Matokeo ya uchaguzi Malawi leo
Tume ya uchaguzi ya Malawi imesema itatangaza matokeo ya uchaguzi leo. Uamuzi huo unakuja baada ya mivutano na mapingamizi kadhaa kwenye mahakama kuu nchini humo. Taarifa kutoka nchini humo zimesema...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBCSwahili24 May
Matokeo ya uchaguzi yatangazwa Malawi
11 years ago
BBCSwahili29 May
Malawi;Matokeo ya uchaguzi ni Ijumaa
11 years ago
BBCSwahili22 May
Shauku kubwa ya matokeo ya uchaguzi Malawi
11 years ago
Mwananchi26 May
Mahakama yapinga Rais Banda kufuta matokeo Malawi
5 years ago
BBCSwahili22 Jun
Malawi kuingia kwenye duru ya pili ya uchaguzi baada ya matokeo ya mwaka jana kutupiliwa mbali
11 years ago
Habarileo14 May
Balozi wa Malawi kuzikwa leo
BALOZI wa Malawi nchini Tanzania aliyefariki ghafla Ijumaa iliyopita jijini Dar es Salaam, Flossie Gomile-Chidyaonga, anatazamiwa kuzikwa leo katika jiji alilozaliwa la Blantyre, Malawi.
9 years ago
Habarileo09 Oct
Stars waenda Malawi leo
KIKOSI cha wachezaji 20 wa timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars, kinaondoka leo kwenda Malawi kwa ajili ya mchezo wa marudiano dhidi ya The Flames kwa ajili ya kufuzu kwa fainali za Kombe la Dunia 2018.
11 years ago
Habarileo20 May
Malawi kuchagua Rais, wabunge leo
WANANCHI wa Malawi, leo wanapiga kura kuchagua rais atakayeiongoza nchi hiyo kwa kipindi kingine cha miaka mitano. Kadhalika, watachagua wabunge na madiwani. Hii ni mara ya kwanza kwa wananchi wa Malawi kupiga kura tatu.
10 years ago
Dewji Blog27 Jul
Fastjet kuanza ‘route ya 5’ leo ni ya Dar- Lilongwe (Malawi)
Meneja Mkuu wa shirika la Ndege la Fastjet Afrika Mashariki, Jimmy Kibati akifafanua jambo kwa waandishi (hawapo pichani) wakati wa mkutano maalum na wanahabari akielezea namna fastjet inavyotanua safari zake katika nchi za Afrika, mkutano uliofanyika hivi karibuni Unguja-Zanzibar wakati wa tamasha la 18, la filamu za nchi za majahazi maarufu ZIFF, ambapo fastjet pia ni wadhamini kwa miaka miwili mfululizo (Picha na Andrew Chale wa modewjiblog).
Na Andrew Chale, modewjiblog
(Dar Es Salaam)...