Mwenyekiti UVCCM Kilolo akimbilia Chadema
MWENYEKITI wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) wilaya ya Kilolo, mkoani Iringa, Sifuni Makongwa juzi ametangaza kukihama Chama Cha Mapinduzi (CCM) na kujiunga na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema).
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi15 Sep
MATOKEO YA UCHAGUZI MKUU WA CHADEMA TAIFA 2014:FREEMAN MBOWE ASHINDA NAFASI YA MWENYEKITI CHADEMA TAIFA, PROFESA ABDALLAH SAFARI MAKAMU MWENYEKITI WA CHADEMA BARA



10 years ago
Habarileo03 Aug
Mahanga aanguka, akimbilia Chadema
NAIBU Waziri wa Kazi na Ajira, Dk Milton Mahanga (60), amejiondoa katika Chama Cha Mapinduzi (CCM) siku moja baada ya kushindwa katika kura za maoni za ubunge katika Jimbo la Segerea mkoani Dar es Salaam, na sasa ameomba uanachama katika Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema).
10 years ago
GPLMWENYEKITI CCM KILOLO AWATAKA WANAOHUSIKA NA SAKATA LA ESCROW WAJIUZULU
11 years ago
Tanzania Daima02 Jun
Mwenyekiti UVCCM Singida asimamishwa
BARAZA Kuu la Umoja wa Vijana (UVCCM) Mkoa wa Singida limemsimamisha uongozi Mwenyekiti wao wa mkoa, Martin Labia Lissu kwa madai ya kushindwa kutoa utetezi dhidi ya tuhuma zilizokuwa zikimkabili....
10 years ago
Mtanzania15 Jun
Mwenyekiti UVCCM Iringa ajiuzulu
Na Aziza Masoud, Dar es Salaam
MWENYEKITI wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Iringa, Tumaini Msowoya, amejiuzulu nafasi yake kwa kile alichodai kuepuka mgongano wa masilahi.
Amesema amefikia hatua hiyo baada ya mume wake, Frank Kibiki kutangaza nia ya kuwania ubunge wa Iringa Mjini, huku akihisi kutotenda haki katika vikao vya chama ambavyo huwa na uamuzi.
Taarifa iliyotolewa kwa vyombo vya habari jana na Tumaini, ilieleza kuwa ameamua kuchukua hatua hiyo ili aweze...
10 years ago
VijimamboMWENYEKITI WA CHADEMA IRINGA MJINI AINGIA MATATANI TENA, AMTUKANA MWENYEKITI WAKE WA MKOA, ASHITAKIWA
MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Mkoa wa Iringa Mustapher Msowela amemshitaki mwenyekiti wa chama hicho jimbo la Iringa Mjini, Frank Nyalusi ambaye jana jeshi la Polisi lilifanikiwa kumtia nguvuni kabla ya kuachiwa kwa dhamana.Nyalusi aliyeshitakiwa katika kituo cha Polisi cha kati cha mjini Iringa jana, anatuhumiwa kumtusi...
10 years ago
Habarileo20 Jun
Mwenyekiti mstaafu UVCCM atoa somo
MWENYEKITI mstaafu wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Dodoma Mjini, Robert Mwinje, amewahamasisha vijana kuwahoji wagombea wa nafasi mbalimbali katika Uchaguzi Mkuu ujao kama wana sera zitakazowasaidia vijana.
11 years ago
GPLWAJUMBE UVCCM MORO WAMKATAA MWENYEKITI WAO
10 years ago
Mwananchi11 Feb
Mwenyekiti UVCCM kizimbani kwa kumtwanga makonde katibu wake