Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ajifungua watatu, siku 3 hospitali 2

MKAZI wa kijiji cha Kisalala, Kata ya Laela wilayani Sumbawanga katika mkoa wa Rukwa, Lydia Shazi (29) amejifungua watoto watatu wote wa kiume kwa siku tofauti na hospitali mbili tofauti.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Ajifungua watoto 4 hospitali 2, siku 2

MKAZI wa Kijiji cha Lupili wilayani Misungwi Mkoa wa Mwanza, Tecla Kazimili (24), amejifungua watoto wanne, watatu wa kike na mmoja wa kiume kwa njia ya kawaida katika hospitali mbili tofauti na siku mbili tofauti.

 

11 years ago

Michuzi

MAPACHA WATATU WAZALIWA SALAMA HOSPITALI YA AICC ARUSHA

Mkurugenzi Mwendeshaji wa Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Arusha (AICC), Elishilia Kaaya akiwa amebeba watoto watatu mapacha Catherine, Caroline na Cathrine ambao walizaliwa mwanzoni mwa wiki hii katika Hospitali ya AICC Jjiini Arusha. Wengine pichani ni Mkurugenzi wa Hospitali ya AICC Prof. Sendui Ole Nguyaine (kushoto), mama mzazi wa watoto hao, Janeth Kimario (katikati) pamoja na wauguzi wa Hospitali hiyo. (Picha kwa hisani ya AICC). Mama huyo alijifungua kwa njia ya oparesheni...

 

9 years ago

BBCSwahili

Dada watatu wajifungua siku moja

Imekuwa ni sadfa ya aina yake baada ya dada watatu kujifungua siku moja nchini Ireland wa nne naye akitarajia kujaliwa mtoto hivi karibuni

 

10 years ago

Vijimambo

Janga:Bodaboda zinaua watatu kila siku nchini

Licha ya kutoa ajira kwa maelfu ya vijana wa Kitanzania na pia kupunguza tatizo la usafiri mijini litokanalo na foleni, usafiri wa pikipiki maarufu kama 'bodaboda' umeendelea kuua watu kimyakimya na kuwasababishia ulemavu wa kudumu maelfu ya manusura wa ajali za vyombo hivyo kila uchao.

Uchunguzi uliofanywa na NIPASHE umebaini kuwa mbali na vifo na ulemavu, bodaboda zimeathiri pia utoaji wa huduma katika hospitali zinazopokea majeruhi wa vyombo hivyo, kwani wodi zimefurika kupita kiasi na...

 

5 years ago

BBCSwahili

Waridi wa BBC: Nilibakwa na wanaume watatu siku ya harusi yangu

Terry Gobanga ni Kasisi aliyepitia madhila ya kubakwa saa kadhaa kabla ya harusi yake.

 

9 years ago

Dewji Blog

Hospitali za Apollo kutoa huduma za kiafya saa 24 kila siku ulimwenguni kote

Bi. Sangita Reddy, Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali za Apollo.

Na Mwandishi Wetu ,

Kurahisisha huduma za afya ulimwengu kote, watojia wakubwa wa huduma za afya kundi la hospitali za Apollo limebuni njia mpya madhubuti ya utoaji wa huduma za afya inayoitwa; Ask Apollo, njia bora mpya mahususi kwa wagonjwa walio mbali. Hii inathibitisha kupiga hatua zaidi kwa hospitali za Apollo na katika uwanja wa afya ulimwenguni.

Jitihada hizi kutoka hospitali za Apollo zitajenga mahusiano rahisi ya...

 

10 years ago

Vijimambo

VIDEO YA SIKU RAIS JAKAYA KIKWETE ALIPOTOKA HOSPITALI BAADA YA KUPATA NAFUU


Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisindikizwa na Daktari Bingwa EdwardSchaeffer kutoka Hospitali ya Johns Hopkins iliyoko Baltimore,Maryland, Marekani alipokuwa amelazwa baada ya kufanyiwa upasuaji watezi dume mwishoni mwa wiki iliyopita.Pamoja naye ni Mama Salma Kikwete na wasaidizi wake.

 

10 years ago

CloudsFM

MTANGAZAJI WA CLOUDS FM, HUSNA ABDUL ASHEREKEA SIKU YAKE YA KUZALIWA KATIKA HOSPITALI YA AMANA.

MTANGAZAJI wa Clouds kupitia kipindi cha Leo Tena Husna Abdul jana alisherekea siku yake ya kuzaliwa katika Hospitali ya Amana ambako alizaliwa miaka kadhaa iliyopita.Husna Abdul ambaye pia ameteuliwa kuwa BALOZI WA KUJITOLEA WA WATOTO katika hospitali hiyo, leo aliambatana na wafanyakazi wa Clouds, wasanii wa muziki, wadau na wasikilizaji wa clouds.Husna alitoa misaada ya vifaa tiba katika wodi ya wazazi katika hospitali hiyo ya Amana, kama sehemu ya maadhimisho ya siku yake ya kuzaliwa.Kwa...

 

10 years ago

GPL

MKUU WA WILAYA YA KINONDONI AIPA SIKU SABA HOSPITALI YA TMJ KUACHA KUTIRIRISHA MAJI TAKA

Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paulo Makonda akimhoji fundi bomba wa Hospitali ya TMJ, Mansool Mramba kuhusiana na hospitali hiyo kutiririsha majitaka. Makonda (katikati) akiangalia moja ya mitaro huku akishuhudiwa na Muhandishi wa Barabara wa Manispaa ya Kinondoni, Ismail Mafita.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani