Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Dawa ni Kuacha Ngono, Mayai ya Kware Hayatibu UKIMWI

Hivi karibuni nilikuwa Dar es salaam kwa likizo fupi, nikashangaa mtaani kwetu, msiniulize maeneo gani, nilikuta wakaazi wengi waliokuwa wakifuga kuku wa mayai au wa nyama wamebadili biashara na sasa wanafuga ndege aina ya Kware na wanauza mayai yake kam njugu.Nilipodadisi niliambiwa yanatumiwa na waathirika wa ugnjwa wa UKIMWI maana wameambiwa na wataalmu wetu kwamba mayai ya Kware yanatibu UKIMWI.
Nilishangaa zaidi kusiki eti dozi yake ni mayai matano kwa siku kila siku na baada ya kutumia...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

SOMO LA UFUGAJI: UZURI WA MAYAI YA KWARE KAMA CHAKULA


Katika siku za hivi karibuni ndege aitwae kware ameanza kuwa ndege maarufu katika baadhi ya wafugaji katika nchi yetu na kwa wale ambao walikuwa wakiwawinda porini enzi hizo bado wana imani kuwa ndege huyu hawezi kufungwa kama hatakimbia basi atajiua, lakini kwa wale wanaotaka kumfuga ndege huyu mdogo mwenye mayai matamu ya madoa doa wanaweza sasa inaweza kugeuka chanzo cha mapato na sehemu ya chakula bora kwa familia.

Leo ningependa niingie ndani kuwa nini hasa tofauti ya mayai ya kware na...

 

11 years ago

Dewji Blog

Watanzania watakiwa kuacha ngono zembe

5

Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Kutokomeza Ukimwi na maambukizi mapya ya Virusi hivyo vya Ukimwi kwa Watoto (AGPAHI), Laurean Bwanakunu (kulia).(Picha na Maktaba).

Na Mwandishi wetu

Watanzania wametakiwa kuepukana vitendo vya kuhamasisha ngono zembe itakayosababisha  maambukizi mapya ya Virusi vya Ukimwi (VVU).

Kauli hiyo ilitolewa jijini Dar es Salaam jana, Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Kutokomeza Ukimwi na maambukizi mapya ya virusi hivyo vya Ukimwi kwa Watoto (AGPAHI), Laurean...

 

11 years ago

BBCSwahili

Ngono kwanza, dawa baadaye

Makahaba wa Kenya wanafanya ngono bila kinga na kumeza tembe za kupunguza makali ya HIV ili kupunguza tisho la kuambukizwa na HIV

 

11 years ago

GPL

DAWA YA UKIMWI HIYOOO

Na Mwandishi Wetu na Mitandao KUMBE inawezekana! Wanasayansi wapatao 30 duniani waliokuna vichwa kutafuta dawa ya kutibu gonjwa hatari la Ukimwi wamesema hatua waliyofikia ni kujipongeza kwa asilimia mia moja.
Wataalam hao walikutana nchini Marekani hivi karibuni na kusema utafiti wao umeweza kutengeneza vidonge vya kudhibiti kasi ya ugonjwa huo kwenye mwili wa mwanadamu. Dk. Kamel Khalili.
Wakiwa chini ya Chama cha...

 

10 years ago

BBCSwahili

Dawa mpya ya ukimwi yakosolewa

Pre-Exposure Prophylaxis (PrEP) - ni dawa inayoweza kutoa kinga dhidi ya maambukizi ya ukimwi iwapo itatumika kabla ya kushiriki ngono.

 

10 years ago

Habarileo

NIMR yatengeneza dawa ya Ukimwi

 Dk Mwele Malecela TAASISI ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu (NIMR), imetengeneza dawa za asili zilizoboreshwa kwa ajili ya tiba kwa magonjwa mbalimbali, ikiwemo Ukimwi baada ya kuzifanyia utafiti kubaini uwezo na usalama wake.

 

11 years ago

Mwananchi

Usugu wa dawa ni hatari kuliko Ukimwi

>Umejikata kwa bati mguuni, lakini unaonekana kutojali ukijua kuwa  ni jeraha dogo tu ambalo huhitaji matibabu rasmi ili upone.

 

9 years ago

BBCSwahili

Bei ya dawa ya Ukimwi yapandishwa 5000%

Tembe moja ya dawa ya Daraprim inayotumika kupunguza makali ya Ukimwi itapanda kutoka dola $13.50 hadi $750.

 

11 years ago

Mwananchi

Sababu 10 zinazotia moyo dawa mpya ya Ukimwi

Wiki hii imekuwa na habari njema na ya faraja kwa dunia katika kupambana na Virusi Vya Ukimwi (VVU).

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani