Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NIMR yatengeneza dawa ya Ukimwi

 Dk Mwele Malecela TAASISI ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu (NIMR), imetengeneza dawa za asili zilizoboreshwa kwa ajili ya tiba kwa magonjwa mbalimbali, ikiwemo Ukimwi baada ya kuzifanyia utafiti kubaini uwezo na usalama wake.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

NIMR kutengeneza dawa kwa teknolojia ya chembehai

Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu (NIMR), Dk. Mwele Malecela akichangia mada wakati wa Kongamano la Wanasayansi Watafiti Dar es Salaam jana. Watafiti mbalimbali walikuwa wakiwasilisha ripoti za utafiti wao na kujadiliwa kwa pamoja. (Picha na Mroki Mroki).TAASISI ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu (NIMR), imesema inatarajia kuanza kutengeneza dawa za binadamu zitokanazo na mimea kwa kutumia teknolojia ya kisasa ya kutumia chembe hai ya mimea bila kukata mti husika.

 

5 years ago

CCM Blog

DAWA YA NIMR TANZANIA YATOA MWANGA WA KUPONYA CORONA


DAWA iliyofanyiwa kazi na Taasisi ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu (NIMR), imetoa mwanga wa matumaini kwa wagonjwa wa homa kali ya mapafu, inayosababishwa na virusi vya corona.
Dawa hiyo iliyopewa jina la NIMRCAF (pichani), inatokana na mchanganyiko wa vyakula; na katika majaribio imeonesha ina uwezo mkubwa wa kudhibiti virusi vya corona. 

Akielezea mchanganyiko huo, Mkurugenzi wa Kitengo cha Tiba Asili cha NIMR, Dk Justine Omolo alisema ni fomula ya tiba lishe, ambayo ina mchanganyiko wa...

 

11 years ago

Michuzi

UNHWA YA KOREA KUSINI KUISAIDIA NIMR KATIKA UGUNDUZI WA DAWA KWA KUTUMIA MIMEA

 Na Father Kidevu Blog, Dar es Salaam Taasisi ya taifa ya utafiti wa magonjwa ya binadamu Tanzania (NIMR), imesaini mkataba wa ushirikiano na kampuni ya UNHWA ya Jamhuri ya Korea ambapo kampuni hiyo itaisaidia NIMR teknolojia mpya ya kufanya ugunduzi wa dawa za binadamu kwa kutumia mimea.
Makubaliano hayo yamesainiwa jijini Dar es salaam pembezoni mwa kongamano la 28 la kisayansi la NIMR, ambapo mkurugenzi mkuu wa taasisi hiyo Dk. Mwele Malecela amesema hatua hiyo ni muhimu katika...

 

5 years ago

Michuzi

Dawa ya Taasisi ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu (NIMR) yatoa mwanga wa matumaini kwa wagonjwa wa corona


DAWA iliyofanyiwa kazi na Taasisi ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu (NIMR), imetoa mwanga wa matumaini kwa wagonjwa wa homa kali ya mapafu, inayosababishwa na virusi vya corona.
Dawa hiyo iliyopewa jina la NIMRCAF (pichani), inatokana na mchanganyiko wa vyakula; na katika majaribio imeonesha ina uwezo mkubwa wa kudhibiti virusi vya corona. 

Akielezea mchanganyiko huo, Mkurugenzi wa Kitengo cha Tiba Asili cha NIMR, Dk Justine Omolo alisema ni fomula ya tiba lishe, ambayo ina mchanganyiko wa...

 

11 years ago

GPL

DAWA YA UKIMWI HIYOOO

Na Mwandishi Wetu na Mitandao KUMBE inawezekana! Wanasayansi wapatao 30 duniani waliokuna vichwa kutafuta dawa ya kutibu gonjwa hatari la Ukimwi wamesema hatua waliyofikia ni kujipongeza kwa asilimia mia moja.
Wataalam hao walikutana nchini Marekani hivi karibuni na kusema utafiti wao umeweza kutengeneza vidonge vya kudhibiti kasi ya ugonjwa huo kwenye mwili wa mwanadamu. Dk. Kamel Khalili.
Wakiwa chini ya Chama cha...

 

10 years ago

BBCSwahili

Dawa mpya ya ukimwi yakosolewa

Pre-Exposure Prophylaxis (PrEP) - ni dawa inayoweza kutoa kinga dhidi ya maambukizi ya ukimwi iwapo itatumika kabla ya kushiriki ngono.

 

11 years ago

Mwananchi

Usugu wa dawa ni hatari kuliko Ukimwi

>Umejikata kwa bati mguuni, lakini unaonekana kutojali ukijua kuwa  ni jeraha dogo tu ambalo huhitaji matibabu rasmi ili upone.

 

9 years ago

BBCSwahili

Bei ya dawa ya Ukimwi yapandishwa 5000%

Tembe moja ya dawa ya Daraprim inayotumika kupunguza makali ya Ukimwi itapanda kutoka dola $13.50 hadi $750.

 

11 years ago

Mwananchi

Sababu 10 zinazotia moyo dawa mpya ya Ukimwi

Wiki hii imekuwa na habari njema na ya faraja kwa dunia katika kupambana na Virusi Vya Ukimwi (VVU).

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani