Ngono kwanza, dawa baadaye
Makahaba wa Kenya wanafanya ngono bila kinga na kumeza tembe za kupunguza makali ya HIV ili kupunguza tisho la kuambukizwa na HIV
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi11 Feb
Uzalendo kwanza mengine baadaye
Taifa letu litajengwa na uzalendo wetu na wala siyo porojo na propaganda za kijinga. Uzalendo ni pamoja na hekima na busara ya kusikiliza na kuvumilia maoni ya watu wengine.
10 years ago
GPL
AMANDA STAREHE KWANZA, MUNGU BAADAYE
Stori: Hamida Hassan
STAA mwenye shepu ya aina yake ndani ya Bongo Movies, Tamrina Poshi ‘Amanda’ ameibuka na kusema kuwa siku ikifika atarejea kwa Mwenyezi Mungu lakini kwa sasa bado anakula ujana. Staa mwenye shepu ya aina yake ndani ya Bongo Movies, Tamrina Poshi ‘Amanda’. Akipiga stori na Ijumaa Wikienda, Amanda alisema kwa sasa umri wake unamruhusu kula ujana kwa mambo ya starehe kama kuvaa...
11 years ago
HabarileoMbunge: Jimbo kwanza, Chadema baadaye
SIKU moja baada ya Mbunge wa Mpanda Mjini, Said Amour Arfi (Chadema) kushangaza kambi ya upinzani kwa kupiga kura ya kuunga mkono Bajeti ya serikali kwa mwaka wa fedha 2014/2015, mwenyewe amesema amefanya hivyo kwa ajili ya jimbo lake na si kutanguliza maslahi ya Chama chake kama wafanyavyo wabunge wengine.
11 years ago
Mwananchi06 Sep
Shishi Baby: Muziki kwanza, Filamu baadaye
Tathmini iliyofanywa na gazeti hili ni kwamba tangu mwaka uanze, maonyesho aliyofanya mtoto huyu wa kike mwenye mvuto hayapungui 36 na bado yuko kwenye ziara ya Serengeti Fiesta akichanja Mbuga, jana katokea Musoma na leo anaelekea Shinyanga kupiga onyesho la 38 tangu kuanza kwa mwaka wa 2014.
11 years ago
Michuzi.jpg)
PIGA KWANZA MASWALI BAADAYE-UMOJA WA MATAIFA
.jpg)
11 years ago
Tanzania Daima05 Feb
Katiba mpya kwanza, wasaka urais baadaye
MWAKA 1995 Baba wa Taifa, Mwalimu Nyerere alituasa Watanzania tumchague mtu ambaye anachukia rushwa kwa dhati. Kwa maneno ya Mwalimu, ukimtazama mtu huyo anapotamka neno rushwa uridhike kwamba anaichukia rushwa...
11 years ago
Mwananchi31 Oct
Lipumba: Kwanza CCM ing’oke, ruzuku baadaye
Wakati Msajili wa Vyama vya Siasa, Jaji Francis Mutungi akisema suala la ruzuku na viti maalumu ni changamoto kwa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), Mwenyekiti wa CUF, Profesa Ibrahim Lipumba amesema hicho si kipaumbele.
10 years ago
Vijimambo
Dawa ni Kuacha Ngono, Mayai ya Kware Hayatibu UKIMWI

Nilishangaa zaidi kusiki eti dozi yake ni mayai matano kwa siku kila siku na baada ya kutumia...
10 years ago
Michuzi
MAKAMU WA KWANZA WA RAIS WA ZANZIBAR ATEMBELEA KITUO CHA WALIOADHIRIKA NA DAWA ZA KULEVYA


MAKAMU wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad amesifu maendeleo mazuri ya ujenzi wa kituo cha kisasa cha kuwarekebisha kitabia watu walioingia katika...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
06-May-2025 in Tanzania