Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


ARV’S; DAWA ZA KUREFUSHA MAISHA YA WAATHIRIKA WA UKIMWI

BAADA ya kuchambua kwa kina magonjwa nyemelezi katika matoleo yetu matatu yaliyopita ya gazeti hili leo tuangalie dawa za kurefusha  maisha ambayo kitaalamu huitwa  antiretroviral therapy kifupi ARVs. Dawa hii hupigana dhidi ya virusi vinavyosababisha Ukimwi. Madawa haya huwasaidia wale walio na virusi hivi kukaa katika afya nzuri. Aina nyingine ya madawa haya ni Protease Inhibitors, hii huzingira virusi na kuvizuia...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

news alert: watano wapanda kizimbani kwa mashtaka ya usambazaji wa Dawa feki za kurefusha maisha kwa waathirika wa Ukimwi

MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Dar es Salaam pia ni Mkurugenzi Mkuu Kiwanda cha Kutengeza Dawa (TPI Ltd) Ramadhani Madabida na wenzake watano wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam, wakikabiliwa na mashitaka matano ya usambazaji wa Dawa feki za kurefusha maisha kwa waathirika wa Ukimwi na kuisababishia Bohari Kuu ya Dawa (MSD)hasara ya zaidi ya Sh.milioni 148.3.   Mbali na Madabida washtakiwa wengine ni, Meneja Uendeshaji Seif Shamte, aliyekuwa...

 

11 years ago

Mwananchi

MKUTANO WA UKIMWI 2014: ARV zinaweza kuangamiza VVU duniani bila haja ya dawa, chanjo

>Mkutano wa kuzungumzia Ukimwi 2014 uliofanyika Melbourne, Australia, ulimalizika kwa azimio kwamba njia rahisi na ya haraka ya kumaliza tatizo la kuenea kwa Virusi Vya Ukimwi (VVU)  ni upatikanaji wa chanjo au tiba.

 

10 years ago

Mwananchi

Historia ya Ukimwi na ugunduzi wa ARV - 4

Wiki iliyopita tuliona wakati ugonjwa wa Ukimwi ukiwa haufahamiki chanzo chake, wataalamu wengi wa afya walikuwa wakihangaika kufanya utafiti.

 

10 years ago

BBCSwahili

Watoto kunufaika na dawa mpya za ARV

Mamlaka ya Chakula na Dawa ya Marekani imeidhinisha matumizi ya Dawa mpya zitakazochanganywa kwenye chakula cha Watoto

 

11 years ago

Mwananchi

Matumizi ya ARV, pombe yanavyohatarisha maisha

Watu wanaokunywa dawa za kufubaza makali ya Virusi Vya Ukimwi(ARV) huku wakitumia pombe kwa wingi wametajwa kujiweka katika hatari zaidi.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Vijana 1,526 waathirika na dawa za kulevya Dar

JUMLA ya vijana 1,526 mkoani Dar es Salaam wanapatiwa huduma ya matibabu yaliyotokana na athari za matumizi ya dawa za kulevya. Kauli hiyo ilitolewa jana na Waziri wa Uchukuzi, Dk....

 

10 years ago

StarTV

Vijana waathirika dawa za kulevya Arusha waomba msaada

Na Ramadhani Mvungi,

Arusha.

Makundi ya vijana wanaoishi katika mazingira hatarishi ambao wameathirika na dawa za kulevya jijini Arusha yameiomba Serikali na wadau wengine wawasaidie kuwapatia matibabu ya afya zao.

Hatua hii itawawezesha kuondokana na maradhi nyemelezi ambayo yanawasababishia vifo baada ya kinga za miili yao kudhoofika.

comprar kamagra barato

Katika zoezi la kuyashawishi makundi ya vijana yaweze kuondoka mitaani na kwenda kuishi kwenye vituo rasmi ili kupatiwa elimu...

 

11 years ago

GPL

DAWA YA UKIMWI HIYOOO

Na Mwandishi Wetu na Mitandao KUMBE inawezekana! Wanasayansi wapatao 30 duniani waliokuna vichwa kutafuta dawa ya kutibu gonjwa hatari la Ukimwi wamesema hatua waliyofikia ni kujipongeza kwa asilimia mia moja.
Wataalam hao walikutana nchini Marekani hivi karibuni na kusema utafiti wao umeweza kutengeneza vidonge vya kudhibiti kasi ya ugonjwa huo kwenye mwili wa mwanadamu. Dk. Kamel Khalili.
Wakiwa chini ya Chama cha...

 

10 years ago

Habarileo

NIMR yatengeneza dawa ya Ukimwi

 Dk Mwele Malecela TAASISI ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu (NIMR), imetengeneza dawa za asili zilizoboreshwa kwa ajili ya tiba kwa magonjwa mbalimbali, ikiwemo Ukimwi baada ya kuzifanyia utafiti kubaini uwezo na usalama wake.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani