Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


UKATILI ULIOJE! WAZAZI WAMPIGA, WAMFUNGA KAMBA MTOTO WAO, WAMFUNGIA NDANI

Na Dustan Shekidele Katika hali inayoonyesha ukatili wa ajabu, mwanamke mmoja aliyejulikana  kwa jina la  Asha Mohamed, akishirikiana na mumewe, walimfunga kamba miguu na mikono mwanaye wa kumzaa Salum Mohamed (9) na kumfungia ndani ya nyumba yake huku wenyewe wakienda kusikojulikana muda mrefu Jumatatu iliyopita huko Mkundi, nje kidogo ya mji wa Morogoro. Polisi wakimfungua kamba mtoto huyo alizokua amefungwa na wazazi...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

GPL

UKATILI ULIOJE! SHANGAZI AMCHOMA MIKONO MTOTO WAKE

Niukatili ulioje ambao amefanyiwa mtoto Dorine (12), denti wa darasa la nne Shule ya Msingi Makabe, Mbezi jijini Dar.Dorine anadaiwa kuunguzwa na maji ya moto yaliyochemshwa kwenye jiko la gesi na walezi wake wa karibu akiwemo shangazi yake aliyetajwa kwa jina moja la Scola ambaye alitiwa mbaroni na bibi yake ambaye haikujikana alipo.  Dorine akiwa hospitali baada ya kuchomwa mikono na shangazi yake. Katika tukio hilo la...

 

9 years ago

Habarileo

Mchungaji, mkewe wamfungia ndani mtoto kwa miaka 12

POLISI mkoani Singida inamshikilia Mchungaji wa Kanisa la Pentekoste Itaja na mkewe kwa tuhuma za kumfungia ndani ya chumba mtoto wao mlemavu wa viungo kwa miaka 12 bila kutoka nje.

 

10 years ago

GPL

UKATILI ULIOJE!

KWELI ni ukatili! Mwanamke mmoja anayesemekana kuwa ni mke wa mtu anadaiwa kuhusika katika kumtumbukiza kichanga wake kwenye choo cha Ofisi ya Serikali ya Mtaa wa Mwanzo Mgumu, Kata ya Mwembesongo Manispaa ya Morogoro.. ...Soma zaidi===>http://bit.ly/1N53yel

 

11 years ago

GPL

WAZAZI WASUSA MAITI YA MTOTO WAO

Haijakaa sawa! Tofauti na desturi ya Kitanzania watu kuwa pamoja katika kipindi cha matatizo, wazazi wa marehemu, Leonard Jorome Mwakanyamale, wanadaiwa kususa kuzika maiti ya mtoto wao kisa ugomvi kati ya marehemu na nduguze. Kijana Leonard Jorome Mwakanyamale,enzi za uhai wake Leonard ambaye alikuwa akiishi Buguruni jijini Dar, alifariki dunia Mei 10, mwaka huu kwa Ugonjwa wa Malaria.Kwa mujibu wa taarifa kutoka kwa jirani...

 

11 years ago

Mwananchi

Wazazi wapanda jukwaani kumpigia debe mtoto wao

Zikiwa zimebaki siku 11 kabla ya kufanyika uchaguzi wa Jimbo la Kalenga, mkoani Iringa, baba mzazi wa mgombea wa Chadema, Victor Tendega mwishoni mwa wiki iliyopita, alipanda jukwaani na kumpigia debe mtoto wake, Grace Tendega.

 

10 years ago

Mwananchi

Wazazi wamfunga mnyororo kijana kwa miaka mitatu

>Unakumbuka masaibu ya mtoto, hayati Nasra Mvungi aliyeishi kwenye boksi miaka mitatu? Mkazi wa Mbondole, Wilaya ya Ilala, Uwesu Mansuri (28) naye ameishi kwa kufungwa mnyororo mguuni na wazazi wake kwa miaka mitatu kwa madai ya kulinda usalama wake.

 

5 years ago

BBCSwahili

Wazazi wampata mtoto wao aliyeibiwa miaka 32 iliyopita China

Familia moja China, aliyoibiwa mtoto wao wa kiume katika hoteli mwaka 1988 imempata baada ya miaka 32.

 

5 years ago

BBCSwahili

Wazazi washtakiwa kwa 'kumruhusu' mtoto wao kuvalia nguo za kike

Luiz aliruhusiwa kuvalia nguo za kischana tangu alipokuwa na miaka mitatu baada ya wazazi wake kusadiki kwa ana jinsia mbili. Familia hiyo iliishia kuchunguzwa ili kubaini ikiwa ilikiuka haki ya mtoto huyo.

 

10 years ago

Bongo5

Wazazi wa Miss Tanzania mpya Lilian Kamazima watetea urai wa mtoto wao

Wazazi wa Miss Tanzania 2014 mpya Lilian Kamazima, Mzee Deus na mkewe Eva Kamazima wameibuka na kueleza kuwa binti yao ni Mtanzania halisi. Miss Tanzania 2014 Lilian Mzee Kamazima anayeishi Arusha aliibuka jana na kutoa tamko kuhusiana na tetesi zinazohusu utata wa uraia wa binti yake na kueleza kuwa Lilian ni mzawa halisi wa Tanzania […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani