MASHAUZI WAZIDI KUNOGESHA MKESHA WA MWAKA MPYA 2015 DAR LIVE
Mpiga gitaa la Solo wa Kundi la Mashauzi Classic,Jumanne Mohammed akilitandika gitaa kwa ustadi. Muimbaji wa Mashauzi Classic, Hasheem Mohammed…
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL03 Jan
10 years ago
GPL01 Jan
9 years ago
Global Publishers01 Jan
Shoo ya Utangulizi Mkesha wa Mwaka Mpya Dar Live noma sana!
Malaika Band wakikamua shoo ya utangulizi ndani ya Dar Live.
Makamuzi yakiendelea
….mpiga Drama akifanya yake.
….mpiga gita naye akitoa vionjo vyake.
Nyomi waliofika Dar Live kushuhudia shoo ya kufunga mwaka 2015 na kuukaribisha mwaka 2016
Shabiki maarufu wa Yanga, Mama Tunu akicheza jukwaani wakati wa shoo hiyo.
Mashabiki wakijiachia jukwaani
…ni full kijiachia kuukaribisha 2016.
PICHA NA DENIS MTIMA/GPL
10 years ago
GPL01 Jan
10 years ago
GPLKUELEKEA MWAKA MPYA 2015 DAR LIVE
10 years ago
Michuzi01 Jan
WATOTO 63 WAZALIWA MKESHA WA MWAKA MPYA 2015
Jumla ya watoto 63 wamezaliwa katika mkesha wa mwaka mpya 2015 katika hospitali za Temeke,Kinondoni pamoja na Ilala jijini Dar es Salaam.
Hospitali ya Temeke wamezaliawa watoto 19,Muuguzi wa zamu ,Rolester Kinunda alisema watoto 10 ni wakiume na tisa (9) ni wa kike na wazazi wa watoto hao wamejifungua salama na wameshapewa ruhusa .
Hospitali ya Amana Ilala watoto 21 wamezaliwa 11 wakiwa ni watoto wa kike na wakiume 10 na mapacha moja na kati ya watoto hao 21...
10 years ago
GPL01 Jan
9 years ago
Global Publishers26 Dec