Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SAJENTI AJIFUNGUA

Mwandishi Wetu LICHA ya kukana mara kwa mara kuhusu kuwa na ujauzito, kuna madai kuwa msanii wa filamu Bongo, Husna Idd ‘Sajenti’ amejifungua mtoto wa kike. Chanzo makini kililiambia gazeti hili kwamba mwanamama huyo alijifungua hivi karibuni katika Hospitali ya Kinondoni, maarufu kama Kwa Dokta Mvungi na kwamba jambo hilo analifanya siri kwani hataki watu wajue kama amepata mtoto huyo wa pili.  ....Soma...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

SAJENTI APAGAWA NA YEMI

Stori: Shakoor Jongo MUIGIZAJI wa filamu Bongo Husna Idd ‘Sajenti’ juzi kati katika Tamasha la Matumaini alionekana kupagawa na songi la mwanamuziki kutoka nchini Nigeria Yemi Alade kiasi ambacho hakujivunga kuserebuka naye. Muigizaji wa filamu Bongo Husna Idd ‘Sajenti’  akicheza pamoja na staa wa muziki toka Nigeria Yemi Alade.
“Dah! Sio siri huyu mwanamuziki amenijua… ...

 

10 years ago

GPL

NISHA, SAJENTI WAWACHANA MASTAA KUCHAGUA MSIBA

Msanii wa Filamu za Kibongo, Salma Jabu ‘Nisha’. Gabriel Ng’osha na Gladness Mallya
Wasanii wa Filamu za Kibongo, Salma Jabu ‘Nisha’ na Husna Idd ‘Sajenti’ hivi karibuni wamewachana wasanii wenzao kuwa ni watu wa kuchagua misiba. Wasanii hao waliongea hayo walipokuwa kwenye msiba wa msanii aliyewahi kutamba na Tamthiliya ya Jumba la Dhahabu, Mzee Kankaa aliyefariki dunia siku ya...

 

11 years ago

GPL

SAJENTI: SIMTOI MWANANGU KWA CHAZ BABA NG’O

Stori: Gladness Mallya
BAADA ya mkali wa Bongo Dansi kutoka Bendi ya Mashujaa, Charles Gabriel ‘Chaz Baba’ kudai ana mpango wa kumchukua mwanaye ili akaishi naye, hatimaye mzazi mwenzake, Husna Idd ‘Sajenti’,  amesema hawezi kumtoa mwanaye. Mkali wa Bongo Dansi kutoka Bendi ya Mashujaa, Charles Gabriel ‘Chaz Baba’ akiwa kwenye ofisi za Global Publishers. Akistorisha na paparazi wa...

 

11 years ago

GPL

SAJENTI: SIWEZI KUSAHAU KITENDO CHA CHAZ BABA KUMKANA MWANANGU

MIMI napenda kukuuliza kwa nini uliachana na mwanamuziki Chaz Baba na inavyoonekana mnaendana sana? Selemani Alifa, Dar, 0718803204
SAJENTI: Kila kitu kina wakati wake hivyo ule ulikuwa ni wakati wangu lakini haikuwa riziki. Mwanamuziki Chaz Baba. PICHA ZA UTUPU
Kwa nini unapenda kupiga picha za utupu? Huoni kama unaishusha hadhi yako? Andrew Kazala, Dar, 0717179570
SAJENTI: Sijawahi kupiga picha za utupu. URAFIKI
...

 

9 years ago

GPL

SAJENTI, SIASA NA MALEZI YA MTOTO WAPI NA WAPI?

MAISHA ya Kibongo kwa kweli ni magumu sana. Kuna msemo mmoja maarufu sana mtaani unaosema kuwa bora jana kuliko leo, wakimaanisha angalau jana walikuwa na uhakika, hawajui leo itakuwaje. Vijana wako bize kutafuta hela kwa kila mbinu, wenye haraka wakitumia silaha, ushirikina na hata utapeli, ili mradi kila mmoja anajitahidi kuhakikisha maisha yake ya leo yanakwenda sawa, huku akijiweka vizuri kuishika kesho yake isiingie...

 

11 years ago

GPL

BELINA AJIFUNGUA

Belina Mgeni. Stori: Imelda Mtema
MWANAMITINDO maarafu Bongo, Belina Mgeni amejifungua mtoto wa kike. Mtoto wa Belina. Mrembo huyo alijifungua juzikati katika Hospitali ya TMJ, iliyopo Mikocheni, jijini Dar es Salaam ambapo mwanamitindo huyo hakusita kuanika furaha yake mbele ya paparazi wetu kisha akatangaza jina la kichanga hicho, Naila. “Kiukweli siku zote ukimuomba Mungu unafanikiwa kwani nilikuwa… ...

 

11 years ago

GPL

ROSE NDAUKA AJIFUNGUA

Stori: Imelda Mtema
STAA wa filamu Bongo, Rose Ndauka amejifungua mtoto wa kike kwa njia ya upasuaji mwanzoni mwa wiki hii katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili iliyopo jijini Dar. Rose Ndauka. Akizungumza na gazeti hili, Rose Ndauka alisema anamshukuru sana Mungu kwa kumjaalia kujifungua salama huku mwanaye huyo akiwa na afya njema. “Ki ukweli kabisa namshukuru sana Mungu kwa zawadi ya mtoto kwa maana nimejifungua...

 

11 years ago

GPL

AISHA BUI AJIFUNGUA

Stori: HAMIDA HASSAN STAA wa filamu za Kibongo, Aisha Bui amepata mtoto wa kike aliyejifungua kwa njia ya upasuaji lakini kumekuwa na usiri mkubwa katika jambo hilo. Staa wa filamu za Kibongo, Aisha Bui. Akizungumza na Ijumaa hivi karibuni, Aisha alisema anamshukuru Mungu kwa kumjaalia mtoto wa kike aliyempa jina la Saloma. “Nimefurahi sana, kumpata mtoto ni jambo la kumshukuru Mungu na sasa najisikia raha sana kuitwa...

 

11 years ago

GPL

ODAMA AJIFUNGUA KIDUME

Stori: Imelda Mtema
HABARI njema! Staa wa sinema za Kibongo, Jenifer Kyaka ‘Odama’ amejifungua kidume huku akikataa kumtaja baba wa mtoto huyo. Staa wa sinema za Kibongo, Jenifer Kyaka ‘Odama’. anayedaiwa kwamba ni mheshimiwa serikalini.
Kwa mujibu wa vyanzo vyetu makini, Odama alijifungua kwa operesheni hivi karibuni kwenye Hospitali ya Kairuki jijini Dar baada ya kuwa kimya kwa miezi kadhaa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani