Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mabinti pacha walioungana kuhitimu kidato cha nne

Pacha walioungana, Consolata (anayeandika) na Maria wakiwa darasani. Hivi sasa wako kidato cha nne katika shule ya Sekondari Maria Consolata wilayani Kilolo mkoani Iringa. (Picha na Ikunda Erick).HATUA ya kwanza ya ndoto ya kuzama katika elimu ya mabinti pacha walioungana kiwiliwili, Consolata na Maria Mwakikuti (18) wa Kijiji cha Ikonda wilayani Makete mkoa mpya wa Njombe, inatarajiwa kutimia Novemba mwaka huu, wakati mabinti hao watakapofanya mtihani wa kuhitimu kidato cha nne.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

GPL

MKURUGENZI WA GLOBAL AWAPONGEZA WANAYE KUHITIMU KIDATO CHA NNE

Baba wa Catherine akimkabidhi zawadi mwanaye. Catherine akimlisha keki baba yake, Masha Bukumbi, kwenye hafla hiyo. …

 

10 years ago

Habarileo

Pacha walioungana kwenda kidato 5

Mapacha wa IringaPACHA walioungana kiwiliwili, Consolata na Maria Mwakikuti (18) wa Kijiji cha Ikonda wilayani Makete mkoani Njombe wamefaulu mtihani wao wa kuhitimu kidato cha nne kwa alama sawa isipokuwa masomo mawili.

 

5 years ago

Michuzi

MKURUGENZI KAGURUMJULI APONGEZWA KINONDONI KUONGOZA MARA NNE MFULULIZO MATOKEO KIDATO CHA NNE NA PILI KIMKOA


Mkuu wa shule ya Sekondari ya Canosa sister Irine Nakamanya akipokea cheti cha pongezi kwa shule hiyo kufanya vizuri kwenye matokeo ya kidato cha nne na pili.Wanafunzi na walimu waliokuwa katika hafla ya kupongezwa kwa kufanya vizuri katika matokeo ya kidato cha nne na cha pili mwaka 2019. Hafla hiyo imeandaliwa na Idara ya elimu Sekondari.

 

10 years ago

Michuzi

KAMANDA WA POLISI MKOA WA MBEYA AHMED .Z. MSANGI-SACP ANAWATANGAZIA WAHITIMU WA KIDATO CHA SITA MWAKA 2014 NA KIDATO CHA NNE MWAKA 2013 WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA JESHI LA POLISI BAADA YA USAILI KUKAMILIKA

Maelekezo Muhimu.

Wahitimu wa kidato cha sita mwaka 2014, kidato cha nne mwaka 2013 na JKT Mafinga, Mlale, Ruvu, Mgambo, Bulombola, Kanembwa, Itende, Nachingwea, Mbweni, Maramba, Chita, Makutupola, Mtabila, Msange, Mgulani, Oljoro, Rwankoma na Kimbiji wamechaguliwa kujiunga na mafunzo ya awali ya Jeshi la Polisi.

Wahitimu hawa waliochaguliwa wanatakiwa kuripoti tarehe 28/11/2014 kwa Makamanda wa Polisi wa Mikoa kama ilivyooneshwa kwenye jedwali hapa chini ili...

 

10 years ago

Vijimambo

Ajifungua pacha wa kike walioungana kifua, tumbo

Musoma. Mwanamke mmoja mkazi wa Kata ya Buhare, Manispaa ya Musoma mkoani Mara, Helena Paulo (20), amejifungua watoto pacha wa kike walioungana eneo la kifuani hadi tumboni wakiwa na uzito wa kilo 4.6 kwa pamoja.

Tukio hilo la ajabu katika Mji wa Musoma na mkoa kwa jumla, liliwavutia hisia za wananchi hali iliyosababisha msongamano katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa kwa madhumuni ya kutaka kushuhudia.

Akizungumza katika wodi ya wazazi hospitalini hapo, muuguzi wa zamu, Naabu Geraruma alisema...

 

10 years ago

Dewji Blog

Madaktari washirikiana kuokoa maisha ya Pacha walioungana

Mwanza conjoined twins

Timu ya madaktari wa watoto katika hospitali ya rufaa ya Bugando wameungana ili kuokoa maisha ya  mapacha walioungana. Mapacha hao wamezaliwa na Elena Paulo, mwenye umri wa miaka 20, Januari 3, mwaka huu katika hospitali ya  hospitali ya mkoa ya Mara  na baadaye kuhamishiwa katika hospital ya rufaa ya Bugando mkoani  Mwanza kwa ajili ya matibabu zaidi.

Watoto hao walikuwa na uzito wa kilo 4.6 kwa pamoja wakati walipozaliwa na walikuwa wameungana vifua na matumbo.

Kwa mujibu wa Dk Festo...

 

10 years ago

Vijimambo

TAARIFA YA MATOKEO YA KIDATO CHA NNE

Baraza la Mitihani Tanzania (Necta) limesema usahihishaji wa mitihani ya kidato cha nne uliofanyika Novemba mwaka jana, umekamilika.Katibu mtendaji wa Necta, Dk Charles Msonde aliliambia gazeti hili wiki hii kuwa “usahihishaji umekamilika na baraza lipo katika uchambuzi wa kuyapanga na tutakapokamilisha tutayatangaza”.Alipoulizwa ni lini hasa matokeo hayo yatatangazwa, Dk Msonde alisema: “Tumemaliza kusahihisha na mchakato wa kuyapanga ukikamilika tutawaeleza hivyo msiwe na shaka.”Katika...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Maajabu matokeo kidato cha nne

MATOKEO ya kidato cha nne yaliyotangazwa hivi karibuni yameendelea kuibua mkanganyiko kutokana na kuwapo kwa utofauti wa madaraja kwa pointi zinazolingana. Mkanganyiko huo unatokana na kuwepo kwa hali ya sintofahamu...

 

11 years ago

Mwananchi

Sifuri zatawala kidato cha nne

>Licha ya Baraza la Mitihani kueleza kuwa ufaulu katika matokeo ya Kidato cha Nne Mwaka 2013 umeongezeka kwa asilimia 15.17, baadhi ya wadau wa elimu wamesema yawezekana matokeo hayo ama yakawa sawa na yale ya mwaka 2012 au mabaya zaidi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani