Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ajifungua watoto 4 hospitali 2, siku 2

MKAZI wa Kijiji cha Lupili wilayani Misungwi Mkoa wa Mwanza, Tecla Kazimili (24), amejifungua watoto wanne, watatu wa kike na mmoja wa kiume kwa njia ya kawaida katika hospitali mbili tofauti na siku mbili tofauti.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Ajifungua watatu, siku 3 hospitali 2

MKAZI wa kijiji cha Kisalala, Kata ya Laela wilayani Sumbawanga katika mkoa wa Rukwa, Lydia Shazi (29) amejifungua watoto watatu wote wa kiume kwa siku tofauti na hospitali mbili tofauti.

 

10 years ago

Michuzi

Benki ya Exim yaadhimisha Siku ya Saratani Duniani na Watoto wenye Saratani Hospitali ya Taifa Muhimbili


exim1 Mkuu wa matawi wa Benki ya Exim, Bi. Elizabeth Mayengoh, akikabidhi vitabu kwa mmoja wa watoto waliolazwa katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili kwenye wodi maalum ya watoto wanaougua ugonjwa wa saratani katika kuadhimisha siku ya saratani duniani. Wanaoshudia ni baadhi ya wafanyakazi wa benki ya Exim na wazazi wa watoto hao. Benki hiyo ilikabidhi vifaa mbalimbali vikiwemo vyakula, vifaa vya kuchezea, sabuni, vifaa vya shule nk, lengo likiwa ni kujenga...

 

10 years ago

Bongo5

Zari: Sijawatelekeza watoto wangu, ninakaa nao siku 300, baba yao siku 65

Mrs Diamond Platnumz, Zari Ttale aka The Bosslady amesema hajawatelekeza watoto wake tofauti na watu wengi wanavyomshutumu kwakuwa siku za hivi karibuni amekuwa akiongozana na mpenzi wake huyo mpya. Zari amesema katika mwaka hukaa na wanae kwa siku 300 na zingine zilizosalia hukaa kwa baba yao ambaye walishaachana. “That awkward moment when everyone thinks you […]

 

11 years ago

BBCSwahili

Hospitali ya watoto ya N.Mandela yaanza kujengwa

Ujenzi wa Hospitali ya watoto iliopewa jina la Nelson Mandela Children Hospital umeanza mjini Johannesburg.

 

10 years ago

Mtanzania

Minaj atembelea hospitali ya watoto Philadelphia

nicki-minajPHILADELPHIA, Marekani

NYOTA wa muziki wa Hip Hop kwa wanawake nchini Marekani, Nick Minaj, juzi aliwatembelea watoto katika hospitali ya Philadelphia nchini Marekani.

Kupitia akaunti yake ya Instagram, Minaj aliandika kuwa anajisikia furaha kutembelea hospitali hiyo na kufanya mazungumzo na watoto hao.

“Ninaamini watoto wamepata faraja kubwa kuniona na mimi nimejisikia kuwa na furaha kubwa kwa kuwa nimewaombea kwa Mungu ili wapone haraka.

“Nilikuwa na furaha kubwa kuwaona watoto wakiwa na...

 

10 years ago

Habarileo

Aliyejifungua watoto 3 kliniki tofauti atoka hospitali

MKAZI wa kijiji cha Kisalala, Kata ya Laela wilayani Sumbawanga katika mkoa wa Rukwa, Lydia Shazi (29) ambaye alijifungua watoto watatu wote wa kiume kwa siku tatu katika hospitali mbili tofauti, ameruhusiwa na kurejea kwake akiwa na afya njema yeye na wanawe wote.

 

10 years ago

Dewji Blog

BOA yasheherekea Pasaka na watoto waliolazwa Hospitali ya CCBRT

Boda 2

Meneja wa Maendeleo ya Biashara wa Benki of Afrika, BOA, Wasia Mushi akikabidhi vifaa vya masomo kwa watoto waliolazwa kwenye hospitali ya CCBRT ikiwa ni sehemu ya kusherehekea sikukuu ya Pasaka na watoto hao.

Boda 3

Meneja wa Maendeleo ya Biashara wa Benki of Afrika, BOA, Wasia Mushi akiwahudumia chakula watoto waliolazwa kwenye hospitali ya CCBRT ikiwa ni sehemu ya kusherehekea sikukuu ya Pasaka na watoto hao.

Boda 5

Meneja wa Maendeleo ya Biashara wa Benki of Afrika, BOA, Wasia Mushi akikabidhi...

 

10 years ago

Michuzi

HOSPITALI KUU YA MNAZI MMOJA YAZIDUA UPIMAJI USIKIVU WA WATOTO WACHANGA

Waziri wa Afya wa Zanzibar Rashid Seif Suleiman akikata utepe kuzindua mpango wa upimaji usikivu wa watoto wachanga katika hafla iliyofanyika Hospitali Kuu ya Mnazimmoja Mjini Zanzibar, wa kwanza (kushoto) mwakilishi wa WHO Zanzibar Dkt. Ghirmay Andemichael na (wakatikati) Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Afya Zanzibar Bi. Halima Maulid Salum.Daktari Asma Ame Hassan akimpima usikivu mtoto Nour Sabri Al hilal katika uzinduzi wa kuwapima usikivu watoto wachanga hafla iliyofanyika Hospitali kuu ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani