Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Matokeo chanjo ya Ukimwi leo

MATOKEO ya utafiti wa chanjo ya ugonjwa wa Ukimwi na magonjwa yasiyoambukiza nchini, yatatolewa katika kongamano la kisayansi linaloanza leo jijini Dar es Salaam. Kongamano hilo la siku mbili lenye kaulimbiu ya ‘Utafiti wa Afya, Mafunzo na Ubunifu kwa Maendeleo Endelevu’, limeandaliwa na Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (Muhas).

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

MKUTANO WA UKIMWI 2014: ARV zinaweza kuangamiza VVU duniani bila haja ya dawa, chanjo

>Mkutano wa kuzungumzia Ukimwi 2014 uliofanyika Melbourne, Australia, ulimalizika kwa azimio kwamba njia rahisi na ya haraka ya kumaliza tatizo la kuenea kwa Virusi Vya Ukimwi (VVU)  ni upatikanaji wa chanjo au tiba.

 

11 years ago

Dewji Blog

Watoto 4000 kupatiwa chanjo katika Wiki ya Chanjo — Parseko Kone, Singida

DSC07952

Mkuu wa mkoa wa Singida, Dk.Parseko Kone, akizindua utoaji wa chanjo kimkoa katika hospitali ya St.Calorus iliyopo kijiji cha Mtinko. Jumla ya watoto 3,999 wanatarajiwa kupatiwa chanjo mbalimbali.

DSC07953

DSC07970

Mkuu wa mkoa wa Singida, Dk.Parseko Kone, akizungumza na wakazi wa tarafa ya Mtinko wilaya ya Singida, muda mfupi baada ya kuzindua zoezi la chanjo kimkoa lililoanza jana na linatarajiwa kumalizika Aprili 30 mwaka huu.(Picha na Nathaniel Limu).

Na Nathaniel Limu

JUMLA ya watoto 3,999 mkoani...

 

5 years ago

Michuzi

WANAHABARI WAPATIWA ELIMU YA UELEWA WA CHANJO YA SARATANI YA HPV PAMOJA NA CHANJO NYINGINE KWA NJIA YA MTANDAO

WIZARA ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto kupitia Mpango wa Taifa  Chanjo wameendesha semina maalumu kwa njia ya mtandao  kwa Waandishi wa Habari  zaidi ya 50 nchini.
Semina hiyo ya  siku moja ya uelewa wa Chanjo ya kukinga ugonjwa wa saratani ya mlango wa kizazi (HPV Vaccine) ambayo hutolewa bila malipo kwa wasichana wa miaka 14 hapa nchini iliendeshwa mubashara kupitia mtandao wa ZOOM.
Awali akiwasilisha mada maalumu ya chanjo hiyo ya HPV, Afisa Mradi, Mpango wa Taifa wa...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Kampeni ya chanjo dhidi ya surua, rubella kuzinduliwa leo

KAMPENI ya chanjo dhidi ya ugonjwa surua na rubella kwa watoto wenye umri wa miezi tisa hadi miaka 15 inatarajia kuzinduliwa leo. Katika kampeni hiyo itakayodumu kwa siku saba, watoto...

 

10 years ago

CloudsFM

LEO NI SIKU YA UKIMWI DUNIANI

Dunia yote leo inafanya kumbukumbu ya siku ya Ukimwi, ugonjwa ambao kwa zaidi ya miaka 30 umeitetemesha jamii kutokana na kutokuwa na tiba wala kinga.
Nchini mwetu, ugonjwa huo uliogundulika kwa mara ya kwanza mwaka 1981 mkoani Kagera, umesambaa katika mikoa yote, umekuwa sababu ya maafa mengi makubwa kwenye jamii ambako mbali ya vifo, umetuachia yatima, wajane na wagane.

Takwimu zinazotolewa zinaonyesha kuwa maambukizi mapya yamekuwa yakipungua kwa kiasi kikubwa, ingawa hali halisi ni...

 

5 years ago

Michuzi

LICHA YA JANGA LA CORONA, HUDUMA ZA CHANJO NA UFUATILIAJI WA MAGONJWA YANAYOZUILIKA KWA CHANJO ZAENDELEA KWA UANGALIFU MKUBWA TANGA

Ofisa Mradi wa Ofisi ya Mpango wa Taifa wa Chanjo, Richard Magodi akipitia data za chanjo kwenye mfumo maalumu wa kieletroniki wakati wa ziara maalum ya muongozo wa kujikinga na COVID19 kwa watoa huduma za chanjo katika kituo cha Chanjo Zabanati ya Bushiri, Pangani Mkoani Tanga.


Ofisa Mradi wa Ofisi ya Mpango wa Taifa wa Chanjo, Richard Magodi akipitia data za chanjo kwenye mfumo maalumu wa kieletroniki wakati wa ziara maalum ya muongozo wa kujikinga na COVID19 kwa watoa huduma za chanjo...

 

10 years ago

Michuzi

MABANGO YA KUELIMISHA UKIMWI YAZINDULIWA LEO JIJINI DAR

 Kamishna wa Tume ya Taifa ya Kudhibiti Ukimwi (Tacaids), Daniel Machemba katikati akikata utepe kaushiria uzinduzi wa mabango ya kuelimisha Ukimwi na masuala mbalimbali ya kuwajengea uwezo vijana yatakayosambazwa katika vyuo vikuu mbalimbali na Shirika la Vijana Tayoa. Anayefuata kulia ni kamishna mwingine Diana Chilolo, Mkurugenzi wa Tayoa Peter Masika. Kulia ni Mhadhiri wa Chuo cha Usimamizi wa Fedha IFM, Emmanuel Mushi na Kamishna wa Tacaids, Faraja Kotta Nyalandu. Kamishna wa...

 

10 years ago

Vijimambo

KATIBU MKUU WIZARA YA AFYA NA MKURUGENZI MTENDAJI WA TUME YA UKIMWI AZIKWA LEO ZANZIBAR

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein,(wa tatu kulia akijumuika na Viongozi na Waislamu mbali mbali katika kumswalia aliyekuwa katibu Mkuu Wizara ya Afya na Mkurugenzi Mtendaji wa Tume ya Ukimwi Zanzibar Marehemu Dkt.Omar Makame Shauri katika Msikiti wa Kidombo Wilaya ya Kaskazini A Unguja kabla ya mazishi yake leo,[Picha na Ikulu.]  Baadhi ya wananchi na Waumini wa Dini ya Kiislamu wakilibeba jeneza la aliyekuwa katibu Mkuu Wizara ya Afya na...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Matokeo ya uchaguzi Malawi leo

Tume ya uchaguzi ya Malawi imesema itatangaza matokeo ya uchaguzi leo. Uamuzi huo unakuja baada ya mivutano na mapingamizi kadhaa kwenye mahakama kuu nchini humo. Taarifa kutoka nchini humo zimesema...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani