Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Launch of the European Union Supported "Usafi Iringa-Iringa Sanitation" Project

The Head of Delegation of the European Union to Tanzania, H.E. Ambassador Filiberto Ceriani Sebregondi and the Deputy Minister for Health and Social Welfare of the Government of Tanzania, Honorable Dr. Stephen Kebwe launched today the "Usafi Iringa - Iringa Sanitation" Project in Iringa region.
With funding from the European Union, ACRA-CCS Foundation, in partnership with Iringa Municipal Council, Iringa Urban Water and Sanitation Authority (IRUWASA), local (MAMADO, IDYDC) and international...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

WAFANYAKAZI WA NURU FM 93.5 IRINGA WAFANYA USAFI HOSPITALI YA RUFAA YA MKOA WA IRINGA KUMUUNGA MKONO RAIS DKT.MAGUFULI

Fredy mgunda ambaye ni chief repoter wa radio nuru fm.shauri mkwawa a.k.a mama la mama na wafanyakazi wenzake wakifanya usafi.Wakizungumza wakati wakiwa wanafanya usafi katika eneo hilo wamesema kuwa wameamua kufanya usafi katika hospital hiyo kwa kuwa ndio hospitali inayohudumia wananchi wengi kuliko hospitali nyingine zilizopo mkoani hapa.Denis nyali ni mhariri wa habari wa radio hiyo amesema kuwa wameamua kufanya usafi kwa lengo la kuwaonyesha wananchi na wafanyakazi wa hospital hiyo kuwa...

 

9 years ago

Habarileo

RC Iringa ataka usafi upewe kipaumbele

MKUU wa Mkoa Iringa, Amina Masenza ametoa mwito kwa wananchi mkoani humu kuufanya usafi wa mazingira kuwa sehemu ya maisha yao ya kila siku ili kuepuka magonjwa ya milipuko, ikiwemo kipindupindu na kuhara.

 

10 years ago

Dewji Blog

UVCCM Iringa walipigia hesabu kulikomboa jimbo la Iringa mjni

IMG_5631

Katibu wa CCM wa Mkoa wa Iringa, Hassan Mtenga  katika kikao na baadhi ya vijana hao.

IMG_5629

IMG_5654

IMG_5714

IMG_5716

Na Mwandishi wetu

KIU ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Manispaa ya Iringa kukomboa jimbo la Iringa Mjini katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba mwaka huu inazidi kuongezeka, baada ya umoja wake wa vijana (UVCCM Manispaa ya Iringa) kuahidi kuongeza nguvu ili kuufanikisha mkakati huo.

CCM ililipoteza jimbo hilo katika Uchaguzi Mkuu wa 2010 kwa Mchungaji Msigwa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema)...

 

10 years ago

Michuzi

IRINGA KIBIKI CHILDREN CUP KUANZA KUTIMUA VUMBI IRINGA




 MRATIBU WA KIBIKI CUP HARUNA SALEH AKIWA NA MDAU WA SOKA FRANK KIBIKI MRATIBU WA KIBIKI CUP HARUNA SALEH AKIWA NA MDAU WA SOKA FRANK KIBIKI na wanahabari---------------------------------LIGI inayoshirikisha  watoto walio chini ya umri wa miaka 16, inaloitwa  Iringa Kibiki Childrens Cup 2015 yenye lengo la kupinga mauaji ya walemavu wa ngozi (Albino) inatarajia kuanza kutimua vumbi jumamosi ikishirikisha timu nane za manispaa ya Iringa.

Mratibu wa ligi hiyo, Haruna Salehe alisema...

 

11 years ago

GPL

WAKAZI 6 WA MKOA WA IRINGA WATIMKA NA BODABODA ZA VODACOM IRINGA‏

Mshindi wa Pikipiki katika Promosheni ya Timka na Bodaboda inayoendeshwa na Vodacom Tanzania,Salome Kalinga(wanne toka kushoto)mkazi wa Iringa,akipokea funguo wa pikipiki yake aliyojishindia katika promosheni hiyo toka kwa Kaimu Mkuu wa Kanda ya Kusini Magharibi Bw.Benedict Kitogwa.Ili kujiunga na Promosheni hiyo mteja anatakiwa kutuma neno PROMO kwenda 15544. Meneja… ...

 

10 years ago

Vijimambo

JESHI LA POLISI MKAONI IRINGA LINAWASHIKILIA WANANCHUO 89 WA CHUO KIKUU CHA IRINGA

Wanafunzi  wa  Chuo  Kikuu cha Iringa  wakiwa katika mgomo  leo kutokana na kutopata mkopo kwa wakati ambapo inapelekea kushindwa  kabisa  kuendesha maisha  yao  chuoni  hapo baada ya  serikali  kupitia  bodi ya  mikopo  kuwacheleweshea  pesa  zao.Viongozi  wa  serikali ya wanafunzi wa Chuo  Kikuu cha Iringa  wakiwatuliza  wenzao  leo baada ya mgomo wa wanachuo wa chuo cha RUCU kugoma wakishinikiza kupewa mikopo yao ili kuendesha maisha chuoni hapo.Mkuu  wa chuo  kikuu ya Iringa Prof Joshua...

 

10 years ago

Dewji Blog

Wasanii mkoani Iringa wamemtungia wimbo mgombea ubunge jimbo la Iringa Mjini Frank Kibiki

20150123_123538

MSANII wa muziki wa kizazi, kipya mjini Iringa, ONE LEE akitoa zawadi ya ngoma  kwa mwandishi wa Habari Frank Kibiki kwa niaba ya wasanii wenzake, ambaye hivi karibuni alitangaza nia ya kugombea  ubunge katika jimbo la Iringa mjini.

Akizungumza na waandishi wa habari mjini Iringa,  wasanii hao walisema wameamua kutengeneza wimbo huo kutokana na mchango mkubwa wa mwanahabari huyo, katika fani yao.

Msanii huyo Richard Kayombo  ‘One Lee’ ambaye alikabidhi wimbo kwa niaba ya wasanii wenzake...

 

10 years ago

Michuzi

Mamia ya wana Iringa waendelea kumchangia Mwanahabari Kibiki achukue fomu ya Ubunge Iringa mjini

Na Fredy Mgunda,Iringa
 WAKATI joto la uchaguzi likiendelea kupanda katika jimbo la Iringa mjini, mamia ya vijana, wanawake, walemavu  na wazee katika jimbo hilo wanaendelea kuchangishana fedha ili kumuwezesha mwanahabari Frank Kibiki kuchukua fomu ya kuomba ateuliwe kupeperusha bendera ya CCM, kwenye jimbo hilo.Zoezi hilo linaloendeshwa na baadhi ya vijana waliomtaka Kibiki ambaye ni Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM taifa, kutotoa rushwa badala yake atumie hoja kuelezea sera zake, walisema...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani