Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Magati yaanza kujengwa mwambao wa Ziwa Viktoria.

Na Maliganya Charahani,

Mwanza.

Mamlaka ya bandari nchini TPA imeanza kuziimarisha bandari zake katika mwambao wa Ziwa Viktoria kwa kujenga magati imara kwa ajili ya kuegeshea meli ili kurahisisha usafiri kwa wakazi wa maeneo hayo na katika visiwa.

 

Uimara wa magati hayo utavutia pia kampuni ya huduma za meli kurejesha safari za meli kwenye maeneo hayo ambazo zilisitishwa kwa muda mrefu kutokana na miundombinu dhaifu.

 

Wakazi wa visiwani na mwambao wa Ziwa Viktoria wanatumia mitumbwi...

StarTV

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

CCM Blog

MKATABA WASAINIWA KUFIKISHA UMEME MWAMBAO WA ZIWA NYASA, LUDEWA


Na Amiri kilagalila,Njombe 
Wakala wa Nishati Vijijini (REA) umesainiana mkataba wenye thamani ya zaidi ya mil 920 na kampuni ya JV Mufindi Power Services Ltd wa kusabambaza umeme katika vijiji 4 vya tarafa ya mwambao wa ziwa Nyasa wilayani Ludewa mkoani Njombe ambavyo vimekuwa na changamoto hiyo kabla na baada ya uhuru .
Akizungumza mara baada ya kupokea  mkataba huo,mkuu wa wilaya ya Ludewa Andrew Tsere amesema serikali imedhamilia kufikisha nishati ya umeme katika vijiji vyote wilayani humo...

 

5 years ago

Michuzi

Ludewa kwa zidi kunoga,mkataba wa mamilioni wasainiwa kufikisha umeme mwambao wa ziwa Nyasa


Na Amiri kilagalila,Njombe

Wakala wa Nishati Vijijini (REA) umesainiana mkataba wenye thamani ya zaidi ya mil 920 na kampuni ya JV Mufindi Power Services Ltd wa kusabambaza umeme katika vijiji 4 vya tarafa ya mwambao wa ziwa Nyasa wilayani Ludewa mkoani Njombe ambavyo vimekuwa na changamoto hiyo kabla na baada ya uhuru .

Akizungumza mara baada ya kupokea  mkataba huo,mkuu wa wilaya ya Ludewa Andrew Tsere amesema serikali imedhamilia kufikisha nishati ya umeme katika vijiji vyote wilayani...

 

11 years ago

BBCSwahili

Hospitali ya watoto ya N.Mandela yaanza kujengwa

Ujenzi wa Hospitali ya watoto iliopewa jina la Nelson Mandela Children Hospital umeanza mjini Johannesburg.

 

11 years ago

Michuzi

Matunda ya Kongamano la Uwekezaji Kanda ya Ziwa yaanza kuonekana

Mara baada ya Kongamano la Uwekezaji Kanda ya Ziwa, mwekezaji Mama Wang Shen Hong (ama Anna - kama anavyojulikana zaidi jijini Mwanza) aliomba kukutana na maofisa waandamizi wa Kituo cha Uwekezaji nchini (TIC) na kuzungumzia fursa lukuki zilizoainishwa kwenye Kongamano hilo. Pichani ni Mwekezaji huyo akiongea na Meneja wa Uhamasishaji Uwekezaji kutoka TIC Makao Makuu,Bwana John Mathew Mnali (kulia) akiwa na Meneja wa Kanda ya Ziwa,Bwana Fanuel Yona Lukwaro. 
Mwekezaji huyo amevutiwa zaidi...

 

11 years ago

Michuzi

Mazungumzo ya usuluhishi wa mgogoro wa mpaka baina ya Tanzania na Malawi kwenye Ziwa Nyasa Yaanza leo mjini Maputo

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe Bernard Membe akiongea katika mkutano a Mazungumzo ya usuluhishi wa mgogoro wa mpaka baina ya Tanzania na Malawi kwenye Ziwa Nyasa yameanza leo Jijini Maputo, Msumbiji kwa kuzikutanisha pande zote mbili za mgogoro huo.  Mazungumzo hayo yaliyopo chini ya Jopo la Usuluhishi linaloongozwa na Rais Mstaafu wa Msumbiji Mhe. Joachim Chissano akisaidiwa na Mhe. Thabo Mbeki Rais Mstaafu wa Afrika ya Kusini na Mhe. Festus Mogae Rais Mstaafu wa...

 

5 years ago

Michuzi

UKARABATI WA MV BUTIAMA, MV VIKTORIA WAKAMILIKA

 Muonekano wa Chelezo (kulia) ambacho kimekamilika kwa asilimia mia moja  na maendeleo ya Ujenzi wa Meli Mpya ya MV Mwanza (kushoto) ambayo ujenzi wake umefikia zaidi ya asilimia 30 katika bandari ya Mwanza South, Mkoani Mwanza. Mafundi wa Kampuni ya Gas Entec kutoka Korea ya Kusini, wakiendelea na kazi ya ujenzi wa meli Mpya ya MV Mwanza katika bandari ya Mwanza South. Meli hiyo inatarajiwa  kukamilika mapema mwaka 2021. Mafundi wa Kampuni ya Kampuni ya Songoro Marine Limited, wakikamilisha...

 

5 years ago

Michuzi

MENEJIMENTI SEKTA YA UCHUKUZI YARIDHISHWA NA UJENZI MELI MPYA, CHELEZO NA UKARABATI WA MV. VIKTORIA NA MV. BUTIAMA


Muonekano wa hatua iliyofikiwa ya sehemu ya chini ya meli Mpya ya MV Mwanza “Hapa Kazi Tu” inayojengwa katika bandari ya Mwanza Kusini, jijini Mwanza. Ujenzi wa Meli hiyo unatarajiwa kukamilika mapema mwaka 2021 na itagharamu zaidi ya kiasi cha shilingi bilioni 80.Mafundi wa Kampuni ya GAS EntecCo Ltd, Kang Nam Cooperation ya Korea Kusini pamoja na SUMA JKT ya Tanzania inayojenga meli ya MV Mwanza, wakiendelea na kazi ya ujenzi wa meli hiyo, inayojengwa jijini MwanzaKaimu Mhandisi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani