Abood Jumbe hali tete, alazwa
VERONICA ROMWALD NA MICHAEL SARUNGI, DAR ES SALAAM
RAIS mstaafu wa awamu ya pili wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Abood Jumbe Mwinyi (94), yupo hoi baada ya kulazwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili akisumbuliwa na maradhi ya moyo.
Akizungumza na MTANZANIA Dar es Salaam jana, Ofisa Uhusiano wa Hospitali ya Muhimbili, Doris Ishenga, alisema Jumbe alipokewa hospitalini hapo tangu Oktoba 12, mwaka huu.
Amelazwa katika Taasisi ya Moyo baada ya kufanyiwa uchunguzi wa kina.
Alisema kwa...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo02 Feb
MTOTO WA WHITNEY HOUSTON, BOBBI KRISTINA ALAZWA HALI YAKE NI TETE
![](http://api.ning.com/files/ScDfzDGFdfq-NHC0MmP3aVCw5aJAChjhgA9mzkMQtrdBgxiWN7XNNfml6BFRy3i01SQF1zuXYKVngAFgrRgDzsil-n4ADMz*/Uptown_bobbi_kristina.jpg)
Bobbi Kristina alikutwa kwenye bafu huku uso wake ukiwa ameinamia chini huku akishindwa kupumua na kukimbizwa hospitali ambapo madaktari wamejaribu kumrudisha katika hali yake ya kawaida ambayo sasa inaonekana ubongo wake unafanyakazi kwa asilimia ya chini kitu ambacho madaktari wamesema sio dalili nzuri kwa mgonjwa wa namna hiyo...
10 years ago
Dewji Blog15 Oct
Aboud Jumbe alazwa hospitali ya taifa Muhimbili
Rais mstaafu wa awamu ya pili wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Aboud Jumbe Mwinyi (94).
Na Mwandishi wetu
Rais mstaafu wa awamu ya pili wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Aboud Jumbe Mwinyi (94), yupo hoi baada ya kulazwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili akisumbuliwa na maradhi ya moyo.
Taarifa iliyotolewa na Ofisa Uhusiano wa Hospitali ya Muhimbili, Doris Ishenga, alisema Jumbe alipokewa hospitalini hapo tangu Oktoba 12, mwaka huu.
Amelazwa katika Taasisi ya Moyo baada ya...
9 years ago
Raia Mwema19 Aug
hali tete TanzaniteOne -2
WAZIRI wa Nishati na Madini, George Simbachawene mwishoni mwa wiki (Ijumaa iliyopita) alifanya zi
Paul Sarwatt
10 years ago
Mtanzania31 Mar
Hali tete Zanzibar
Na Is-haka Omar, Zanzibar
HALI ya usalama visiwani Zanzibar imechafuka baada ya wafuasi wa Chama cha Wananchi (CUF), kuvamiwa na kupigwa na watu wanaodaiwa kuwa wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Kutokana na vurugu hizo, watu 25 waliokuwa wakitokea katika mkutano wa CUF uliokuwa unafanyika Makunduchi, Wilaya ya Kusini Unguja wamejeruhiwa, huku wanne kati yao wakilazimika kuhamishiwa Hospitali ya Taifa Muhimbili jijini Dar es Salaam kwa matibabu zaidi.
Akithibitisha kutokea kwa tukio...
10 years ago
Raia Mwema12 Aug
Hali tete TanzaniteOne
HALI ya mambo si shwari ndani ya kampuni ya uchimbaji madini ya Tanzanite ya TanzaniteOne, iliyo
Paul Sarwatt
10 years ago
Mwananchi21 Aug
Hali tete Msimbazi
10 years ago
Mtanzania14 May
HALI TETE BURUNDI
Waandishi Wetu, Bujumbura na Dar
JARIBIO la mapinduzi lilifanyika jana nchini Burundi kumpindua Rais Pierre Nkurunzinza kupinga mpango wake wa kugombea urais kwa muhula wa tatu.
Maelfu ya watu walimiminika katika mitaa ya mji mkuu wa taifa hilo, Bujumbura, kushangilia tangazo la mapinduzi lililotolewa na Meja Jenerali Godefroid Niyombare.
Hata hivyo, matokeo ya mapinduzi hayo yalikuwa mbali na uhalisia.
Uamuzi wa Jenerali Niyombareh ambaye alitimuliwa na Nkurunzinza kama mkuu wa usalama...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/LoK3NXOIwpE-g8AtbJatQQ8KoTd-zaJahkWd35RY8Uew11BqGTedh2nY19U3EuhtjlScCsFuj2vAjE6hy*bUMR5Npy2BDjzC/BREAKINGNEWS.gif)
STRABAG BADO HALI TETE
11 years ago
Tanzania Daima14 Apr
Wafungwa Keko hali tete
MVUA zinazoendelea kunyesha jijini Dar es Salaam zimewaweka mahabusu na wafungwa katika Gereza la Keko katika hali ngumu kutokana na gereza hilo kuvuja. Habari kutoka kwa askari magereza wa gereza...