Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MKUTANO WA UKIMWI 2014: ARV zinaweza kuangamiza VVU duniani bila haja ya dawa, chanjo

>Mkutano wa kuzungumzia Ukimwi 2014 uliofanyika Melbourne, Australia, ulimalizika kwa azimio kwamba njia rahisi na ya haraka ya kumaliza tatizo la kuenea kwa Virusi Vya Ukimwi (VVU)  ni upatikanaji wa chanjo au tiba.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

ARV’S; DAWA ZA KUREFUSHA MAISHA YA WAATHIRIKA WA UKIMWI

BAADA ya kuchambua kwa kina magonjwa nyemelezi katika matoleo yetu matatu yaliyopita ya gazeti hili leo tuangalie dawa za kurefusha  maisha ambayo kitaalamu huitwa  antiretroviral therapy kifupi ARVs. Dawa hii hupigana dhidi ya virusi vinavyosababisha Ukimwi. Madawa haya huwasaidia wale walio na virusi hivi kukaa katika afya nzuri. Aina nyingine ya madawa haya ni Protease Inhibitors, hii huzingira virusi na kuvizuia...

 

10 years ago

Mwananchi

Historia ya Ukimwi na ugunduzi wa ARV - 4

Wiki iliyopita tuliona wakati ugonjwa wa Ukimwi ukiwa haufahamiki chanzo chake, wataalamu wengi wa afya walikuwa wakihangaika kufanya utafiti.

 

5 years ago

Michuzi

SPIKA NDUGAI ELIMU YA VVU NDIO DAWA YA KUONDOA UNYANYAPAA KWA WATU WANAOISHI NA VVU NCHINI

Na Ahmed Mahmoud, Arusha
Serikali imeeleza kuwa suala la elimu ya masuala ya vvu kwa jamii ni jambo endelevu na linatakiwa kuendelea kutolewa hususani kwenye suala la unyanyapaa ambalo limendelea kushika kasi kwa watu wanaoishi na maambukizi ya ukimwi.

Akiongea kwenye mkutano wa viongozi wa dini na madhehebu mbalimbali ulioandaliwa na Bunge na Baraza la watu walioishi na VVU Spika wa bunge Job Ngugai alisema kuwa katika umoja wao viongozi wa dini wanauwezo wa kuvunja ukimya kuondoa ubaguzi na...

 

10 years ago

BBCSwahili

Watoto kunufaika na dawa mpya za ARV

Mamlaka ya Chakula na Dawa ya Marekani imeidhinisha matumizi ya Dawa mpya zitakazochanganywa kwenye chakula cha Watoto

 

10 years ago

Dewji Blog

Kamati ya Masuala ya Ukimwi na Madawa ya Kulevya yajadili Muswada wa Sheria ya Usimamizi na Udhibiti wa Dawa za Kulevya ya mwaka 2014

PIX 1

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia mambo ya Bunge, Sera na Uratibu Mhe. William Lukuvi akifungua kikao cha Kamati ya Masuala ya Ukimwi na Madawa ya Kulevya kujadili Muswada wa Sheria ya Usimamizi na Udhibiti wa Dawa za Kulevya ya mwaka 2014 kilichofanyika 22/01/2015 katika Ukumbi wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam.

PIX 2

Baadhi ya wadau toka Taasisi mbalimbali zisizo za Kiserikali wakichangia mada kupitia vifungu mbalimbali vya Muswada wa Sheria ya Usimamizi na Udhibiti wa...

 

11 years ago

Mwananchi

Bado naamini chanjo ya VVU itapatikana

Jumatatu wiki hii ilikuwa ni siku ya kuhamasisha chanjo duniani. Moja ya chanjo ambayo imekuwa ikisubiriwa kwa hamu kubwa duniani ni ya kujikinga na Virusi Vya Ukimwi (VVU).

 

10 years ago

Mwananchi

Historia ya Ukimwi, ugunduzi wa VVU - 3

Mashoga nchini Marekani walisaidia katika kugundua Virusi Vya Ukimwi (VVU) na kuleta mapambazuko kwa wataalamu wa afya kuanza kutafuta tiba na chanjo ambazo leo hii zimewezesha kupatikana Dawa za Kufubaza VVU (ARV).

 

11 years ago

Habarileo

Matokeo chanjo ya Ukimwi leo

MATOKEO ya utafiti wa chanjo ya ugonjwa wa Ukimwi na magonjwa yasiyoambukiza nchini, yatatolewa katika kongamano la kisayansi linaloanza leo jijini Dar es Salaam. Kongamano hilo la siku mbili lenye kaulimbiu ya ‘Utafiti wa Afya, Mafunzo na Ubunifu kwa Maendeleo Endelevu’, limeandaliwa na Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (Muhas).

 

9 years ago

GPL

FAHAMU MAMBO MUHIMU KUHUSU VVU/ UKIMWI

Wiki hii tunachambua Virusi vya Ukimwi (VVU) na ugonjwa wenyewe, tutaangalia hatua kwa hatua hadi mgonjwa anaonekana kuwa ana Ukosefu wa Kinga Mwilini (Ukimwi). Ili mtu ajulikane kuwa ana VVU /Ukimwi, atapitia hatua nne za lazima kama nitakavyoziainisha.
Hatua ya kwanza hujulikana kitaalam kama Primary HIV Infection ambapo mgonjwa hudumu nayo kwa wiki nne baada ya maambukizi. Watu walio katika maambuki katika hatua hii ni...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani