Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Viongozi CCM wazidi kuvurugana urais mwaka 2015

Aliyekuwa Makamu Mwenyekiti wa CCM, Pius Msekwa, amewaonya wanachama wa chama hicho wenye nia ya kugombea nafasi za uongozi katika uchaguzi mkuu ujao akiwataka kuzingatia kanuni za chama hicho, vinginevyo watahukumiwa.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Raia Mwema

CCM Mbeya wazidi kuvurugana

MAMBO sio shwari ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika Jiji la Mbeya, wamefunga mwaka wakishu

Felix Mwakyembe

 

10 years ago

Habarileo

ACT wazidi kuvurugana, wamkataa Mwenyekiti

Katibu Mkuu wa ACT-Tanzania, Samson Mwigamba,HALI si shwari ndani ya Chama cha Uwazi na Mabadiliko (ACT-Tanzania) baada ya Kamati Kuu ya chama hicho, kupiga kura ya kutokuwa na imani na Mwenyekiti wake, Kadawi Limbu na kumsimamisha Naibu Katibu Mkuu (Bara), Leopold Mahona.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Utafiti urais 2015 wazidi kuumbuliwa

MATOKEO ya utafiti wa nani anayefaa kugombea urais kupitia CCM yaliyotangazwa hivi karibuni umeendelea kupingwa na baadhi ya wananchi baada ya kudaiwa kwamba kuna siri nzito iliyojificha kwenye utafiti huo....

 

9 years ago

Mtanzania

Viongozi wazidi kuhama CCM

Chama-Cha-MapinduziSafina Sarwatt (Kilimanjaro) na Eliya Mbonea (Monduli)

IDADI ya viongozi wanaohama Chama Cha Mapinduzi (CCM) na kwenda Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) imezidi kuongezeka na jana Katibu wa Uchumi na Fedha wa CCM Mkoa wa Kilimanjaro, Paul Matemu pamoja na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Vijana wa chama hicho, Fredrick Mushi, walitangaza kuchukua uamuzi huo, wakifuata nyayo za Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa.

Jana hiyo hiyo mabalozi 110 wa nyumba 10, makatibu wa tawi wanne, wajumbe...

 

10 years ago

GPL

MASHAUZI WAZIDI KUNOGESHA MKESHA WA MWAKA MPYA 2015 DAR LIVE

Mpiga gitaa la Solo wa Kundi la Mashauzi Classic,Jumanne Mohammed akilitandika gitaa kwa ustadi. Muimbaji wa Mashauzi Classic, Hasheem Mohammed…

 

11 years ago

Habarileo

'Viongozi CCM acheni kuwaza urais'

VIONGOZI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Zanzibar wametakiwa kuacha kuwaza kinyang’anyiro cha urais mwakani badala yake waelekeze nguvu zaidi katika kazi ya kutafuta wapiga kura wapya kuhakikisha chama hicho kinashinda uchaguzi mkuu ujao.

 

9 years ago

Michuzi

MGOMBEA MWENZA WA CCM SAMIAH SULUHU ANADI ILANI YA CCM MWAKA 2015 KATIKA KATA YA KYENGEGE,WILAYA YA IRAMBA

Mgombea Mwenza wa nafasi ya Urais kwa Chama cha Mapinduzi Bi.Samia Suluh akisalimiana na Mh;Mwigulu Nchemba ambaye ni mgombea Ubunge jimbo la Iramba hii leo,Bi.Samiah suluhu katika ziara yake ya kampeni ndani ya mkoa wa Singida,hii leo amefika Kata ya Kyengege Jimbo la Iramba kwaajili ya kunadi Ilani ya CCM ya uchaguzi ya Mwaka 2015 na kuomba kura za kishindo kwa nafasi zote za Udiwani,Ubunge na Urais ifikapo Tar.25.10.2015
Bi.Samiah Suluhu ambaye ni Mgombea Mwenza wa nafasi ya Urais kwa...

 

10 years ago

Dewji Blog

Kamati maalum ya CCM Zanzibar yapitisha jina la Dkt. Shein kugombea urais kwa tiketi ya CCM Uchaguzi mkuu wa oktoba 2015

1

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilal, ambaye pia ni  Mjumbe wa Kamati Maalum ya CCM Zanzibar, akisalimiana na Rais wa Zanzibar, ambaye pia ni Makamu  Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, Dkt. Mohamed Ali Shein, wakati walipowasili kwenye Ukumbi wa Ofisi za CCM Kisiwandui mjini Zanzibar kwa ajili ya kuhudhuria katika kikao cha Kamati Maalum ya CCM Zanzibar, ambacho leo kilipitisha jina la Dkt. Shein kuwania nafasi ya Urais kwa tiketi ya CCM. (Picha na OMR).

2

 

10 years ago

Michuzi

VIONGOZI WA BENKI YA NBC WAPANGA MIKAKATI YA MAENDELEO MWAKA 2015 NA KUZAWADIA WAFANYAKAZI WAKE BORA

 Mkurugenzi wa Muda wa Benki  ya NBC , Bw. Pius Tibazarwa akizungumza na wafanyakazi wa NBC katika warsha ya siku moja kuzungumzia maendeleo na mikakati ya benki hiyo kwa mwaka 2015. Warsha hiyo iliyofanyika jijini Dar es Salaam juzi, ilijumuisha wakurugenzi wote wa benki hiyo, wakuu wa vitengo na mameneja wa matawi ya NBC nchi nzima. Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Hazina cha Benki ya NBC, Barton Hamisi,  akisisitiza jambo wakati wa warsha ya siku moja kuzungumzia maendeleo na mikakati ya benki...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani