UKATILI ULIOJE!
![](http://api.ning.com:80/files/rYXJV*jyRSkqyNVqRkY42LxCutnlBjrfJ4Qmx97pC8H1lWGxgbyKe5X1l-tFQCNYBh37cRrlLCtnUpmJBkr79bjcQotjPw3y/Ukatilil.gif?width=650)
KWELI ni ukatili! Mwanamke mmoja anayesemekana kuwa ni mke wa mtu anadaiwa kuhusika katika kumtumbukiza kichanga wake kwenye choo cha Ofisi ya Serikali ya Mtaa wa Mwanzo Mgumu, Kata ya Mwembesongo Manispaa ya Morogoro.. ...Soma zaidi===>http://bit.ly/1N53yel
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/I4Lv7uhzCAGSkQ2O-ExJOeL8QIkHnagD6uLLblvIodQTl88kIp3E3ZmUj7xmYdMEtDI2zjwhA1WddCQzLWBZIlcDd4RlUzZD/Moto.jpg?width=650)
UKATILI ULIOJE! SHANGAZI AMCHOMA MIKONO MTOTO WAKE
Niukatili ulioje ambao amefanyiwa mtoto Dorine (12), denti wa darasa la nne Shule ya Msingi Makabe, Mbezi jijini Dar.Dorine anadaiwa kuunguzwa na maji ya moto yaliyochemshwa kwenye jiko la gesi na walezi wake wa karibu akiwemo shangazi yake aliyetajwa kwa jina moja la Scola ambaye alitiwa mbaroni na bibi yake ambaye haikujikana alipo. Â Dorine akiwa hospitali baada ya kuchomwa mikono na shangazi yake. Katika tukio hilo la...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/NpAlVAvTs3OUfuv8FZxJzOkmxjiBdPv*W62LMhgYv7SxNsajmrqh-VIWnPkYGO*y0bExeJ6znv7P4*frna81Fom7mRCa6HdK/sfsadat.jpg?width=650)
UKATILI ULIOJE! WAZAZI WAMPIGA, WAMFUNGA KAMBA MTOTO WAO, WAMFUNGIA NDANI
Na Dustan Shekidele Katika hali inayoonyesha ukatili wa ajabu, mwanamke mmoja aliyejulikana kwa jina la Asha Mohamed, akishirikiana na mumewe, walimfunga kamba miguu na mikono mwanaye wa kumzaa Salum Mohamed (9) na kumfungia ndani ya nyumba yake huku wenyewe wakienda kusikojulikana muda mrefu Jumatatu iliyopita huko Mkundi, nje kidogo ya mji wa Morogoro. Polisi wakimfungua kamba mtoto huyo alizokua amefungwa na wazazi...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/p5H7N8Ot6oMMRDz9hqvWUGz*XAqm5otWxhmlER2nZSaK4GFDPk7TrcoQt5RbmMqxo0GUa6HouKzu0QLm65JKU6R6vY7T4dB5/unyama.jpg)
UNYAMA ULIOJE!
Stori: Chande Abdallah na Denis Mtima UNYAMA ulioje? Mtoto Fatuma Hassan (9) ambaye ni mwanafunzi wa Shule ya Msingi Hekima iliyopo Tandale, Dar anadaiwa kufungiwa ndani kwa siku tatu kisha kuchomwa moto na mama yake mkubwa aliyetajwa kwa jina moja la Diana (38), mkazi wa maeneo hayo, kisa kikielezwa kuwa ni shilingi mia tano. Mtoto Fatuma Hassan (9) anyedaiwa kufungiwa ndani kwa siku tatu kisha kuchomwa moto mikononi na mama...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/3I-9LvQkoOTXQj7*AtWKrXqYXTywBlksVnYPz-IgqiCu1K1iR64I5n9*QEqxz4k1gJUNIQDeRF3a5Lfzly3S*b8EOZSYMeZH/mahaba.jpg?width=650)
UNAKUBALI MKEO AVAE NGUO ZA KUBANA, KITOVU NJE! USHAMBA ULIOJE?
WAKATI f’lani niliwahi kuandika makala iliyokuwa inahusu sababu ambazo zinawafanya baadhi ya wanawake kupata usumbufu mkubwa kutoka kwa wanaume wakware. Makala hayo yaligusia mbali na mambo mengine, suala la uvaaji usio wa kiheshima. Nikasema kwamba, endapo mchumba, mke au mpenzi wa mtu ataamua kuvaa nguo ambazo hazina tofauti na zile wanazovaa wale machangudoa, basi asijisikie vibaya kusumbuliwa kwa kuitwa majina ya...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania