MTOTO WA BELINA ‘AOGESHWA MAHELA’
Stori: Mwandishi Wetu Mtoto wa mwanamitindo Belina Mgeni, Nayla Farid ambaye amefanyiwa maulidi ya kutimiza siku arobaini juzikati, alijikuta akiloa minoti baada kila aliyetaka kumshika kumpa ‘nyekundu nyekundu’ na wengine Dola za Kimarekani. Shughuli hiyo ilifanyika nyumbani kwa Belina, Mbezi Makonde jijini Dar na kuhudhuriwa na mastaa mbalimbali ambao mbali na kunywa na kula pia walionesha upendo wao kwa...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPLBELINA AJIFUNGUA
11 years ago
GPLLULU AOGESHWA POMBE UKUMBINI
11 years ago
GPLBELINA ANASWA NA KICHANGA CHAKE
11 years ago
GPLBELINA AZAWADIWA ZAWADI YA RUBBY NA MPENZI WAKE
11 years ago
CloudsFM17 Jul
SHETA AOGESHWA MAJI YA UKOKO SIKU YAKE YA KUZALIWA
Staa wa Bongo Fleva,Sheta alijikuta katika wakati mgumu baada ya kumwagiwa maji ya ukoko na wasanii wenzake siku ya kuzaliwa kwake jana.Kisanga hicho kilimkumba jana wakati alipohudhulia futari iliyoandaliwa na Tanzania House of Tatent(THT)baada ya watu kufuturu nay eye kuingia ndipo walipomuita pembeni kama wanaongea naye kilichotokea hapo ni kumwagiwa maji ya ukoko yaliyokuwa yamelowekwa kwenye masufuria.
9 years ago
Bongo503 Oct
Picha: Maromboso aogeshwa ndoo ya tope kwenye birthday yake!
11 years ago
GPLMSHINDI WA MIL 10 WA CHAMPIONI MAHELA APATIKANA
11 years ago
GPLDroo ya pili Shinda Mahela na Championi ni Desemba 23
11 years ago
GPLMSHINDI WA SHINDA MAHELA AKABIDHIWA ZAWADI ZAKE MBEYA