake, Frank Kibiki kutangaza nia ya kuwania ubunge wa Iringa Mjini, huku akihisi kutotenda haki katika vikao vya chama ambavyo huwa na uamuzi.
Taarifa iliyotolewa kwa vyombo vya habari jana na Tumaini, ilieleza kuwa ameamua kuchukua hatua hiyo ili aweze...
5 years ago
CCM BlogUVCCM IRINGA WAENDELEA KUTOA ELIMU YA KUJIKINGA NA CORONA
NA FREDY MGUNDA,IRINGA.Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi(UVCCM) Wilaya ya Iringa vijijini umeeleza kuwa zoezi la...
10 years ago
MichuziLaunch of the European Union Supported "Usafi Iringa-Iringa Sanitation" Project
With funding from the European Union, ACRA-CCS Foundation, in partnership with Iringa Municipal Council, Iringa Urban Water and Sanitation Authority (IRUWASA), local (MAMADO, IDYDC) and international...
11 years ago
GPLWAKAZI 6 WA MKOA WA IRINGA WATIMKA NA BODABODA ZA VODACOM IRINGA
10 years ago
MichuziIRINGA KIBIKI CHILDREN CUP KUANZA KUTIMUA VUMBI IRINGA
MRATIBU WA KIBIKI CUP HARUNA SALEH AKIWA NA MDAU WA SOKA FRANK KIBIKI MRATIBU WA KIBIKI CUP HARUNA SALEH AKIWA NA MDAU WA SOKA FRANK KIBIKI na wanahabari---------------------------------LIGI inayoshirikisha watoto walio chini ya umri wa miaka 16, inaloitwa Iringa Kibiki Childrens Cup 2015 yenye lengo la kupinga mauaji ya walemavu wa ngozi (Albino) inatarajia kuanza kutimua vumbi jumamosi ikishirikisha timu nane za manispaa ya Iringa.Mratibu wa ligi hiyo, Haruna Salehe alisema...
10 years ago
VijimamboJESHI LA POLISI MKAONI IRINGA LINAWASHIKILIA WANANCHUO 89 WA CHUO KIKUU CHA IRINGA