‘Mzimu’ wa Aboud Jumbe bado unaiandama CCM
>Wiki hii umefanyika uzinduzi wa maadhimisho ya kutimia miaka 37 ya Chama Cha Mapinduzi katika Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja, Makamu na kuongozwa na Makamu Mwenyekiti wa CCM (Zanzibar), Rais wa Zanzibar, Dk Ali Mohammed Shein.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi20 Oct
Aboud Jumbe sasa atoka hospitali
10 years ago
Dewji Blog15 Oct
Aboud Jumbe alazwa hospitali ya taifa Muhimbili
Rais mstaafu wa awamu ya pili wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Aboud Jumbe Mwinyi (94).
Na Mwandishi wetu
Rais mstaafu wa awamu ya pili wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Aboud Jumbe Mwinyi (94), yupo hoi baada ya kulazwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili akisumbuliwa na maradhi ya moyo.
Taarifa iliyotolewa na Ofisa Uhusiano wa Hospitali ya Muhimbili, Doris Ishenga, alisema Jumbe alipokewa hospitalini hapo tangu Oktoba 12, mwaka huu.
Amelazwa katika Taasisi ya Moyo baada ya...
11 years ago
Mwananchi14 Jun
Jaji Mwesumo: Aboud Jumbe alisababisha niache kazi
5 years ago
CCM BlogMUSSA ABOUD JUMBE AJITOSA KUCHUKUA FOMU ZA KUWANIA URAIS ZANZIBAR
10 years ago
Mwananchi27 Aug
Mzimu wa serikali tatu bado walitesa Bunge la Katiba
10 years ago
Raia Mwema15 Jul
CCM na mzimu wa 2010 Mbeya
WAKATI CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) jijini Mbeya kikikuna kichwa jinsi ya kulirudisha jimbo hilo kat
Mwandishi Wetu
11 years ago
Tanzania Daima01 Jun
Mzimu wa UKAWA unavyoitetemesha CCM
SIKUWAHI kuulizwa swali na askari wastaafu waliotumikia kazi zao kwa moyo na uadilifu mkubwa kwenye vikosi mbalimbali vya kijeshi, lakini sasa nimeulizwa maswali mengi tangu mchakato wa kuandikwa kwa katiba...
11 years ago
Habarileo26 Apr
Mzimu wa Zitto wamfikisha katibu wa Chadema, CCM
MZIMU wa aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Zitto Kabwe umeelezwa kumkimbiza hadi Chama Cha Mapinduzi (CCM) Katibu wa Chadema jimbo la Mufindi Kusini, Emannuel Ngwalanje.
9 years ago
Habarileo28 Nov
Makubaliano CUF, CCM bado
SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ), imesema mazungumzo yanayoshirikisha viongozi wa vyama viwili vya siasa vya CCM na CUF, yanaendelea na hakuna makubaliano yaliyofikiwa hadi sasa ya kurudiwa kwa uchaguzi mkuu uliofutwa wa Oktoba 25.