Chama cha soka England (FA) chamfungia rasmi Schweinsteiger mechi 3
Chama cha soka cha England ( FA) kimetangaza rasmi kumfungia kiungo wa Manchester United, Bastian Schweinsteiger Mechi 3.
Adhabu hii inaanza mara moja baada ya Mjerumani huyo kuamua kutopinga mashitaka yake kwa kosa ambalo refa hakuliona na badala yake kuhukumiwa kwa ushahidi wa mkanda wa video.
Schweinsteiger mwenye miaka 31, anadaiwa kumpiga beki wa West Ham Winston Reid kwa mkono walipokuwa wakigombea mpira wa free kick katika mechi ya ligi kuu England iliyomalizika 0-0 Jumamosi...
Bongo5
Habari Zinazoendana
5 years ago
BBCSwahili13 Mar
Coronavirus: Mechi za Ligi ya soka ya England kuahirishwa hadi tarehe 3 Aprili
9 years ago
BBCSwahili09 Dec
Schweinsteiger kufungiwa Mechi 3.
9 years ago
BBCSwahili10 Nov
Rais, Chama cha Soka Ujerumani ajiuzulu
9 years ago
MichuziCHAMA CHA MADEREVA WA SERIKALI TANZANIA CHAPATA USAJILI RASMI
10 years ago
GPLCHAMA CHA VIKOBA ENDELEVU MAZINGIRA CHAZINDULIWA RASMI SINZA
10 years ago
MichuziUJUMBE WA CHAMA CHA FRELIMO CHA MSUMBIJI WAKUTANA NA BAADHI YA WAJUMBE WA CHAMA CHA MAPINDUZI ZANZIBAR
9 years ago
Dewji Blog18 Sep
Chama cha Madereva wa Serikali Tanzania (CMST) chapata usajili rasmi
Mwenyekiti wa Chama cha Madereva wa Serikali Tanzania (CMST) wa kwanza kushoto mstari wa mbele Bw. Bahatisha Selemani Mkala akipokea Cheti cha Usajili wa Chama hicho kutoka kwa Afisa usajili Bw. Hashim Mwanga wakati wa. makabidhiano yaliyofanyika katika ofisi za msajili zilizopo Wizara ya Mambo ya Ndani ya nchi.Hafla hiyo imefanyika jijini Dar es Salaam leo. (Picha na Benjamin Sawe)
Mwenyekiti wa Chama cha Madereva wa Serikali Tanzania (CMST) aliyeshika cheti cha usajili Bw. Bahatisha...
10 years ago
Vijimambo22 Jul
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA, kimetoa ratiba rasmi ya kura za maoni
Ifuatayo ni ratiba za kura hizo katika majimbo ya Tanzania Bara
9 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-rLVISgdqld0/VkLphBPskfI/AAAAAAADCG0/SJgF1_06ams/s72-c/MAKONDA.jpg)
PAUL MAKONDA KUWA MGENI RASMI UZINDUZI WA CHAMA CHA WAPISHI WA KEKI NCHINI
![](http://4.bp.blogspot.com/-rLVISgdqld0/VkLphBPskfI/AAAAAAADCG0/SJgF1_06ams/s400/MAKONDA.jpg)
Akizungumza na waandishi wa habari jijini DSM, mwenyekiti wa muda wa umoja huo PHILIP MBONDE amesema umoja huo utaweza kuwaunganisha wapishi wa keki na wanaojishughulisha na biashara ya cake nchini na kuweza kujumuika pamoja katika majukumu mbali mbali.
“ Hili ni jambo jipya hapa nchini, wapo wajasiriamali...