Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Aboud Jumbe alazwa hospitali ya taifa Muhimbili

Aboud-Jumbe-Mwinyi1

Rais mstaafu wa awamu ya pili wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar,  Aboud Jumbe Mwinyi (94).

Na Mwandishi wetu

Rais mstaafu wa awamu ya pili wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Aboud Jumbe Mwinyi (94), yupo hoi baada ya kulazwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili akisumbuliwa na maradhi ya moyo.

Taarifa iliyotolewa na  Ofisa Uhusiano wa Hospitali ya Muhimbili, Doris Ishenga, alisema Jumbe alipokewa hospitalini hapo tangu Oktoba 12, mwaka huu.

Amelazwa katika Taasisi ya Moyo baada ya...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Aboud Jumbe sasa atoka hospitali

Rais Mstaafu wa Zanzibar, Aboud Jumbe (95) ameruhusiwa kutoka Hospitali ya Taifa, Muhimbili alikokuwa amelazwa kwa siku kadhaa.

 

11 years ago

Mwananchi

‘Mzimu’ wa Aboud Jumbe bado unaiandama CCM

>Wiki hii umefanyika uzinduzi wa maadhimisho ya kutimia miaka 37 ya Chama Cha Mapinduzi  katika Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja, Makamu na kuongozwa na Makamu Mwenyekiti wa CCM (Zanzibar), Rais wa Zanzibar, Dk Ali Mohammed Shein.

 

11 years ago

Mwananchi

Jaji Mwesumo: Aboud Jumbe alisababisha niache kazi

>Wahenga walisema, kila zama na kitabu chake, ndivyo ilivyo siyo tu kwa watawala, bali hata maisha ya kila mwanadamu yana ‘kitabu chake.’

 

5 years ago

CCM Blog

MUSSA ABOUD JUMBE AJITOSA KUCHUKUA FOMU ZA KUWANIA URAIS ZANZIBAR

MWANACHAMA wa Chama cha Mapinduzi CCM, Mussa Aboud Jumbe, akipokea mkoba wenye fomu za kuomba ridhaa ya kuchaguliwa kuwa Rais wa Zazibar, kutoka kwa Katibu wa Idara ya Oganaizesheni Zanzibar, Galos Nyimbo, hapo ofisi ya chama Kisiwandui Mjini Unguja. Mussa ni mtoto wa Rais wa zamani wa Zanzibar, Hayati Aboud Jumbe. (PICHA ZOTE NA ABDALLA OMAR). 

 

11 years ago

Mtanzania

Abood Jumbe hali tete, alazwa

Aboud Jumbe MwinyiVERONICA ROMWALD NA MICHAEL SARUNGI, DAR ES SALAAM

RAIS mstaafu wa awamu ya pili wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Abood Jumbe Mwinyi (94), yupo hoi baada ya kulazwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili akisumbuliwa na maradhi ya moyo.

Akizungumza na MTANZANIA Dar es Salaam jana, Ofisa Uhusiano wa Hospitali ya Muhimbili, Doris Ishenga, alisema Jumbe alipokewa hospitalini hapo tangu Oktoba 12, mwaka huu.

Amelazwa katika Taasisi ya Moyo baada ya kufanyiwa uchunguzi wa kina.

Alisema kwa...

 

9 years ago

StarTV

Huduma zaimarika hospitali ya Taifa Muhimbili

Hali ya utoaji wa huduma ya upimaji kwa mionzi ya CT Scan na MRI kwenye hospitali ya Taifa ya Muhimbili hivi sasa imeimarika baada ya uongozi wa kitengo hicho kuthibitisha kuwa mashine za vipimo zimeendelea kufanya kazi bila ya tatizo lolote.

Hatua hii inafikiwa baada ya Rais Dr. John Magufuli kuagiza uongozi wa hospitali hiyo kuhakikisha kuwa vipimo hivyo ambavyo vilikuwa vibovu kwa muda mrefu vinafanyiwa marekebisho na kuanza kazi mara moja.

 Siku chache tu zimepita tangu mashine ya mionzi...

 

11 years ago

Michuzi

BALOZI WA COMORO NCHINI ATEMBELEA HOSPITALI YA TAIFA MUHIMBILI

Balozi wa Visiwa vya Comoro nchini Tanzania Dkt. Ahamada El Badaoui Mohamed Fakih ametembelea Hospitali ya Taifa Muhimbili kwa ajili ya kujitambulisha, kuangalia fursa na wigo wa kuanzisha mahusiano mazuri kati ya nchi yake na Hospitali hii. 
 Dkt. Mohammed amesema kuna Wacomoro wengi ambao wanapata huduma za tiba Hospitalini hapa hivyo ameona kuna haja na umuhimu wa pekee kuwa na uhusiano wa kiutendaji rasmi ili Watalaam kutoka Komoro waje kujifunza na kupata uzoefu wa utoaji huduma za...

 

10 years ago

Dewji Blog

ACT Wazalendo wachangia damu hospitali ya Taifa Muhimbili

9

Muuguzi Mwandamizi Judith Kayombo akichanganya  Damu wakati alipokuwa akimtoa Katibu Mkuu Taifa wa Chama cha ACT Wazalendo Samsoni Mwigamba.

Katibu Mkuu Taifa wa Chama cha ACT Wazalendo Samsoni Mwigamba akisalimiana na Katibu wa Vijana Jimbo la Ukonga wakati wa uchangiaji Damu katika Hospitali ya Taifa Muhimbili na ikiwa  Chama hicho kikitimiza  Mwaka Mmoja toka kuanzishwa kwa chama hicho (PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA).

 Katibu Mkuu Taifa wa Chama cha ACT Wazalendo Samsoni Mwigamba...

 

5 years ago

CCM Blog

ASKARI HOSPITALI YA TAIFA MUHIMBILI WAMNASA MUHALIFU WA GARI

 Kijana aliyefahamika kwa Jina la Saidi Matanga (40) ambaye ni Mkazi wa Yombo Jijini Dar es Salaam, Dereva wa Gari lenye namba za Usajili T 514 DRJ amejikuta akiwa katika Ulizi mkali chini ya Askari wa Hospitali ya Taifa Muhimbili mara baada ya kutaka kujaribu kupora gari lenye namba za Usajili T 233 DSD mali ya Abdi Kijazi Mkazi wa Yombo Vituka. ambapo amefikishwa katika Kituo cha Polisi cha Selander Bridge kilichopo Upanga. (PICHA NA KHAMISI MUSSA)
 Gari lililotaka kuporwa na Saidi Matanga...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani