Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


BELINA AJIFUNGUA

Belina Mgeni. Stori: Imelda Mtema
MWANAMITINDO maarafu Bongo, Belina Mgeni amejifungua mtoto wa kike. Mtoto wa Belina. Mrembo huyo alijifungua juzikati katika Hospitali ya TMJ, iliyopo Mikocheni, jijini Dar es Salaam ambapo mwanamitindo huyo hakusita kuanika furaha yake mbele ya paparazi wetu kisha akatangaza jina la kichanga hicho, Naila. “Kiukweli siku zote ukimuomba Mungu unafanikiwa kwani nilikuwa… ...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

BELINA ANASWA NA KICHANGA CHAKE

Modo maarufu Bongo, Belina Mgeni akiwa na mtoto wake Naila. ...Belina Mgeni akielekea nyumbani. MODO maarufu Bongo, Belina Mgeni amenaswa na kamera yetu maeneo ya Mikocheni, Dar akiwa na kichanga chake.…

 

11 years ago

GPL

MTOTO WA BELINA ‘AOGESHWA MAHELA’

Stori: Mwandishi Wetu
Mtoto wa mwanamitindo Belina Mgeni, Nayla Farid  ambaye amefanyiwa maulidi ya kutimiza siku arobaini juzikati, alijikuta akiloa minoti baada kila aliyetaka kumshika kumpa ‘nyekundu nyekundu’ na wengine Dola za Kimarekani. Shughuli hiyo ilifanyika nyumbani kwa Belina, Mbezi Makonde jijini Dar na kuhudhuriwa na mastaa mbalimbali ambao mbali na kunywa na kula pia walionesha upendo wao kwa...

 

11 years ago

GPL

BELINA AZAWADIWA ZAWADI YA RUBBY NA MPENZI WAKE

Na Imelda Mtema
SIKU chache baada ya kujifungua mtoto wa kike aliyempa jina la Naila, mwanamitindo maarufu Bongo, Belina Mgeni amezawadiwa hereni na cheni vyenye vito vya rubby na mpenzi wake. Mtoto wa kike  wa Belina aliyempa jina la Naila. Akichonga na Weekly Exclusive, Belina alisema kuwa furaha yake imeongezeka mara dufu baada ya kupata zawadi hiyo kutoka kwa baba mtoto wake huyo (jina kapuni) ambaye pia hakumsahau na...

 

9 years ago

GPL

SAJENTI AJIFUNGUA

Mwandishi Wetu LICHA ya kukana mara kwa mara kuhusu kuwa na ujauzito, kuna madai kuwa msanii wa filamu Bongo, Husna Idd ‘Sajenti’ amejifungua mtoto wa kike. Chanzo makini kililiambia gazeti hili kwamba mwanamama huyo alijifungua hivi karibuni katika Hospitali ya Kinondoni, maarufu kama Kwa Dokta Mvungi na kwamba jambo hilo analifanya siri kwani hataki watu wajue kama amepata mtoto huyo wa pili.  ....Soma...

 

11 years ago

GPL

AISHA BUI AJIFUNGUA

Stori: HAMIDA HASSAN STAA wa filamu za Kibongo, Aisha Bui amepata mtoto wa kike aliyejifungua kwa njia ya upasuaji lakini kumekuwa na usiri mkubwa katika jambo hilo. Staa wa filamu za Kibongo, Aisha Bui. Akizungumza na Ijumaa hivi karibuni, Aisha alisema anamshukuru Mungu kwa kumjaalia mtoto wa kike aliyempa jina la Saloma. “Nimefurahi sana, kumpata mtoto ni jambo la kumshukuru Mungu na sasa najisikia raha sana kuitwa...

 

11 years ago

GPL

ODAMA AJIFUNGUA KIDUME

Stori: Imelda Mtema
HABARI njema! Staa wa sinema za Kibongo, Jenifer Kyaka ‘Odama’ amejifungua kidume huku akikataa kumtaja baba wa mtoto huyo. Staa wa sinema za Kibongo, Jenifer Kyaka ‘Odama’. anayedaiwa kwamba ni mheshimiwa serikalini.
Kwa mujibu wa vyanzo vyetu makini, Odama alijifungua kwa operesheni hivi karibuni kwenye Hospitali ya Kairuki jijini Dar baada ya kuwa kimya kwa miezi kadhaa...

 

11 years ago

GPL

ROSE NDAUKA AJIFUNGUA

Stori: Imelda Mtema
STAA wa filamu Bongo, Rose Ndauka amejifungua mtoto wa kike kwa njia ya upasuaji mwanzoni mwa wiki hii katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili iliyopo jijini Dar. Rose Ndauka. Akizungumza na gazeti hili, Rose Ndauka alisema anamshukuru sana Mungu kwa kumjaalia kujifungua salama huku mwanaye huyo akiwa na afya njema. “Ki ukweli kabisa namshukuru sana Mungu kwa zawadi ya mtoto kwa maana nimejifungua...

 

10 years ago

GPL

MAMA MCHUNGAJI AJIFUNGUA HIRIZI!

Stori: Shani Ramadhani na Rhoda Josiah NI maajabu ya dunia! Mke wa Mchungaji wa Kanisa la EAGT ‘Bonde la Baraka’ lililopo Kata ya Kerege Manofu, Bagamoyo mkoani Pwani, Boniface Onesmo Mahera (38) (pichani), Bentha Seth (27) baada ya kubeba mimba kwa miezi tisa  hatimaye amejifungua hirizi, gazeti la kijamii, Uwazi lina mkasa wote. Mke wa Mchungaji wa Kanisa la EAGT ‘Bonde la Baraka’,  Bentha Seth...

 

10 years ago

Habarileo

Ajifungua watatu, siku 3 hospitali 2

MKAZI wa kijiji cha Kisalala, Kata ya Laela wilayani Sumbawanga katika mkoa wa Rukwa, Lydia Shazi (29) amejifungua watoto watatu wote wa kiume kwa siku tofauti na hospitali mbili tofauti.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani