Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NIMR kutengeneza dawa kwa teknolojia ya chembehai

Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu (NIMR), Dk. Mwele Malecela akichangia mada wakati wa Kongamano la Wanasayansi Watafiti Dar es Salaam jana. Watafiti mbalimbali walikuwa wakiwasilisha ripoti za utafiti wao na kujadiliwa kwa pamoja. (Picha na Mroki Mroki).TAASISI ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu (NIMR), imesema inatarajia kuanza kutengeneza dawa za binadamu zitokanazo na mimea kwa kutumia teknolojia ya kisasa ya kutumia chembe hai ya mimea bila kukata mti husika.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

UNHWA YA KOREA KUSINI KUISAIDIA NIMR KATIKA UGUNDUZI WA DAWA KWA KUTUMIA MIMEA

 Na Father Kidevu Blog, Dar es Salaam Taasisi ya taifa ya utafiti wa magonjwa ya binadamu Tanzania (NIMR), imesaini mkataba wa ushirikiano na kampuni ya UNHWA ya Jamhuri ya Korea ambapo kampuni hiyo itaisaidia NIMR teknolojia mpya ya kufanya ugunduzi wa dawa za binadamu kwa kutumia mimea.
Makubaliano hayo yamesainiwa jijini Dar es salaam pembezoni mwa kongamano la 28 la kisayansi la NIMR, ambapo mkurugenzi mkuu wa taasisi hiyo Dk. Mwele Malecela amesema hatua hiyo ni muhimu katika...

 

5 years ago

Michuzi

Dawa ya Taasisi ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu (NIMR) yatoa mwanga wa matumaini kwa wagonjwa wa corona


DAWA iliyofanyiwa kazi na Taasisi ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu (NIMR), imetoa mwanga wa matumaini kwa wagonjwa wa homa kali ya mapafu, inayosababishwa na virusi vya corona.
Dawa hiyo iliyopewa jina la NIMRCAF (pichani), inatokana na mchanganyiko wa vyakula; na katika majaribio imeonesha ina uwezo mkubwa wa kudhibiti virusi vya corona. 

Akielezea mchanganyiko huo, Mkurugenzi wa Kitengo cha Tiba Asili cha NIMR, Dk Justine Omolo alisema ni fomula ya tiba lishe, ambayo ina mchanganyiko wa...

 

10 years ago

Habarileo

NIMR yatengeneza dawa ya Ukimwi

 Dk Mwele Malecela TAASISI ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu (NIMR), imetengeneza dawa za asili zilizoboreshwa kwa ajili ya tiba kwa magonjwa mbalimbali, ikiwemo Ukimwi baada ya kuzifanyia utafiti kubaini uwezo na usalama wake.

 

5 years ago

CCM Blog

DAWA YA NIMR TANZANIA YATOA MWANGA WA KUPONYA CORONA


DAWA iliyofanyiwa kazi na Taasisi ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu (NIMR), imetoa mwanga wa matumaini kwa wagonjwa wa homa kali ya mapafu, inayosababishwa na virusi vya corona.
Dawa hiyo iliyopewa jina la NIMRCAF (pichani), inatokana na mchanganyiko wa vyakula; na katika majaribio imeonesha ina uwezo mkubwa wa kudhibiti virusi vya corona. 

Akielezea mchanganyiko huo, Mkurugenzi wa Kitengo cha Tiba Asili cha NIMR, Dk Justine Omolo alisema ni fomula ya tiba lishe, ambayo ina mchanganyiko wa...

 

11 years ago

Bongo5

Teknolojia: LG kutengeneza TV nyembamba kama karatasi zenye uwezo wa kuviringishwa

Kampuni ya LG Electronics ya Korea kusini imetangaza kuwa iko mbioni kutengeneza TV zenye wembamba kama wa karatasi, na ambazo zinaweza kukunjwa au kuviringishwa bila kuharibika. Kampuni hiyo imesema kwa sasa inatengeneza toleo lenye ukubwa wa inchi 18 na kuongeza kuwa toleo la inchi 60 litaingia sokoni ifikapo 2017. “We are confident that by 2017, […]

 

11 years ago

Mwananchi

TIBA: Kondo la nyuma linapoliwa, kutengeneza dawa, vipodozi

>Ni kama sahani ya kwanza ya mlo kwa mtu yeyote kabla hajazaliwa. Ni eneo la kwanza lenye manufaa  kwa viumbe wengi wakiwa bado hawajauona ulimwengu.

 

11 years ago

GPL

VIDEO: JINSI YA KUTENGENEZA JUISI YA MAJANI YA PAPAI KAMA DAWA YA DENGUE!

In this video I am showing how to prepare papaya leaf juice using a stone slab/roller which helps in increasing platelet for dengue patient. This video is in continuation with my earlier video at http://www.youtube.com/watch?v=7yZgSZ.... As all of us know that there is no medicines for dengue & no specific treatment. Treatment are given only after observing the patient. In most of the dengue patient it is seen that the platelet...

 

11 years ago

Mwananchi

Teknolojia yafanikisha kubaini dawa za kulevya

Teknolojia ya kisasa inayotumika katika Uwanja wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) kukabiliana na dawa za kulevya imeonyesha mafanikio katika kuwabaini wanaojishughulisha na usafirishaji wa dawa hizo.

 

10 years ago

Dewji Blog

NIMR Mwanza wafanya mkutano wa wadau kuhusiana na madhara ya Pombe kwa vijana

tafiti

 

Na Andrew Chale wa Modewji blog

Taasisi ya  Taifa ya Utafiti ya Magonjwa ya Binadamu (NIMR)  tawi la Mwanza mapema  Machi 25 mwaka huu imeendesha warsha ya wadau mbalimbali kuhusiana na Madhara ya Pombe kwa vijana kufuatia utafiti uliofanywa katika maeneo kadhaa ya Tanzania, ikiwemo Mkoa wa Kilimanjaro.

Warsha hiyo iliwakutanisha wadau mbalimbali wakiwemo Madaktari,  wakuu wa idara za Polisi barabarani, wakuu wa Taasisi za Afya na mashirika ya kupiga vita matumizi ya vileo na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani