Man U yamwinda Schweinsteiger na Ramos
Klabu ya Manchester United ina hamu ya kumsajili kiungo wa kati wa Bayern Bastian Schweinsteiger na mlinzi wa Real Madrid Sergio Ramos.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili02 Jul
Calderon:Ramos angependa kujiunga na Man U
Beki wa Real Madrid Sergio Ramos ataihama kilabu yake ili kujiunga na Manchester United kulingana na aliyekuwa rais wa Real Madrid Ramon Calderon.
10 years ago
BBCSwahili11 Jul
Man United imesajili Bastian Schweinsteiger
Manchester United imekubaliana na Bayern Munich kumsajili kiungo cha kati wa Ujerumani Bastian Schweinsteiger
10 years ago
BBCSwahili17 Jul
Liverpool yamwinda Benteke
Klabu ya Liverpool nchini Uingereza imetoa kitita cha pauni milioni 32.5 kwa Aston Villa kwa lengo la kumsajili mshambuliaji wa Ubelgiji Christian Benteke.
10 years ago
BBCSwahili01 Apr
Chelsea yamwinda Theo Walcot
Kilabu ya Chelsea inaiangazia kwa karibu hali ya kandarasi ya mchezaji wa Chelsea Theo Walcot katika kilabu ya Arsenal
10 years ago
BBCSwahili17 Aug
Ramos asaini mkataba mpya
Beki wa klabu ya soka ya Real Madrid Sergio Ramos, amesaini mkataba mpya na timu yake
10 years ago
BBCSwahili30 Jun
Ramos kunyakuliwa na Machester United?
Timu ya Manchester inawania kumsajili Sergio Ramos ambaye anataka kuondoka Real Madrid baada ya kushindwa kuongezewa mshahara.
10 years ago
BBCSwahili17 Jul
Real Madrid:Sergio Ramos haondoki
Mchezaji Sergio Ramos anayelengwa na Manchester United msimu huu hataondoka Real Madrid kulingana na mkufunzi Rafael Benitez.
9 years ago
BBCSwahili09 Dec
Schweinsteiger kufungiwa Mechi 3.
Kiungo wa Manchester United Bastian Schweinsteiger yupo hatarini kufungiwa Mechi 3 za ligi kuu ya England kwa kosa la Kinidhamu.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
08-May-2025 in Tanzania