SAKATA LA ESCROW LAIMALIZA CCM MKOANI IRINGA
![](http://api.ning.com:80/files/XCoElX7q3j1*zkwOtmQIlUnyd709iQx-cgiaNemBZOv2JOyzNZX58C4I0YCy7zl4GHdp378PPGMEzoya-IuMeKSQBs5Tjft4/p.txt.jpg?width=650)
Katibu wa chama cha mapinduzi mkoani iringa Hassan Mtenga (wa pili kutoka kushoto) akiongoza makatibu wa wilaya kuongea na waandishi wa habari mkoani Iringa (hawapo pichani). Katibu wa chama cha mapinduzi Hassan Mtenga amekiri kuhusu sakata la fedha za tegeta ESCROW na IPTL kuwa limechangia kudondoka katika uchaguzi wa serikali za mitaa uliofanyika hivi karibuni. Akizungumza na waandishi wa habari amesema kuwa suala hilo...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLMWENYEKITI CCM KILOLO AWATAKA WANAOHUSIKA NA SAKATA LA ESCROW WAJIUZULU
10 years ago
Vijimambo16 Nov
WANACHAMA CHADEMA KALENGA MKOANI IRINGA WAHAMIA CCM
10 years ago
Dewji Blog11 Dec
Katibu wa CCM mkoani Iringa awaonya wanavyuo kujiusisha na maswala ya siasa
Katibu wa Chama cha Mapinduzi mkoani Iringa, HASSANI MTENGA akiwahutubia wananchi wa mataa wa Zemtema mjini Iringa.
Na Fredy Mgunda, Iringa
Katibu wa Chama cha Mapinduzi CCM mkoani Iringa HASSANI MTENGA, amefungua rasmi kampeni za uchaguzi wa Serikali za mitaa katika mtaa wa semtema mkoani Iringa.
Akiwahutubia mamia ya wananchi wa mtaa wa Semtema MTENGA aliwataka wananchi wa eneo hilo kuwa makini wakati wa kuchagua kiongozi katika uchaguzi utakaofanyika tarehe 14/12/2014.
MTENGA alisema...
10 years ago
Michuzi11 Dec
KATIBU WA CCM MKOANI IRINGA AWAONYA WANAVYUO KUJIHUSISHA NA MASWALA YA SIASA
![](https://2.bp.blogspot.com/-0mNiL2IDrB4/VIkai64JxoI/AAAAAAAB0DI/dmHgO2AvWcw/s1600/IMG_20141209_163002.jpg)
![](https://1.bp.blogspot.com/-4XqxrNnBcFs/VIkaDrF1_rI/AAAAAAAB0Cw/6gKBOjbTLko/s1600/IMG_20141209_162327.jpg)
![](https://4.bp.blogspot.com/-kuczFux7Yo4/VIkaWLDwSQI/AAAAAAAB0DA/L-eEPoTAjlE/s1600/IMG_20141209_162448.jpg)
![](https://4.bp.blogspot.com/-3EhKibEt_tM/VIkauUQFGGI/AAAAAAAB0DQ/zRueHD3Tn3Q/s1600/IMG_20141209_162514.jpg)
Na Fredy Mgunda, Iringa. Katibu wa Chama cha Mapinduzi CCM mkoani Iringa HASSANI MTENGA, amefungua rasmi kampeni za uchaguzi wa Serikali za mitaa katika mtaa wa semtema mkoani Iringa.
Akiwahutubia mamia ya wananchi wa mtaa wa semtema...
11 years ago
GPL![](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2014/03/11.jpg)
MAKAMU MWENYEKITI WA CCM BARA MZEE PHILIP MANGULA AWASILI MKOANI IRINGA
11 years ago
MichuziMWIGULU NCHEMBA AMNADI MGOMBEA WA CCM JIMBO LA KALENGA,MKOANI IRINGA LEO
10 years ago
Dewji Blog06 Oct
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana awasili Mkoani Iringa kwa ziara ya siku sita
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akivishwa skafu mara baada ya kuwasili mkoani Iringa kuanza ziara ya siku sita ya kukagua utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya mwaka 2010 na kuhimiza wananchi kushiriki katika shughuli za maendeleo ikiwa ni pamoja na kukagua uhai wa chama. Katika ziara hiyo Katibu Mkuu Abdulrahman Kinana anaongozana na Nape Nnauye Katibu wa NEC Siasa, Itikadi na Uenezi, Kulia ni Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Iringa Ndugu Jesca Msambatavangu na katikati ni Katibu...
10 years ago
BBCSwahili24 Dec
10 years ago
Dewji Blog26 Jan
Wasanii mkoani Iringa wamemtungia wimbo mgombea ubunge jimbo la Iringa Mjini Frank Kibiki
MSANII wa muziki wa kizazi, kipya mjini Iringa, ONE LEE akitoa zawadi ya ngoma kwa mwandishi wa Habari Frank Kibiki kwa niaba ya wasanii wenzake, ambaye hivi karibuni alitangaza nia ya kugombea ubunge katika jimbo la Iringa mjini.
Akizungumza na waandishi wa habari mjini Iringa, wasanii hao walisema wameamua kutengeneza wimbo huo kutokana na mchango mkubwa wa mwanahabari huyo, katika fani yao.
Msanii huyo Richard Kayombo ‘One Lee’ ambaye alikabidhi wimbo kwa niaba ya wasanii wenzake...