Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WAPONGEZA KUJENGWA HOSPITALI YA MPIMBE,MLELE MKOANI KATAVI

SERIKALI imepongezwa kwa mpango wake wa kujenga vituo vya Afya kila kata,ujenzi wa Hospitali za wilaya na Rufaa hatua inayotajwa imesaidia kuboresha huduma za Afya na kuwepo kwa mazingira ya utoaji huduma bora kwa watumishi wa sekta ya Afya katika mkoa wa Katavi.

Hayo yamesemwa kwa nyakati tofauti na baadhi ya wananchi waliokutwa wakipata matibabu katika Hospitali ya Halmashauri ya Mpimbwe wilaya ya Mlele mkoani Katavi.

Walisema,tangu Serikali ilipoanza ukarabati wa zahanati na ujenzi wa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU WA CCM,KINANA AZINDUA MRADI WA UJENZI WA NYUMBA 60 ZA NHC WILAYANI MLELE MKOANI KATAVI LEO




 Katibu Mkuu wa CC,Ndugu Abdulrahman Kinana akikata utepe na kuweka jiwe la msingi la mradi wa ujenzi wa nyumba 60 za Shirika la Nyumba la Taifa (NHC),katika kijiji cha Inyonga ndani ya Wilaya Mpya ya Mlele mkoani Katavi mapema leo jioni.
========  ======  =====

KATIBU Mkuu wa CCM amelipongeza Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), kwa kasi ya ujenzi miradi ya nyumba za makazi na biashara kwenye miji mbalimbali hasa makao makuu ya wilaya mpya.
Kinana aliyasema hayo katika mji wa Inyonga...

 

10 years ago

Michuzi

MAMA PINDA AFUNGUA MKUTANO WA BARAZA LA UWT WILAYA YA MLELE,KATAVI


Mke wa Waziri Mkuu, Mama Tunu Pinda akizungumza wakati alipofungua Mkutano wa Baraza la Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) wilaya ya Mlele Mkoani Katavi kwenye shule ya Sekondari ya Mamba Desemba 28, 2014.Mke wa Waziri Mkuu, Mama Tunu Pinda akisalimia na baadhi ya wajumbe wa Baraza la Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) wilaya ya Mlele mkoani Katavi wakati alipowasili kwenye shule ya Sekondari ya Mamba kufungua Mkutano wa Baraza hilo Desemba 28, 2014.
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI

 

11 years ago

Tanzania Daima

Hekta 14 kujengwa hospitali Tabora

HALMASHAURI ya Manispaa Tabora inatarajia kutenga jumla ya hekta 14 kwa ajili ya ujenzi wa hospitali ya wilaya hiyo. Hayo yalisemwa na Mkurugenzi wa halmashauri ya manispaa hiyo, Alfred Luanda...

 

11 years ago

BBCSwahili

Hospitali ya watoto ya N.Mandela yaanza kujengwa

Ujenzi wa Hospitali ya watoto iliopewa jina la Nelson Mandela Children Hospital umeanza mjini Johannesburg.

 

11 years ago

Michuzi

KINANA ASHTUSHWA NA MAKUSUDI YA WIZARA YA AFYA KUHUSIANA NA KITUO CHA AFYA CHA INYONGA,WILAYA YA MLELE-KATAVI

 Mganga Mkuu wa Kituo cha Afya cha Inyonga, Dk. Adis Koni akimpatia maelezo Kinana na viongozi wengine wa chama na serikali kuhusu kucheleweshwa kwa makusudi kituo hicho kukipa hadhi ya kuwa hospitali ya wilaya,ambapo imeelezwa kuwa ucheleweshwaji huo unafanywa na Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii,kwani maombi walikwishayatuma Wizarani tangu februari mwaka jana. Kinana akioneshwa baadhi ya vifaa tiba vya kisasa vilivyotolewa msaada na Mbunge wa Jimbo la Katavi, Waziri Mkuu, Mizengo...

 

10 years ago

Michuzi

Kituo Kipya cha Michezo kujengwa Mkoani Pwani

Wakati usajili kwa watu wanaotaka kushiriki mbio ndefu za Uhuru, maarufu kama Uhuru Marathon, zinazotarajiwa kufanyika Desemba 7, mwaka huu jijini Dar es Salaam ukiendelea kwa kasi kubwa waandaaji wa mbio hizo wamezindua mpango wa kujenga kituo cha michezo eneo la msoga mkoani pwani.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana, Katibu wa Kamati ya mbio hizo, Innocent Melleck alisema,kamati ya uhurumarathon imeona umuhimu wa kuanzisha kituo hicho ambapo jumla ya shilingi...

 

9 years ago

Dewji Blog

BAKWATA Mkoani Singida wapongeza utendaji wa Rais Dk. Magufuli aliyoanza nayo!

bakwataa

Katibu BAKWATA mkoa wa Singida,Alhaj Burhan Mlau,akiwa ofisini kwake akitekeleza majukumu yake jana.Picha na Nathaniel Limu.

Na Nathaniel Limu

[SINGIDA]

Aina ya kasi ya utendaji kazi aliyoanza nayo rais Dk.John Pombe Magufuli,imeendelea kuwakuna Watanzania wengi  kila kona ya nchi,wakiwemo viongozi wa madhehebu mbalimbali ya dini.

Katibu wa BAKWATA mkoa wa Singida,Alhaj Burhan Mlau,amesema kutokana na utendaji ulioonyeshwa na Dk.Magufuli kwa muda mfupi,ana imani kubwa kwamba utendaji huo...

 

11 years ago

Mwananchi

Muuaji apigwa mawe hadi kufa mkoani Katavi

>Kijana  ambaye jina lake halifahamiki, anayekadiriwa  kuwa  na umri wa miaka  kati ya 25  na 30 ameuawa  kwa kushambuliwa na silaha za jadi  na wananchi wenye hasira.

 

9 years ago

Vijimambo

DK MAGUFULI AHAMISHIA MAFURIKO YA KAMPENI ZA CCM MKOANI KATAVI

 Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, John Magufuli  akihutubia wakati wa mkutano wa kampeni  katika Uwanja wa  Azimio mjini mjini Mpanda, mkoani Katavi Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akimtambulisha Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, John Magufuli wakati wa mkutano wa kampeni  katika Uwanja wa  Azimio mjini mjini Mpanda, mkoani Katavi Wananchi wakishangilia wakati Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, John Magufuli  akihutubia wakati wa mkutano wa kampeni katika Uwanja wa  Azimio mjini...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani