ZARI ADAIWA KUMPANDA KICHWANI DIAMOND
![](http://api.ning.com:80/files/vOTW6a5PmQTUNhkb58jfPA1deytTPAqPk7VUF-zVPT7aSCrVyqXS69DZrx3c2VvtzwOFFyIB9dR0MyeFkBl0o8MJh7zX2uAL/diamond.jpg?width=650)
MWANDISHI WETU Pamoja na kukanusha kwa nguvu zote, staa wa Afro-Pop, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, anadaiwa kupandiwa kichwani na mwandani wake, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’ huku ndugu wakidaiwa kuhofia masuala ya kulishwa limbwata. Staa wa Afro-Pop, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’. Habari kutoka kwa mtu wa ndani wa familia ya Diamond zilidai kuwa, ishu hiyo imekuwa...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Africanjam.Com![](http://2.bp.blogspot.com/-4AWazcB9U-I/VUONB6vGraI/AAAAAAAABbc/BDzktArlrlE/s72-c/Africanjam2.jpg)
TANZANIA: KUELEKEA ZARI WHITE PARTY, DIAMOND AFUNGUKA KUHUSU NDOA YAKE NA ZARI
![](http://2.bp.blogspot.com/-4AWazcB9U-I/VUONB6vGraI/AAAAAAAABbc/BDzktArlrlE/s1600/Africanjam2.jpg)
Diamond Platnumz ambae ni miongoni mwa wasanii wa muziki wanaofanya vizuri sana Africa amefunguka kuhusu Ndoa yake na mwanamama Zari, Diamond amesema kwamba atakuwa ndani ya ndoa kabla ya mwaka huu kuisha.Diamond alifunguka hayo asubuhi ya tar 1 May. 2015 katika kuipigia promo Event ya Zari All All White Party itakayofanyika tar 1 May. Tamasha hilo linatarajiwa kuacha historia ya kipekee kwa kua na kiingilio cha gharama kubwa zaidi kwani ticket za VIP zimeuzwa kwa Millioni tatu na mpaka...
10 years ago
Vijimambo08 Jan
DIAMOND APEWA OFA YA $40,000 AMWACHE ZARI, NJEMBA LAPOST SCREENSHOT YA ZARI AKILIOMBA MKWANJA!
![](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/01/10888399_10205933029869831_1858120712732123108_n.jpg)
![](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/01/1b.jpg)
![](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/01/1a.jpg)
10 years ago
CloudsFM22 Jan
WEMA ADAIWA KUMPELEKA DIAMOND POLISI
MKALI wa filamu nchini na Miss Tanzania mwaka 2006, Wema Sepetu ‘Wema’, amemfungulia kesi ya madai mpenzi wake wa zamani ambaye ni mwanamuziki wa bongo fleva, Nassib Abdul ‘Diamond’, kwa kumtapeli kiasi cha Sh milioni 10. Kwa mujibu wa mtandao wa Shirika la Utangazaji (BBC) idhaa ya Kiswahili, Wema aliripoti madai yake kituo cha Polisi Oysterbay akidai kuwa alimpatia mwanamuziki huyo kiasi hicho kwa makubaliano ya kazi na kuahidi kumlipa, lakini amekwenda kinyume makubaliano yao.
Muhusika...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/ZNt8FIknlRN*1sOPYO2J85SFG5w2fQR13-c8GpxNhJyBf5rssodE4xKt0GB0iUQEA8Ce3DAxyhdZ1w8KdoX5rumUaS7Oo8Zy/FRONTAMANI.gif?width=650)
DIAMOND, ZARI KIMENUKA
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/17StHKe5zK5Fn0G4YSBYEqYiXeI39nt8nPPaREwiy9zq8Y4y*alUymI3WCwUO32zXWyAwQ3ikYO4D8hwQhVibzNewktZhWT-/zari.jpg?width=650)
DIAMOND, ZARI WAUMBUKA!
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Xbc0vWPYETtowDTTqEVENLPUx-aeg*-Es07t5C9cRPwvBkS0x-6jJ0MyEndkloaUohu6hWZ671dnWE3XsNHT1IxMhYSh-GME/FRONTAMANI.jpg)
MIMBA YA ZARI SI YA DIAMOND
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/1pYGM2xUDQnEpt0hMA2HTJn5VoqXm9Q7T1YWzJmjHxzNC*R9V5bFI6k-HIHkqgJsSNP8Xpbfq0-jRsX6K5sIOgnN-H5Is3qk/zari.jpg)
ZARI WA DIAMOND KWISHA!
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/yKWLMefqYByeYGZ7enng118t7Oa-PcR5BNzQoYYpCa97O2vJT8j-HQ2VCYGxMTalPJI6xe1vo9NIIkpH3P4CGfUGHWnGpWGB/we.jpg?width=650)
DIAMOND AMTUSI X WA ZARI!
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Z-JJSpQIZ69-akeUffky*RWygowKA3-2s5dU1fXW6ONK33ESDmfulrwBKq7vgBIoazYYM2YhCwVtjFw14n4GSvLMJXjNzT10/1.jpg?width=650)
DIAMOND, ZARI ROHO MKONONI