WAJUMBE UVCCM MORO WAMKATAA MWENYEKITI WAO
Baadhi ya wajumbe wa UVCCM kutoka wilaya mbalimbali za mkoa wa Morogoro wakiwa na mabango ya kumkataa Mwenyekiti wa UVCCM mkoa wa Morogoro Herieth Sutta anayedaiwa kushindwa…
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo
10 years ago
Michuzi
10 years ago
Habarileo01 Mar
Iramba wamkataa mkurugenzi wao
WAJUMBE wa Kamati ya Utawala, Mipango na Fedha katika Baraza la Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Iramba mkoani Singida, wameamua kutohudhuria kikao chochote hadi Serikali itakapomwondoa Mkurugenzi Mtendaji wake (DED), Halima Mpita.
10 years ago
Habarileo07 Jan
ACT wazidi kuvurugana, wamkataa Mwenyekiti
HALI si shwari ndani ya Chama cha Uwazi na Mabadiliko (ACT-Tanzania) baada ya Kamati Kuu ya chama hicho, kupiga kura ya kutokuwa na imani na Mwenyekiti wake, Kadawi Limbu na kumsimamisha Naibu Katibu Mkuu (Bara), Leopold Mahona.
11 years ago
Mwananchi22 Aug
UVCCM Arusha wamtimua katibu wao
11 years ago
Tanzania Daima02 Jun
Mwenyekiti UVCCM Singida asimamishwa
BARAZA Kuu la Umoja wa Vijana (UVCCM) Mkoa wa Singida limemsimamisha uongozi Mwenyekiti wao wa mkoa, Martin Labia Lissu kwa madai ya kushindwa kutoa utetezi dhidi ya tuhuma zilizokuwa zikimkabili....
10 years ago
Mtanzania15 Jun
Mwenyekiti UVCCM Iringa ajiuzulu
Na Aziza Masoud, Dar es Salaam
MWENYEKITI wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Iringa, Tumaini Msowoya, amejiuzulu nafasi yake kwa kile alichodai kuepuka mgongano wa masilahi.
Amesema amefikia hatua hiyo baada ya mume wake, Frank Kibiki kutangaza nia ya kuwania ubunge wa Iringa Mjini, huku akihisi kutotenda haki katika vikao vya chama ambavyo huwa na uamuzi.
Taarifa iliyotolewa kwa vyombo vya habari jana na Tumaini, ilieleza kuwa ameamua kuchukua hatua hiyo ili aweze...
10 years ago
Habarileo15 Oct
Mwenyekiti UVCCM Kilolo akimbilia Chadema
MWENYEKITI wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) wilaya ya Kilolo, mkoani Iringa, Sifuni Makongwa juzi ametangaza kukihama Chama Cha Mapinduzi (CCM) na kujiunga na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema).