FAHAMU MAMBO MUHIMU KUHUSU VVU/ UKIMWI
![](http://api.ning.com:80/files/y*wDQ4ub4Bm7I4MuGXnFTQEb6mDznfGdckW1TM7xZZECQj2K-7qFrNrLriVUhIv1oa8QxkNQ5agoUoqolnjb8hfjzkH78PpF/060505_hiv_virus_02.jpg?width=650)
Wiki hii tunachambua Virusi vya Ukimwi (VVU) na ugonjwa wenyewe, tutaangalia hatua kwa hatua hadi mgonjwa anaonekana kuwa ana Ukosefu wa Kinga Mwilini (Ukimwi). Ili mtu ajulikane kuwa ana VVU /Ukimwi, atapitia hatua nne za lazima kama nitakavyoziainisha. Hatua ya kwanza hujulikana kitaalam kama Primary HIV Infection ambapo mgonjwa hudumu nayo kwa wiki nne baada ya maambukizi. Watu walio katika maambuki katika hatua hii ni...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mwananchi14 Dec
Fahamu mambo 10 muhimu ya Baraza la Dk Magufuli
11 years ago
Mwananchi08 Jun
Mambo 20 muhimu kuhusu Kombe la Dunia
5 years ago
BBCSwahili28 Feb
Mambo matano muhimu kuhusu virusi vya corona
10 years ago
Mwananchi19 Dec
Historia ya Ukimwi, ugunduzi wa VVU - 3
10 years ago
GPLKONGAMANO LA TAIFA LA WATOTO, VVU NA UKIMWI KUFANYIKA DAR
11 years ago
Dewji Blog08 Jul
Wanahabari: Andikeni Habari za VVU na UKIMWI zenye kuleta matumaini
Mshauri na Mkufunzi wa Redio Jamii kutoka UNESCO, Bi. Rose Haji Mwalimu akitoa mada inayohusu mchango wa vyombo vya habari katika kuhamasisha matumizi rafiki ya huduma za kuzuia VVU na Huduma za Afya ya Uzazi kwa Vijana wakati warsha ya siku tatu ya mradi mpya kuhamasisha Vijana kuhusu udhibiti wa Maambukizi mapya ya VVU iliyofanyika hivi karibu katika kituo cha Habari na Mawasiliano Sengerema, Mwanza chini ya mradi wa SHUGA unaoendeshwa kwa pamoja na mashirika ya Umoja wa Mataifa UNICEF...
9 years ago
MichuziWATUMISHI WA MANISPAA YA ILALA WAFUNDWA JUU YA MAAMBUKIZI YA VVU,NA UKIMWI
11 years ago
GPL![](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/07/DSC_0017.jpg)
WANAHABARI: ANDIKENI HABARI ZA VVU NA UKIMWI ZENYE KULETA MATUMAINI