Schweinsteiger kufungiwa Mechi 3.
Kiungo wa Manchester United Bastian Schweinsteiger yupo hatarini kufungiwa Mechi 3 za ligi kuu ya England kwa kosa la Kinidhamu.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo508 Dec
Bastian Schweinsteiger kufungiwa na FA
Kiungo wa Manchester United, Mjerumani Bastian Schweinsteiger 31, anakabiliwa na adhabu ya kufungiwa mechi tatu na chama cha soka England (FA) kutokana na kitendo chake cha kumpiga kiwiko mlinzi wa Westham United, Winston Reid katika mchezo uliomalizika kwa sare ya bila kufungana Jumamosi iliyopita.
Schweinsteiger anatakiwa hadi Alhamis hii, saa sita mchana kukubali au kukataa kosa hilo baada ya FA kumuadhibu Jumatatu hii.
Chama cha waamuzi kupitia video wamebaini kosa hilo la Bastian...
9 years ago
Bongo511 Dec
Chama cha soka England (FA) chamfungia rasmi Schweinsteiger mechi 3
Chama cha soka cha England ( FA) kimetangaza rasmi kumfungia kiungo wa Manchester United, Bastian Schweinsteiger Mechi 3.
Adhabu hii inaanza mara moja baada ya Mjerumani huyo kuamua kutopinga mashitaka yake kwa kosa ambalo refa hakuliona na badala yake kuhukumiwa kwa ushahidi wa mkanda wa video.
Schweinsteiger mwenye miaka 31, anadaiwa kumpiga beki wa West Ham Winston Reid kwa mkono walipokuwa wakigombea mpira wa free kick katika mechi ya ligi kuu England iliyomalizika 0-0 Jumamosi...
10 years ago
BBCSwahili22 Jun
Man U yamwinda Schweinsteiger na Ramos
10 years ago
BBCSwahili11 Jul
Man United imesajili Bastian Schweinsteiger
9 years ago
Dewji Blog09 Dec
FA yamfungia michezo mitatu Schweinsteiger, sababu hii hapa
Na Rabi Hume, Modewjiblog
Chama cha Soka cha Wingereza FA imemfungia kiungo wa Manchester United, Bastian Schweinsteiger (pichani) kwa michezo mitatu baada ya kumchezea vibaya mchezaji wa West Ham United, Winston Reid
Katika taarifa ya FA inasema Schweinsteiger alifanya kosa hilo katika mchezo wa jumamosi wakati timu hizo zilipokutana na kutoka sare ya bila kufungana.
FA ilisema Schweinsteiger alimpiga kwa kiwiko Reid wakati wakigombea mpira na refa wa mchezo huo, Mark Clattenburg hakuona...
10 years ago
Africanjam.ComBASTIAN SCHWEINSTEIGER AGREES TERMS ON MANCHESTER UNITED TRANSFER
Manchester United have agreed a stunning deal to sign Bayern Munich midfielder Bastian Schweinsteiger, according to reports emerging in Germany.The Red Devils’ well-documented summer search for a high profile central midfielder has led to links with Southampton enforcer Morgan Schneiderlin, but it appears a move for the German has now been prioritised.
And German daily BILD has revealed that Schweinsteiger informed the Bavarians of his desire for a new challenge, citing United manager and...
10 years ago
Africanjam.ComBASTIAN SCHWEINSTEIGER HONOURED TO BE FIRST GERMAN TO PLAY FOR MANCHESTER UNITED
Bastian Schweinsteiger is honoured to become the first German to play for Manchester United and believes the team can do a 'great job' this season.The World Cup winner joined the Red Devils in a £15million deal from Bayern Munich on Saturday and is seen as the man to bring some authority to United’s midfield.
Schweinsteiger is pleased to be the first of his countrymen to play for Manchester United and told MUTV: 'It’s a big honour. I had a joke with Wayne [Rooney] about it before, but it’s a...
9 years ago
Africanjam.ComBASTIAN SCHWEINSTEIGER TO SUE COMPANY MAKING "NAZI SOLDIER TOY" THAT LOOKS LIKE HIM
The dolls, named 'World War II Army Supply Duty - Bastian', are made in China by Dragon in Dream.The company told German paper Bild any resemblance was "purely coincidental"."We don't sell any figures which resemble...