Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Matumizi ya ARV, pombe yanavyohatarisha maisha

Watu wanaokunywa dawa za kufubaza makali ya Virusi Vya Ukimwi(ARV) huku wakitumia pombe kwa wingi wametajwa kujiweka katika hatari zaidi.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

ARV’S; DAWA ZA KUREFUSHA MAISHA YA WAATHIRIKA WA UKIMWI

BAADA ya kuchambua kwa kina magonjwa nyemelezi katika matoleo yetu matatu yaliyopita ya gazeti hili leo tuangalie dawa za kurefusha  maisha ambayo kitaalamu huitwa  antiretroviral therapy kifupi ARVs. Dawa hii hupigana dhidi ya virusi vinavyosababisha Ukimwi. Madawa haya huwasaidia wale walio na virusi hivi kukaa katika afya nzuri. Aina nyingine ya madawa haya ni Protease Inhibitors, hii huzingira virusi na kuvizuia...

 

10 years ago

Mwananchi

Wataalamu: Tanzania iwe na sera maalumu kudhibiti matumizi ya pombe

Ni kawaida kushuhudia watu wengi, hasa nyakati za jioni, wakijiburudisha kwa kunywa pombe maeneo mbalimbali. Kuwapo kwa baa katika maeneo mengi nchini ni uthibitisho kuwa ni biashara yenye wateja wengi. Pombe zipo za aina nyingi kuanzia vinywaji vikali, yaani vyenye kiwango kikubwa cha kilevi pamoja na vile vya wastani.

 

10 years ago

Michuzi

Utafiti unaonyesha kuwa magonjwa mengi na ajali yanachangiwa na matumizi ya pombe

Na Chalila Kibuda,Globu ya Jamii
Utafiti unaonyesha kuwa magonjwa ya kifua Kikuu , Ukimwi ,Kansa pamoja na ajali zinachangiwa na matumizi ya pombe kwa kiwango cha juu, na vijana ndio waathirika wakubwa kutokana na kutokuwepo kwa sera ya matumizi ya pombe.
Utafiti huo umetolewa na Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu –Kituo cha Mwanza (NIMR),uliofanywa katika Mikoa ya Kilimanjaro na Mwanza na ambao ulilenga vijana kuanzia Miaka 15-24.
Wakizungumza katika semina ya wadau wa masula...

 

9 years ago

Dewji Blog

Serikali yasitisha matumizi ya picha ya Rais wa awamu ya 5 Mhe.Dkt. John Pombe Magufuli mpaka hapo itakapotangazwa tena

assah

Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO) Assah Mwambene.

Serikali inapenda kuzitaarifu ofisi za umma  na  wananchi  kwa ujumla  kwamba  imesitisha    matumizi  ya  picha ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  wa Serikali ya Awamu ya Tano, Mhe.Dkt. John  Pombe Magufuli mpaka hapo itakapotangazwa tena.

Awali   majira ya saa 6: 00  jana mchana Novemba 6, mwaka huu Serikali ilitangaza kuhusu kuanza rasmi kwa matumizi ya picha ya Rais.

Aidha,   Serikali  imesema kwamba  itazitangazia  ofisi...

 

10 years ago

Raia Mwema

10 years ago

Mwananchi

Historia ya Ukimwi na ugunduzi wa ARV - 4

Wiki iliyopita tuliona wakati ugonjwa wa Ukimwi ukiwa haufahamiki chanzo chake, wataalamu wengi wa afya walikuwa wakihangaika kufanya utafiti.

 

11 years ago

Mwananchi

ARV zauzwa mitaani Rorya

>Imebainika kuwa dawa za Serikali zikiwamo za kurefusha maisha kwa waathirika wa Ukimwi zinauzwa katika maduka ya dawa baridi na maduka bubu ya watu binafsi katika Wilaya ya Rorya mkoani Mara.

 

9 years ago

TheCitizen

Experts sceptical of new directive on ARV provision

Tanzania’s failure to adopt some of the best practices in HIV/Aids care, which have been proposed by the World Health Organization (WHO) over the years, speaks volumes about the country’s commitment to mobilizing domestic resources for health.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani