Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Shishi Baby: Muziki kwanza, Filamu baadaye

Tathmini iliyofanywa na gazeti hili ni kwamba tangu mwaka uanze, maonyesho aliyofanya mtoto huyu wa kike mwenye mvuto hayapungui 36 na bado yuko kwenye ziara ya Serengeti Fiesta akichanja Mbuga, jana katokea Musoma na leo anaelekea Shinyanga kupiga onyesho la 38 tangu kuanza kwa mwaka wa 2014.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

BABY MADAHA ATANGAZA KUACHA MUZIKI, FILAMU

Na Gladness Mallya
IKIWA imepita miezi kadhaa tangu anaswe katika mtego  wa kujiuza na makachero wa OFM ya Global Publishers, staa wa Bongo, Baby Madaha ametangaza kuachana na sanaa ya muziki na filamu kwa maelezo kuwa amechoshwa na  maisha ya presha. Akistorisha na paparazi wetu juzikati jijini Dar es Salaam, Madaha alisema ishu ile imemsababishia matatizo makubwa ya kifamilia na hata kibiashara, hivyo kujutia mchezo...

 

10 years ago

TheCitizen

What next for shishi baby?

Last week the National Arts Council (Basata) slapped a ban on Bongo Flava artiste Shilole for what they called an inappropriate behaviour while on a tour in Belgium in May.

 

10 years ago

GPL

SHISHI BABY BARNABA MAHABA TENA?

Stori: Musa Mateja WASANII waliowahi kuogelea katika dimbwi zito la mahaba kisha kumwagana, Zuwena Mohamed ‘Shishi Baby’ na Elias Barnaba ‘Barnaba Boy’, wamezua maswali mapya kwa mashabiki na kuleta tafsiri kuwa huenda wamerudiana. Mastaa wa Bongo Fleva Zuwena Mohamed ‘Shishi Baby’ na Elias Barnaba ‘Barnaba Boy’ beneti. Tukio la wawili hao kugandana kama zamani lilijitokeza...

 

10 years ago

Vijimambo

SHILOLE SHISHI BABY ALIPOFANYA KWELI UBELGIJI

 Shishi Baby akifanya mambo yake huku mashabiki wakiwa na midadi Msanii Shilole akiburudika vyema na dada yetu aliyekuja toka Norway kujumuika nasi katika kupata burudani ya Shishi Beibii
 Wachaa weeee Msanii Shilole akipata kumbukumbu ya picha Shilole akiwa na Balozi wa Madagasca nchini Belgium
kwa picha zaidi bofya soma zaidiDada Rose akiwa na Shilole Shilole aliombwa saini na balozi wa Madagasca[Mnyamwezi umetishaaaaa] wakakutangazeeee
New artist Max at workDili ikienda sawa Shilole kula...

 

10 years ago

Dewji Blog

Shilole Shishi Baby atua Ubelgiji kwa kishindo…Ijumaa atafanya show Leuven na Jumamosi Brussel

DSCF9899

Furaha ilishika nafasi pale mwanadada Shilole alipowasili uwanja wa kimataifa wa ndege wa Zaventem jijini Brussel.

 Msanii Shilole akiwa na furaha baada ya kupokelewa na wenyeji wake uwanja wa ndege wa kimataifa wa Zaventem jijini Brussel. The Big Boss Mohammed akiwa na msanii Shilole muda mfupi tu baada ya kuwasili uwanjani Brussel 

Msanii Shishi Baby Shilole akipata picha na mmoja wa sapota wake bidada Latifa

 Chantel akiwa na msanii Shilole baby Shilole akipata picha na mmoja wa...

 

11 years ago

BBCSwahili

Muziki wa Hip Hop miaka 40 baadaye

Mchipuko, wasanii na historia ya miaka arobaini ya muziki wa Hip Hop. Nini kimebadilika?

 

11 years ago

GPL

GLOBAL TV ONLINE; MTU KATI NA SHILOLE 'SHISHI BABY'

Staa wa Filamu na Muziki, Zuwena Mohammed 'Shilole' akifunguka mambo mbalimbali kuhusu maisha yake katika Exclusive interview na Global TV Online! UNGANA NASI.

 

10 years ago

Mwananchi

Uzalendo kwanza mengine baadaye

Taifa letu litajengwa na uzalendo wetu na wala siyo porojo na propaganda za kijinga. Uzalendo ni pamoja na hekima na busara ya kusikiliza na kuvumilia maoni ya watu wengine.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani