Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Dawa mpya ya ukimwi yakosolewa

Pre-Exposure Prophylaxis (PrEP) - ni dawa inayoweza kutoa kinga dhidi ya maambukizi ya ukimwi iwapo itatumika kabla ya kushiriki ngono.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Sababu 10 zinazotia moyo dawa mpya ya Ukimwi

Wiki hii imekuwa na habari njema na ya faraja kwa dunia katika kupambana na Virusi Vya Ukimwi (VVU).

 

11 years ago

GPL

DAWA YA UKIMWI HIYOOO

Na Mwandishi Wetu na Mitandao KUMBE inawezekana! Wanasayansi wapatao 30 duniani waliokuna vichwa kutafuta dawa ya kutibu gonjwa hatari la Ukimwi wamesema hatua waliyofikia ni kujipongeza kwa asilimia mia moja.
Wataalam hao walikutana nchini Marekani hivi karibuni na kusema utafiti wao umeweza kutengeneza vidonge vya kudhibiti kasi ya ugonjwa huo kwenye mwili wa mwanadamu. Dk. Kamel Khalili.
Wakiwa chini ya Chama cha...

 

10 years ago

Habarileo

NIMR yatengeneza dawa ya Ukimwi

 Dk Mwele Malecela TAASISI ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu (NIMR), imetengeneza dawa za asili zilizoboreshwa kwa ajili ya tiba kwa magonjwa mbalimbali, ikiwemo Ukimwi baada ya kuzifanyia utafiti kubaini uwezo na usalama wake.

 

11 years ago

Mwananchi

Usugu wa dawa ni hatari kuliko Ukimwi

>Umejikata kwa bati mguuni, lakini unaonekana kutojali ukijua kuwa  ni jeraha dogo tu ambalo huhitaji matibabu rasmi ili upone.

 

9 years ago

BBCSwahili

Bei ya dawa ya Ukimwi yapandishwa 5000%

Tembe moja ya dawa ya Daraprim inayotumika kupunguza makali ya Ukimwi itapanda kutoka dola $13.50 hadi $750.

 

10 years ago

Vijimambo

Dawa ni Kuacha Ngono, Mayai ya Kware Hayatibu UKIMWI

Hivi karibuni nilikuwa Dar es salaam kwa likizo fupi, nikashangaa mtaani kwetu, msiniulize maeneo gani, nilikuta wakaazi wengi waliokuwa wakifuga kuku wa mayai au wa nyama wamebadili biashara na sasa wanafuga ndege aina ya Kware na wanauza mayai yake kam njugu.Nilipodadisi niliambiwa yanatumiwa na waathirika wa ugnjwa wa UKIMWI maana wameambiwa na wataalmu wetu kwamba mayai ya Kware yanatibu UKIMWI.
Nilishangaa zaidi kusiki eti dozi yake ni mayai matano kwa siku kila siku na baada ya kutumia...

 

11 years ago

GPL

ARV’S; DAWA ZA KUREFUSHA MAISHA YA WAATHIRIKA WA UKIMWI

BAADA ya kuchambua kwa kina magonjwa nyemelezi katika matoleo yetu matatu yaliyopita ya gazeti hili leo tuangalie dawa za kurefusha  maisha ambayo kitaalamu huitwa  antiretroviral therapy kifupi ARVs. Dawa hii hupigana dhidi ya virusi vinavyosababisha Ukimwi. Madawa haya huwasaidia wale walio na virusi hivi kukaa katika afya nzuri. Aina nyingine ya madawa haya ni Protease Inhibitors, hii huzingira virusi na kuvizuia...

 

11 years ago

Michuzi

TACAIDS yathibitisha upatikanaji wa dawa za kupunguza makali ya Ukimwi (RAVs) nchini

 Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Huduma za Jamii Margreth Sitta, akizungumza na wahabahari baada ya ufunguzi wa mkutano.

 Mwenyekiti Mtendaji wa Tume ya Kudhibiti Ukimwi Tanzania (TACAIDS) Dk. Fatma Mrisho (kulia) akiwa na washiriki wenzake wa mkutano huo wakifuatilia uwasilishwaji wa mada. Mjumbe wa Chama cha Ukimwi Ulimwenguni na Mbunge wa Kigamboni Dk. Faustine Ndugulile (kushoto) akifuatilia mkutano wa wadau wa Ukimwi kujadili matumizi sahihi ya rasilimali katika kupambana na Ukimwi...

 

9 years ago

MillardAyo

Magufuli kazuia Wabunge kwenda nje? kuongezeka pato la TZ? Dawa ya UKIMWI? (+Audio)

Baadhi ya Wabunge wakwama uwanja wa ndege baada ya kukosa kibali cha Bunge wala Ikulu kuwaruhusu wasafiri nje ya nchi… Watumishi wengine wanne wa TAKUKURU wasimamishwa kwa kusafiri nje ya TZ bila kibali, kuna stori pia kuhusu nauli za mabasi ya mwendokasi kuonekana ni mzigo kwa wananchi, ziko mara mbili ya nauli za sasa. Mtoto […]

The post Magufuli kazuia Wabunge kwenda nje? kuongezeka pato la TZ? Dawa ya UKIMWI? (+Audio) appeared first on TZA_MillardAyo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani