Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Hospitali ya watoto ya N.Mandela yaanza kujengwa

Ujenzi wa Hospitali ya watoto iliopewa jina la Nelson Mandela Children Hospital umeanza mjini Johannesburg.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

StarTV

Magati yaanza kujengwa mwambao wa Ziwa Viktoria.

Na Maliganya Charahani,

Mwanza.

Mamlaka ya bandari nchini TPA imeanza kuziimarisha bandari zake katika mwambao wa Ziwa Viktoria kwa kujenga magati imara kwa ajili ya kuegeshea meli ili kurahisisha usafiri kwa wakazi wa maeneo hayo na katika visiwa.

 

Uimara wa magati hayo utavutia pia kampuni ya huduma za meli kurejesha safari za meli kwenye maeneo hayo ambazo zilisitishwa kwa muda mrefu kutokana na miundombinu dhaifu.

 

Wakazi wa visiwani na mwambao wa Ziwa Viktoria wanatumia mitumbwi...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Hekta 14 kujengwa hospitali Tabora

HALMASHAURI ya Manispaa Tabora inatarajia kutenga jumla ya hekta 14 kwa ajili ya ujenzi wa hospitali ya wilaya hiyo. Hayo yalisemwa na Mkurugenzi wa halmashauri ya manispaa hiyo, Alfred Luanda...

 

5 years ago

Michuzi

WAPONGEZA KUJENGWA HOSPITALI YA MPIMBE,MLELE MKOANI KATAVI

SERIKALI imepongezwa kwa mpango wake wa kujenga vituo vya Afya kila kata,ujenzi wa Hospitali za wilaya na Rufaa hatua inayotajwa imesaidia kuboresha huduma za Afya na kuwepo kwa mazingira ya utoaji huduma bora kwa watumishi wa sekta ya Afya katika mkoa wa Katavi.

Hayo yamesemwa kwa nyakati tofauti na baadhi ya wananchi waliokutwa wakipata matibabu katika Hospitali ya Halmashauri ya Mpimbwe wilaya ya Mlele mkoani Katavi.

Walisema,tangu Serikali ilipoanza ukarabati wa zahanati na ujenzi wa...

 

9 years ago

StarTV

Hospitali ya Taifa Muhimbili yaanza utekelezaji wa maagizo ya Maguful

 

Hospitali ya Taifa ya Muhimbili imeanza utekelezaji wa maagizo yaliyotolewa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dokta John Magufuli alipofanya ziara ya kushtukiza katika hospital hiyo jumatatu wiki hii.

Rais Magufuli baada ya kutembelea na kujionea changamoto mbalimbali, alitoa wiki mbili kwa uongozi wa hospitali hiyo kuhakikisha mashine za IMR na CT- SCAN zinatengenezwa na kuanza kufanya kazi.

Akizungumza na waandishi wa Habari Afisa Habari wa Hospital ya Taifa ya Muhimbili Aminiel...

 

9 years ago

Mwananchi

Hospitali ya Amana yaanza kutoa huduma kwa njia ya mtandao

Ili kudhibiti upotevu wa mapato na kuboresha huduma, Hospitali ya Wilaya ya Ilala Amana, imeanza kutoa huduma zake kwa njia ya mtandao kuanzia kujisajili hadi mgonjwa anapolipia gharama za matibabu.

 

11 years ago

Mwananchi

Wajitokeza na kudai watoto wa Mandela

Wanawake wawili wanaodai kuwa watoto wa Rais wa zamani wa Afrika Kusini, Nelson Mandela, wamejitokeza na kutaka watambuliwe kwenye mirathi ya familia yake.

 

10 years ago

Michuzi

TIMU YA WIZARA YA AFYA YAANZA MAZOEZI YA MAANDALIZI YA MASHINDANO YA SHIMIWI KATIKA UWANJA WA HOSPITALI YA TAIFA MUHIMBILI DAR ES SALAAM

 Kocha wa timu ya Wizara ya Afya na  Ustawi wa Jamii, Ally Lidengi, akitoa maelekezo kwa wachezaji wa mchezo wa kamba  wakati wa Maandalizi ya Mashindano ya Shimiwi katika uwanja wa Taifa Muhimbili Dar es Salaam yanayotarajiwa kuanza 15 Septembar 2015  Jijini Morogoro.
Kocha wa timu ya Wizara ya Afya na  Ustawi wa Jamii, Ally Lidengi, akitoa maelekezo kwa wachezaji hao wakati wa Maandalizi ya Mashindano ya Shimiwi katika uwanja wa Taifa Muhimbili Dar es Salaam yanayotarajiwa kuanza 15...

 

11 years ago

Habarileo

Ajifungua watoto 4 hospitali 2, siku 2

MKAZI wa Kijiji cha Lupili wilayani Misungwi Mkoa wa Mwanza, Tecla Kazimili (24), amejifungua watoto wanne, watatu wa kike na mmoja wa kiume kwa njia ya kawaida katika hospitali mbili tofauti na siku mbili tofauti.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani