Hospitali ya Taifa Muhimbili yaanza utekelezaji wa maagizo ya Maguful
Hospitali ya Taifa ya Muhimbili imeanza utekelezaji wa maagizo yaliyotolewa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dokta John Magufuli alipofanya ziara ya kushtukiza katika hospital hiyo jumatatu wiki hii.
Rais Magufuli baada ya kutembelea na kujionea changamoto mbalimbali, alitoa wiki mbili kwa uongozi wa hospitali hiyo kuhakikisha mashine za IMR na CT- SCAN zinatengenezwa na kuanza kufanya kazi.
Akizungumza na waandishi wa Habari Afisa Habari wa Hospital ya Taifa ya Muhimbili Aminiel...
StarTV
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziTIMU YA WIZARA YA AFYA YAANZA MAZOEZI YA MAANDALIZI YA MASHINDANO YA SHIMIWI KATIKA UWANJA WA HOSPITALI YA TAIFA MUHIMBILI DAR ES SALAAM
9 years ago
StarTV03 Dec
Huduma zaimarika hospitali ya Taifa Muhimbili
Hali ya utoaji wa huduma ya upimaji kwa mionzi ya CT Scan na MRI kwenye hospitali ya Taifa ya Muhimbili hivi sasa imeimarika baada ya uongozi wa kitengo hicho kuthibitisha kuwa mashine za vipimo zimeendelea kufanya kazi bila ya tatizo lolote.
Hatua hii inafikiwa baada ya Rais Dr. John Magufuli kuagiza uongozi wa hospitali hiyo kuhakikisha kuwa vipimo hivyo ambavyo vilikuwa vibovu kwa muda mrefu vinafanyiwa marekebisho na kuanza kazi mara moja.
Siku chache tu zimepita tangu mashine ya mionzi...
10 years ago
Dewji Blog15 Oct
Aboud Jumbe alazwa hospitali ya taifa Muhimbili
Rais mstaafu wa awamu ya pili wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Aboud Jumbe Mwinyi (94).
Na Mwandishi wetu
Rais mstaafu wa awamu ya pili wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Aboud Jumbe Mwinyi (94), yupo hoi baada ya kulazwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili akisumbuliwa na maradhi ya moyo.
Taarifa iliyotolewa na Ofisa Uhusiano wa Hospitali ya Muhimbili, Doris Ishenga, alisema Jumbe alipokewa hospitalini hapo tangu Oktoba 12, mwaka huu.
Amelazwa katika Taasisi ya Moyo baada ya...
9 years ago
MichuziWAZIRI WA AFYA ATEMBELEA HOSPITALI YA TAIFA MUHIMBILI LEO
9 years ago
VijimamboHOSPITALI YA TAIFA MUHIMBILI YAPATIWA MASHINE YA MATIBABU YA MOYO
5 years ago
CCM Blog![](https://1.bp.blogspot.com/-Ak3RpkgMWWM/XoeXtt2QuUI/AAAAAAAAnPc/gaPsBRLqNOgZxaq2KhM079klG4sucxR3QCLcBGAsYHQ/s72-c/1.jpg)
ASKARI HOSPITALI YA TAIFA MUHIMBILI WAMNASA MUHALIFU WA GARI
![](https://1.bp.blogspot.com/-Ak3RpkgMWWM/XoeXtt2QuUI/AAAAAAAAnPc/gaPsBRLqNOgZxaq2KhM079klG4sucxR3QCLcBGAsYHQ/s640/1.jpg)
![](https://1.bp.blogspot.com/-CkBXbJXbbT8/XoeXt3FUCbI/AAAAAAAAnPg/EQcCsuWH0oEkWdc8LlwdD9r-qc2kJFz0gCLcBGAsYHQ/s640/2.jpg)
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-GDS1-z-oCVk/U7aeMH_tMHI/AAAAAAAFu6M/vwC8vvr_39o/s72-c/image001.jpg)
BALOZI WA COMORO NCHINI ATEMBELEA HOSPITALI YA TAIFA MUHIMBILI
Dkt. Mohammed amesema kuna Wacomoro wengi ambao wanapata huduma za tiba Hospitalini hapa hivyo ameona kuna haja na umuhimu wa pekee kuwa na uhusiano wa kiutendaji rasmi ili Watalaam kutoka Komoro waje kujifunza na kupata uzoefu wa utoaji huduma za...
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-WoZMvcNdpbM/Uwru_bYUBtI/AAAAAAAFPMM/4mCdj-SI0vY/s72-c/image003.jpg)
VIONGOZI WA HOSPITALI YA TAIFA MUHIMBILI WAPEWA SEMINA ELEKEZI
![](http://1.bp.blogspot.com/-WoZMvcNdpbM/Uwru_bYUBtI/AAAAAAAFPMM/4mCdj-SI0vY/s1600/image003.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-0_sFzqVNrxw/UwrvBGnUZAI/AAAAAAAFPMU/38u8M46w67M/s1600/image004.jpg)