Bei ya dawa ya Ukimwi yapandishwa 5000%
Tembe moja ya dawa ya Daraprim inayotumika kupunguza makali ya Ukimwi itapanda kutoka dola $13.50 hadi $750.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
9 years ago
BBCSwahili23 Sep
Walioongeza bei ya dawa 5000% wabadili msimamo
Kampuni ya kutengeneza dawa iliyoshutumiwa sana baada ya kuongeza bei ya dawa kwa asilimia 5,000 imesema itapunguza bei hiyo.
11 years ago
BBCSwahili05 Jul
Bei ya mafuta yapandishwa sana Misri
Wananchi wa Misri ghafla wazidishiwa bei za mafuta na nishati kwa jumla na madereva wakereka
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/SVfVaVsl8W3**pg5he8M5qOUz4OPMPEGpP*QAR3Z8Jc9IdvY91OTNptGpxElPfWgDBa4oWeieuSZIjYyHJ*hIjRT*YfsLeXn/dawa.jpg)
DAWA YA UKIMWI HIYOOO
Na Mwandishi Wetu na Mitandao KUMBE inawezekana! Wanasayansi wapatao 30 duniani waliokuna vichwa kutafuta dawa ya kutibu gonjwa hatari la Ukimwi wamesema hatua waliyofikia ni kujipongeza kwa asilimia mia moja.
Wataalam hao walikutana nchini Marekani hivi karibuni na kusema utafiti wao umeweza kutengeneza vidonge vya kudhibiti kasi ya ugonjwa huo kwenye mwili wa mwanadamu. Dk. Kamel Khalili.
Wakiwa chini ya Chama cha...
10 years ago
Habarileo26 Mar
NIMR yatengeneza dawa ya Ukimwi
TAASISI ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu (NIMR), imetengeneza dawa za asili zilizoboreshwa kwa ajili ya tiba kwa magonjwa mbalimbali, ikiwemo Ukimwi baada ya kuzifanyia utafiti kubaini uwezo na usalama wake.
10 years ago
BBCSwahili04 Jul
Dawa mpya ya ukimwi yakosolewa
Pre-Exposure Prophylaxis (PrEP) - ni dawa inayoweza kutoa kinga dhidi ya maambukizi ya ukimwi iwapo itatumika kabla ya kushiriki ngono.
11 years ago
Mwananchi09 May
Usugu wa dawa ni hatari kuliko Ukimwi
>Umejikata kwa bati mguuni, lakini unaonekana kutojali ukijua kuwa ni jeraha dogo tu ambalo huhitaji matibabu rasmi ili upone.
11 years ago
Mwananchi25 Jul
Sababu 10 zinazotia moyo dawa mpya ya Ukimwi
Wiki hii imekuwa na habari njema na ya faraja kwa dunia katika kupambana na Virusi Vya Ukimwi (VVU).
10 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-Swhl3CwEXUY/VS51uZaAw_I/AAAAAAAAr8w/alxdMUOez-Q/s72-c/mayai%2Bya%2Bkware.jpg)
Dawa ni Kuacha Ngono, Mayai ya Kware Hayatibu UKIMWI
![](http://3.bp.blogspot.com/-Swhl3CwEXUY/VS51uZaAw_I/AAAAAAAAr8w/alxdMUOez-Q/s640/mayai%2Bya%2Bkware.jpg)
Nilishangaa zaidi kusiki eti dozi yake ni mayai matano kwa siku kila siku na baada ya kutumia...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/NEC3sUsJox5LjwxS1NwTKf*7kHIonWJl0OzNp1JjDF9nqBV1KGb6Hk-a2g9OsBl4*pPtnHWhiSMDYsoe-D0wTk*maV0UMvU9/ARVs.jpg?width=650)
ARV’S; DAWA ZA KUREFUSHA MAISHA YA WAATHIRIKA WA UKIMWI
BAADA ya kuchambua kwa kina magonjwa nyemelezi katika matoleo yetu matatu yaliyopita ya gazeti hili leo tuangalie dawa za kurefusha maisha ambayo kitaalamu huitwa antiretroviral therapy kifupi ARVs. Dawa hii hupigana dhidi ya virusi vinavyosababisha Ukimwi. Madawa haya huwasaidia wale walio na virusi hivi kukaa katika afya nzuri. Aina nyingine ya madawa haya ni Protease Inhibitors, hii huzingira virusi na kuvizuia...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania