Uzalendo kwanza mengine baadaye
Taifa letu litajengwa na uzalendo wetu na wala siyo porojo na propaganda za kijinga. Uzalendo ni pamoja na hekima na busara ya kusikiliza na kuvumilia maoni ya watu wengine.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBCSwahili21 Nov
Ngono kwanza, dawa baadaye
11 years ago
HabarileoMbunge: Jimbo kwanza, Chadema baadaye
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/1pYGM2xUDQnC01V2rQniGlBxRpOa34gRQzr3Y5hNd1r0zW99QJJ*uPCSMgpVrFTbNX2UAN1taXqwbF1WF40BBlkOib53fBeQ/amanda.jpg)
AMANDA STAREHE KWANZA, MUNGU BAADAYE
10 years ago
Mwananchi06 Sep
Shishi Baby: Muziki kwanza, Filamu baadaye
11 years ago
Tanzania Daima05 Feb
Katiba mpya kwanza, wasaka urais baadaye
MWAKA 1995 Baba wa Taifa, Mwalimu Nyerere alituasa Watanzania tumchague mtu ambaye anachukia rushwa kwa dhati. Kwa maneno ya Mwalimu, ukimtazama mtu huyo anapotamka neno rushwa uridhike kwamba anaichukia rushwa...
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-sw9hN_CFFZc/VFCo5UTP_aI/AAAAAAAGt_s/13ZYcXUNkBs/s72-c/unnamed%2B(56).jpg)
PIGA KWANZA MASWALI BAADAYE-UMOJA WA MATAIFA
![](http://4.bp.blogspot.com/-sw9hN_CFFZc/VFCo5UTP_aI/AAAAAAAGt_s/13ZYcXUNkBs/s1600/unnamed%2B(56).jpg)
10 years ago
Mwananchi31 Oct
Lipumba: Kwanza CCM ing’oke, ruzuku baadaye
11 years ago
Tanzania Daima23 Jun
Tamasha la Uzalendo Kwanza sasa Agosti 9
TAMASHA la kuombea amani na kuwa na moyo wa uzalendo kwa Watanzania liitwalo ‘Uzalendo Kwanza’ limesogezwa mbele kutoka Agosti 5 hadi 9 mwaka huu katika ukumbi wa kanisa la The...
10 years ago
Dewji Blog03 Oct
Uzalendo kwanza: Piga kura uboreshe maisha ya watu wenye ulemavu wa ngozi
Shirika linalojibidisha na kutetea na kulinda watu wenye ulemavu wa ngozi nchini Under the Same Sun, (UTSS) limeteuliwa kushindania Tuzo ya Haki za Binadamu ijulikanayo kama “Tulip” itolewayo nchini Uholanzi. Iwapo UTSS watashinda tuzo hiyo, ni dhahiri kwamba kutakuwa na mapinduzi makubwa katika uboreshaji wa maisha ya watu wenye ulemavu wa ngozi. Shiriki kwa kupiga kura ili UTSS washinde Tuzo hii na kulinda ndugu zetu wenye Ulemavu wa Ngozi Tanzania kwa kupiga kura hapa chini na...