Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Teknolojia yafanikisha kubaini dawa za kulevya

Teknolojia ya kisasa inayotumika katika Uwanja wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) kukabiliana na dawa za kulevya imeonyesha mafanikio katika kuwabaini wanaojishughulisha na usafirishaji wa dawa hizo.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Marekani na Tanzania zazindua Program ya Mbwa Maalum wa kubaini Dawa za kulevya na Pembe za ndovu

Waziri wa Maliasili na Utalii,.Mhe. Lazaro Nyalandu ( katikati) akiwa na Kamishna wa Idara ya Forodha na Ulinzi wa Mipaka ya Marekani R. Gil Kerlikowse( wa pili kushoto) pamoja na Kaimu Balozi wa Marekani nchini Bi. Virginia Blaser ( wa kwanza kushoto) wakiwa katika uzinduzi wa Program ya Mbwa maalumu kubaini dawa za kulevya na pembe za ndovu uliofanyika katika Bandari ya Dares Salaam. Waziri wa Maliasili na Utalii,Mhe. Lazaro Nyalandu akizungumza katika uzinduzi wa Program ya Mbwa...

 

5 years ago

Michuzi

Tanzania yashiriki Mkutano wa Kamisheni ya 63 ya Dawa za Kulevya ya Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Dawa za Kulevya na Jinai (UNODC) jijini Vienna, Austria

Kaimu Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Madawa ya Kulevya Bw.james Kaji akiwasilisha hotuba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Mkutano wa Kamisheni ya 63 ya Dawa za Kulevya ya Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Dawa za Kulevya na Jinai (UNODC) kuhusu utekelezaji wa mikataba mbalimbali ya Kimataifa ya Madawa ya Kulevya. Tanzania katika mkutano huu, unaofanyika Vienna, Austria,imekuwa ni mfano bora wa namna ambavyo wameweza kujiimarisha katika Mapambano Dhidi ya...

 

10 years ago

Dewji Blog

Kamati ya Masuala ya Ukimwi na Madawa ya Kulevya yajadili Muswada wa Sheria ya Usimamizi na Udhibiti wa Dawa za Kulevya ya mwaka 2014

PIX 1

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia mambo ya Bunge, Sera na Uratibu Mhe. William Lukuvi akifungua kikao cha Kamati ya Masuala ya Ukimwi na Madawa ya Kulevya kujadili Muswada wa Sheria ya Usimamizi na Udhibiti wa Dawa za Kulevya ya mwaka 2014 kilichofanyika 22/01/2015 katika Ukumbi wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam.

PIX 2

Baadhi ya wadau toka Taasisi mbalimbali zisizo za Kiserikali wakichangia mada kupitia vifungu mbalimbali vya Muswada wa Sheria ya Usimamizi na Udhibiti wa...

 

10 years ago

BBCSwahili

Adhabu kali si dawa ya dawa za kulevya

Hakuna "uhusiano wa moja kwa moja" kati ya adhabu kali na hatua za kukomesha matumizi ya dawa za kulevya.

 

10 years ago

Mwananchi

Biashara ya dawa za kulevya

alum Zakwa ni mfanyabiashara mkubwa wa dawa za kulevya. Hii ni biashara inayompatia fedha nyingi sana ambazo zimemfanya awe tajiri mkubwa katika jiji la Dar  es Salaam. Biashara hii ameifanya kwa siri kubwa na ni watu wachache wanaojua siri hii mbali na vijana wake wawili Vasco na Liston. Endelea kusoma …

 

11 years ago

Mwananchi

DC ahimiza vita dawa za kulevya

Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Jordan Rugimbana amezitaka asasi na mashirika yasiyo ya kiserikali kuongeza mapambano dhidi ya dawa za kulevya kwa vijana mkoani Dar es Salaam.

 

11 years ago

BBCSwahili

Utumiaji wa dawa za kulevya A.Magharibi

Pendekezo limetolewa Afrika Magharibi kuwa watu wanaopatikana na hatia ya kutumia viwango vidogo vya madawa ya kulevya wasiadhibiwe

 

11 years ago

Habarileo

Mnigeria kizimbani dawa za kulevya

RAIA wa Nigeria, Anthony Okafor (52) amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu akikabiliwa na mashitaka ya kusafirisha dawa za kulevya zenye thamani ya Sh milioni 124.4.

 

10 years ago

Habarileo

JK mgeni siku ya dawa za kulevya

Rais Jakaya Kikwete.RAIS Jakaya Kikwete anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika kilele cha maadhimisho ya Siku ya Kupiga Vita Dawa za Kulevya Duniani, yatakayo fanyika kitaifa kesho, wilayani Bagamoyo mkoani Pwani.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani