Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


ACT wazidi kuvurugana, wamkataa Mwenyekiti

Katibu Mkuu wa ACT-Tanzania, Samson Mwigamba,HALI si shwari ndani ya Chama cha Uwazi na Mabadiliko (ACT-Tanzania) baada ya Kamati Kuu ya chama hicho, kupiga kura ya kutokuwa na imani na Mwenyekiti wake, Kadawi Limbu na kumsimamisha Naibu Katibu Mkuu (Bara), Leopold Mahona.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Raia Mwema

CCM Mbeya wazidi kuvurugana

MAMBO sio shwari ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika Jiji la Mbeya, wamefunga mwaka wakishu

Felix Mwakyembe

 

11 years ago

Mwananchi

Viongozi CCM wazidi kuvurugana urais mwaka 2015

Aliyekuwa Makamu Mwenyekiti wa CCM, Pius Msekwa, amewaonya wanachama wa chama hicho wenye nia ya kugombea nafasi za uongozi katika uchaguzi mkuu ujao akiwataka kuzingatia kanuni za chama hicho, vinginevyo watahukumiwa.

 

11 years ago

GPL

WAJUMBE UVCCM MORO WAMKATAA MWENYEKITI WAO

Baadhi ya wajumbe wa UVCCM kutoka wilaya mbalimbali za mkoa wa Morogoro wakiwa na mabango ya kumkataa Mwenyekiti wa UVCCM mkoa wa Morogoro Herieth Sutta anayedaiwa kushindwa…

 

10 years ago

GPL

MWENYEKITI WA CHAMA CHA ACT-TANZANIA AKIPINGA CHAMA CHA ACT-WAZALENDO‏

 Mwenyekiti wa ACT-Tanzania,  Lucas Kadawi Limbu.   Mwenyekiti wa ACT-Tanzania,  Lucas Kadawi Limbu (katikati), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam jana, ambapo alipinga Msajili wa Vyama Siasa Nchini, Jaji Francis Mtungi kubadilisha jina la chama cha ACT-Tanzania na kuwa ACT-Wazalendo bila ya kufuata utaratibu. Kulia ni Katibu Muenezi wa chama hicho, Fredy Kisena na Katibu Mkuu wa chama...

 

10 years ago

Mtanzania

Mwenyekiti ACT asimamishwa

LIMBUNa Aziza Masoud, Dar es Salaam
HALMASHAURI Kuu ya Chama cha Alliance for Transparent (ACT), imemsimamisha uongozi Mwenyekiti wa Taifa wa muda wa chama hicho, Kadawi Limbu, na kumwondoa katika nafasi yake aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu, Leopold Mahona kwa makosa ya kinidhamu.
Akizungumza jijini Dar es Salaam jana, Katibu Mkuu wa muda wa chama hicho, Samson Mwigamba, alisema hatua hiyo imekuja baada ya kamati maalumu ya kuchunguza masuala ya kinidhamu kujiridhisha kuwa kitendo alichofanya...

 

10 years ago

Michuzi

MWENYEKITI WA CHAMA CHA ACT-TANZANIA AKIPINGA CHAMA CHA ACT-WAZALENDO

  Mwenyekiti wa ACT-Tanzania,  Lucas Kadawi Limbu (katikati), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam jana, ambapo alipinga Msajili wa Vyama Siasa Nchini, Jaji Francis Mtungi kubadilisha jina la chama cha ACT-Tanzania na kuwa ACT-Wazalendo bila ya kufuata utaratibu. Kulia ni Katibu Muenezi wa chama hicho, Fredy Kisena na Katibu Mkuu wa chama hicho, Leopold Mahona. Viongozi wa chama hicho wakiwa meza kuu. Kutoka kushoto Kaimu Katibu wa chama hicho, mkoa wa Dar es...

 

9 years ago

Habarileo

Mwenyekiti ACT-Wazalendo awakumbusha kazi waandishi

ALIYEKUWA mgombea wa Urais kupitia chama cha ACT- Wazalendo, Anna Mghwira amewataka waandishi wa habari mkoani hapa, kutumia taaluma yao kuwaelimisha wazazi au walezi wa wanafunzi wa shule za msingi na sekondari juu ya athari za utoro shuleni.

 

10 years ago

Habarileo

Mwenyekiti ACT auawa na viungo vyake kupikwa nyama

Kamanda wa Polisi mkoa wa Katavi, Dhahiri KidavashariMWENYEKITI wa kitongoji cha Songambele katika wilaya ya Mlele mkoani Katavi kupitia chama cha ACT, Richald Madirisha (31) ameuawa kwa kuchinjwa na kiwiliwili chake kutenganishwa akituhumiwa kunyang’anya mke wa mtu.

 

5 years ago

CCM Blog

ALIYEKUWA KAIMU MWENYEKITI ACT WAZALENDO AKIHAMA CHAMA



   KIMENUKA! Ndivyo unavyoweza kusema baada ya aliyekua Kaimu Mwenyekiti wa Chama cha ACT Wazalendo, Yeremia Maganja kutangaza kukihama chama hicho kwa kile alichoeleza kutoridhishwa na mwenendo wa chama hicho.

Maganja ambaye pia amewahi kuwa mshauri wa ACT amesema sababu kuu zilizomfanya ajiondoe kwenye chama hicho ni namna ambavyo uchaguzi mkuu uliofanyika Machi mwaka huu ulivyoendeshwa pamoja na ujio wa Maalim Seif Sharif Hamad kutokea Chama cha Wananchi (CUF).
Amesema mwanzoni...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani