Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MWENYEKITI CCM KILOLO AWATAKA WANAOHUSIKA NA SAKATA LA ESCROW WAJIUZULU

Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Kilolo Seth Moto akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani). MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Kilolo Iringa, Seth Moto, amewataka wanaohusika na sakata la Escrow aidha kwa kutajwa au kuchota  fedha  za akatunti hiyo wajitathmini na kijivua nyadhifa zao mapema wasisubiri kuondolewa au kufukuzwa na sheria na warudishe fedha zilizoibiwa. Pia ametaka  sheria ichukue...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

BREAKING NEWS: MWENYEKITI WA CCM MKOA ARUSHA NA KATIBU MWENEZI WA MKOA WAJIUZULU NA KUHAMIA CHADEMA

Habari zilizotufikia hivi punde zinasema kuwa Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Arusha Mh. Onesmo Nangole na Katibu Mwenezi wa CCM mkoa wa Arusha wamejiuzulu nafasi zao zote na kujiunga na chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA.Katibu mwenezi amemtahadharisha katibu mkuu wa CCM, ache kuwaita Watanzania makapi.

ENDELEA KUTUFUATILIA KWA TAARIFA ZAIDI

 

10 years ago

GPL

SAKATA LA ESCROW LAIMALIZA CCM MKOANI IRINGA

Katibu wa chama cha mapinduzi mkoani iringa Hassan Mtenga (wa pili kutoka kushoto) akiongoza makatibu wa wilaya kuongea na waandishi wa habari mkoani Iringa (hawapo pichani). Katibu wa chama cha mapinduzi Hassan Mtenga amekiri kuhusu sakata la fedha za tegeta ESCROW na IPTL kuwa limechangia kudondoka katika uchaguzi wa serikali za mitaa uliofanyika hivi karibuni. Akizungumza na waandishi wa habari amesema kuwa suala hilo...

 

9 years ago

Habarileo

Mwenyekiti UVCCM Kilolo akimbilia Chadema

MWENYEKITI wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) wilaya ya Kilolo, mkoani Iringa, Sifuni Makongwa juzi ametangaza kukihama Chama Cha Mapinduzi (CCM) na kujiunga na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema).

 

5 years ago

Michuzi

MWENYEKITI WA CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM) RAIS MAGUFULI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA MAKAMU MWENYEKITI WA CCM ZANZIBAR DKT SHEIN JIJINI DODOMA


 Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo na Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM upande wa Zanzibar Rais wa Zanzibar Ali Mohamed Shein muda mfupi kabla ya kuanza kwa Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi CCM Chamwino mkoani Dodoma.

 

10 years ago

BBCSwahili

Sakata la Escrow

Kashfa ya Akaunti ya Tegeta Escrow bado inafukuta nchini Tanzania.

 

10 years ago

Habarileo

Pinda afunguka sakata la Escrow

WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda amesema taarifa nyingi za mjadala wa akaunti ya Escrow iliyofunguliwa kutokana na mgogoro wa malipo ya gharama za umeme kati ya kampuni ya kufua umeme ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL) na Shirika la Umeme Nchini (TANESCO) ambao unaendelea bungeni, umeongezwa chumvi na wakati ukifika Watanzania watatolewa taarifa kamili.

 

10 years ago

BBCSwahili

Sakata ya Escrow leo jioni

Ripoti iliyokuwa ikisubiriwa na wananchi kuhusu ukweli wa uchotaji wa mamilioni ya fedha kutoka akaunti ya ESCROW kutolewa leo

 

10 years ago

Mwananchi

Lissu amtaja JK sakata la escrow

Mnadhimu Mkuu wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni, Tundu Lissu amemtaja Rais Jakaya Kikwete kuwa sehemu ya mgogoro mzima wa Kampuni ya kufua umeme ya IPTL tangu ilipoingia nchini mwaka 1994.

 

10 years ago

Habarileo

Wabunge waungana sakata la Escrow

Naibu Waziri wa Fedha, Mwigulu Mchemba akichangia mjadala wa Escrow uliowasilishwa bungeni na Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) mjini Dodoma jana. (Na Mpigapicha Wetu).BUNGE la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania jana lilikuwa moja dhidi ya utoaji wa fedha katika akaunti ya Tegeta Escrow katika Benki Kuu ya Tanzania (BoT), huku baadhi ya mawaziri wakitofautiana na taarifa ya Serikali ya utetezi wa suala hilo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani